Search results

  1. Morg

    Kuna nyimbo unazipenda ila huwezi zisikiliza tena maana zinakutoa machozi!

    Elton John remind Lionel Ritchie Soledad Judy boucher
  2. Morg

    Naombeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja

    Hali kama hii Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Morg

    Naombeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja

    Jicho langu limeweka wekundu limoja linanipa hofu Sana maana niliamka. Ñdio nikakuta hiyo hali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Morg

    Naombeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja

    Naimbeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja. Haliumi Wala kuwasha niliamka ndio nikakuta hiyo hali Nitumie dawa gani jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Morg

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Kufungua friji ni normal things Sana hasa kama kipind cha joto maji lazima unywe ya barid so sio kitu cha kumind Sana kufungua friji kama na ww na hii mindset acha gubu Ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Morg

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Hiyo ilikuwa ni nje ya makubaliano na kabla ya Mimi walikuwa wanafanyaje. Nilikataa hizo habari bora walinielewa maana nisingeweza kufanya zile mishe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Morg

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Ni kazi Sana hata madogo wanakuzarau inabid uvumilie.kuna ile system madogo wamekunywa either soda au juice wameshindwa kumaliza eti unaitiwa unakumepaka shombo ya michipsi soda au juice ety mmpe uncle nilikuwa sipend kinouma hizo piga Hata wakibaisha msosi unaitiwa nilikuwa sipokei Sent...
  8. Morg

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Habari za muda huu, ni siku tulivu sana hapa. Jiji la Dar es Salaam kumekucha salama, ingawa kulikuwa na upepo wa baridi sana, poleni na natumaini kila mmoja wetu ni mzima kabisa. Nawatakia kila la kheri katika pilika za kuijenga Tanzania kuwa kubwa tena, yenye amani na upendo. Twende kwenye...
  9. Morg

    Usiwe Mrahisi Kupenda, Mwanamke Anathamini Upendo Aliouhangaikia Kuliko Anaoupata Kirahisi.

    Behind the scene Nipo na notebook naandika summary hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Morg

    Imani potofu zinazokufanya usiwe na Mahusiano mazuri

    Huu Uzi ni batili hakuna ushaidi wa nadharia Mtoa mada katoa mtazamo wake anataka na sisi tuamini kama vile yeye anavyoamini Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Morg

    Kusoma Sheria kunawachanganya watoto wa kike

    Uje na suluhisho tufanye nn ili Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Morg

    Napitia magumu, nimegundua mke wangu mtarajiwa anani-cheat na jamaa ambaye anadai ni rafiki tu

    Ndugu yang tumia akili Sana kuliko hisia kwa huyo Binti hapo hakuna mke tuwe wakwel hapo ni wewe uchague mwenyewe Sasa ubet maisha yako yawe kwenye risky Huyo jamaa anadai ni best yake hao ni wapenz wa mda mrefu Sana tuna wanamalengo makubwa sana pamoja jua hilo. Wewe upo kama njia ya wao...
  13. Morg

    Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

    We ni boya Sana ujue tena wa PhD huwezi kuendeshwa kiasi hicho KaKa amka Ndugu yangu hapo hakuna mke ni kichomi huyo utakuwa unatumika KaKa Sanuka Ndugu yangu mapema kabla hujafika mbali Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Morg

    Ushahuri kuhusu mke wangu

    You're Time cannot come until his past Decide wisely Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Morg

    Ukweli uliofichika kwa Dunia ya Leo

    Siku hizi uzinzi umehalalishwa Sana kwa kizazi hiki ni hatari Sana watu wanafanya uzizi kuliko na wako proudly kabisa na wanajionaa wajanja Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Morg

    Ukweli uliofichika kwa Dunia ya Leo

    Ukahamasishe pia na jamii inayokuzunguka pia Dada kila la kheri Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Morg

    Ukweli uliofichika kwa Dunia ya Leo

    Acha kuhamasisha mila za Kizungu za Uzinifu/ mahusiano ( girlfriend na boyfriend) kwa kuwa zinamdhalilisha mwanamke. Na kupitia huo Uzinifu ndipo Wazungu wakaja na mawazo ya kuwa mwanamke ajitafutie pesa ili asimtegemee mwanaume hivyo lengo na makusudi ni kuhakikisha Uzinifu unaendelea ambapo...
  18. Morg

    Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa

    Another man down so sorry wajumbe kwa kuwaangusha naanza upya Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Morg

    Msaada wa kisaikolojia unahitajika

    Mpaka sasa Ubao unasomeka Baharia 0- 2 Single mother Mechi inaendelea
  20. Morg

    Upotovu wa maadili kwa wanawake wenye ujauzito

    Acha upumbavu na fikra potofu ww
Back
Top Bottom