Search results

  1. Morg

    Naombeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja

    Naimbeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja. Haliumi Wala kuwasha niliamka ndio nikakuta hiyo hali Nitumie dawa gani jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Morg

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Habari za muda huu, ni siku tulivu sana hapa. Jiji la Dar es Salaam kumekucha salama, ingawa kulikuwa na upepo wa baridi sana, poleni na natumaini kila mmoja wetu ni mzima kabisa. Nawatakia kila la kheri katika pilika za kuijenga Tanzania kuwa kubwa tena, yenye amani na upendo. Twende kwenye...
  3. Morg

    Ukweli uliofichika kwa Dunia ya Leo

    Acha kuhamasisha mila za Kizungu za Uzinifu/ mahusiano ( girlfriend na boyfriend) kwa kuwa zinamdhalilisha mwanamke. Na kupitia huo Uzinifu ndipo Wazungu wakaja na mawazo ya kuwa mwanamke ajitafutie pesa ili asimtegemee mwanaume hivyo lengo na makusudi ni kuhakikisha Uzinifu unaendelea ambapo...
  4. Morg

    Tanagazo la ghafla

    Ñdugu zangu nina shida na Mtu anaejua lugha ya Kireno kiufasaha kuongea na kuandika Kwa uweledi .KUNA KAMPUNI INATAFUTA MTU ANAEJUA HIYO LUGHA YA KIPORTUGUESE KUONGEA NA KUTAFSIRI WANA TRIP YA KWENDA MOZAMBIQUE SO ANAHITAJIKA Vigezo Level ya elimu Cheti cha shule Ngazi ya Olevel Experience...
  5. Morg

    Ijue Sababu isiyo Sababu. Chanzo cha dhambi ya Zinaa

    Haharini za pilika pilika za kimaisha pole katika ujenzi wa Taifa letu pendwa chini ya Jemedari Mh Mama suluhu Hassan. Kwenye mada Yetu Leo tutaongelea swala zima la spiritual Bond kwa njia ya SPERM TAKER.kumekuwa na taarifa nyingi Sana Watu wakijitamba na kujisifu juu ya uasherati wengine...
  6. Morg

    Litakuwa ni tatizo gani hili wandugu

    Juzi nilimkula demu mmoja hivi dry.leo j,nne nimeamka nakuta uchafu kidogo njia ya mkojo .Hautoi Harufu kbsà ila nikikojoa maumivu nayasikia shida itakuwa ni Nini Labda. Ama nitumie dawa Gani huenda ikanisaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Morg

    Uzi wa kupeana update kwa wale wa Kanda ya Kaskazini; yaani Moshi na Arusha

    Habari za December Hii ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya kbsà.Nawatakia Heri ya xmass kwa ndugu jamaa na marafiki hasa wale wakazi wa kaskazini Kwa wale wanao safiri kurudi makwao Mungu awabariki sana.na kuwatangulia katika Safari zetu kuelekea makwenu mwishoni mwa mwaka huu 2021. Mm...
  8. Morg

    Ni sabuni gani nzuri ya kuogea mwanaume

    Ni sabuni gani nzuri ya kuogea mwanaume kwa ngozi pia na yenye Harufu nzuri sana Nawasilisha
  9. Morg

    Wanadamu wameipa pesa kipaumbele kuliko kitu chochote hapa duniani

    Habari za mchana natumaini nyote wazima kbsàa poleni na tabu za maji,umeme na joto Kali kwa wale wakazi wa Dar. Bila kupoteza muda tuende kwenye mada yetu ya leo ndugu zangu. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa au naweza sema ni wimbo wa Taifa kila Mtu anaimba TAFUTA PESA ,TAFUTA...
  10. Morg

    Kuna haja ya kuendelea kuwa na namba ya ex wako huku ukiwa kwenye penzi jipya?

    Kume kuwa na hulka flan hiv ya mahusiano pindi yanapofika kikomo wahusika wawili Bado hubakia na namba ya ex wake kwenye simu kwa kigezo kuwa eti kuachana sio ugomvi. Pindi wanapoingia kwenye mahusiano mapya still bado wanazo namba za maex zao. Binafsi sidhani kama ni sahihi kama...
  11. Morg

    Rasmi: Nimeamua kuachana na mtandao wa Twitter na Instagram

    Habarini za weekend ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya Mungu anatupigania .Pia nitangulize shukran zangu za dhati Kwa Wana Jf wote kokote mlipo duniani.Turejee katika mada. Nimeamua kuacha na hii mitandao Kwa sababu zangu za msingi na zenye tija kabisa Sina la kujutia wala nini ...
  12. Morg

    Uzi wa kepeana motivation katika maisha jinsi gani ukitoka hapo ulipokuwa Mpaka ulipo sasa

    Habarini za kutwa Ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya kabisa .Tuendelee kupambana dhidi ya COVID-19 .Mungu ibariki Tanzania Tuende kwenye mada yetu pendwa ni kupeana motisha morali katika maisha kupitia shuhuda mbalimbali za Wana JF jinsi gani walifocus ni magumu gani waliyopitia ambayo...
  13. Morg

    Msaada: Nilikutana na mwanamke siku moja baada ya siku zake ya hatari. Hali hii imetokea

    Habari za leo wakuu natumaini mpo wazima kbsà tena wa afya, Tuende katika mada yetu. Last months nilikutana na demu mmoja hivi final nikaforce nikala mzigo unfortunately alikuwa ametoka kwenye siku salama jana alafu mimi nikakutana nae leo. Hapa nashindwa kuelewa mbegu ilichepua au ilifia ndani...
  14. Morg

    Naombeni Maoni yenu Mitazamo yenu Juu ya hili Swala la Kuoa

    Habarini za leo Jumamosi poleni na mihangaiko ya wiki nzima matumaini yangu kuwa wote mpo wazima kabisa wa buheri . Twende kwenye mada yetu husika na pendwa kama ilivyotajwa hapo juu rejea kichwa cha habari. Kumekuwa na nadharia mbalimbali kuhusu swala la Kuoa kumekuwa na Mitazamo chanya kwa...
  15. Morg

    Wazee wa kunukia sogeeni hapa kidogo tupate update

    Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama sijamaliza naapgrade mda wowote Nina pafyume zaidi ya Tano na zote mpya Kuna mzigo nimeonesha ushatua...
  16. Morg

    Asanteni kwa kutupokea wanawake, vitambi sio kwa wanaume pekee...

    Kwa sasa vitambi sio kwa wanaume pekee bali hata hawa jinsia ya upande wa pili nao wametupokea tena kwa kasi nguvu na shauku na wanakuja kwa kasi sana nowdays. Kulikuwepo na fedheha nyingi toka kwa wanaume wenye vitambi walidhihakiwa kwa maneno ya kejeli iliwasononesha sana Zama za nyuma. Ili...
  17. Morg

    Shuhuda: Ni changamoto gani ulikumbana nayo wakati unaanza biashara yako?

    Habari za leo Ndugu zanguni. Natumaini wote wazima kabisa wa afya na buheri. Leo katika mada yetu tungependa kupata wasaa moja mbili kutoka kwa wahusika wa humu walio tayari na experience katika Biashara yeyote ile. Ningependa tushare shuhuda mbalimbali walizokutana nazo pindi mnaanza kufungua...
  18. Morg

    Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa. Moja kwa moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo wa wanawake juu ya mionekano wasiyoipenda kutoka kwa mwanaume yeyote yule. Hata ukimuona unamzarau na...
  19. Morg

    Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada. Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda sana hakika haikuwa siku nzuri sana kwangu mpaka sasa nimehuzunika sana. Ilikuwa ni hivi kuna binti...
  20. Morg

    Naomba ushauri, nahitaji kufungua biashara ya duka la nguo

    Habarini za masiku ndugu zangu, matumaini yangu mpo wazima kabisa kiafya kimwili na kiroho. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni kijana mwenzenu ambae nipo kwenye zone ya kuhustle kimaisha na pendekezo langu ni kuwa mfanyabiashara wa duka la nguo kati ya mikoa ya Arusha, Moorgoro, Moshi...
Back
Top Bottom