Search results

  1. Bavarian8

    Katiba mpya ni muhimu sana kwa ustawi wa Taifa letu

    Unauliza sana, Ajenda kuu kwa Sasa ni katiba mpya, tunahitaji mabadiliko ya katiba ili tutengeneze mfumo mzuri tunaoutaka Kama Watanzania juu ya maisha yetu. Hili ni suala muhimu sana kwa mustakabali wa TAIFA letu. Habari za akina Karume na watu wao zisitutoe kwenye reli kabisa. DP WORLD na...
  2. Bavarian8

    Natafuta mke kuanzia miaka 21-24

    Mke anahitajika jamani awe mrefu mweupe awe saiz ya Kati sio bonge age 21- 24 religion yoyote Nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Pm ipo wazi .
  3. Bavarian8

    Hawa wa mitandaoni ni kuji- beautify tu nothing else

    Mademu wa mitandaoni mfano - jamii forum - Instagram -facebook -Snapchat - Badoo Twitter and others social network kiukweli sio wasuuupu/ wakali / pini/ mashine kuliko hawa tunaokutana nao live kabisa mitaani na maeneo mengine ,,,,mitaani Kuna totoz Kali balaa hili nimeliona kabisa ,aseeee...
  4. Bavarian8

    Kipindi cha Hello Mr. Right cha Kenya, ni kweli au maigizo?

    Umofiaa kwenu,,,kwenu,,,kwenuu.. Ivi wadau hii show ya akina Ofweneke ya Hello Mr. Right show ya Kenya ni kweli ipo real na pale mtu anaweza pata mtu sahihi au ni kuigiza tu kule na mapicha picha ? Kama itakuwa ni kweli why hapa bongo pia isianzishwe hii show pia ?, Tujadiliane kidogo hapa...
  5. Bavarian8

    Ushauri kwa watu wanaoshiriki mapenzi siku ya leo

    Wanawake wanawake,wasichana, wasichana ,wanalika Leo jamani tuache utani duuuuuuh!!!! Nipo hapa mwenge Kuna guest moja opposite na NMB hapa yaani jamaa anaehudumu katika guest hii ni mshikaji wangu sasa nimekuja hapa anaambia toka asubuhi n mchakamchaka tu ,wengine ni wake za watu kabisa...
  6. Bavarian8

    EURO 2020 final draw

    Dah kama shabiki kindaki ndaki wa Germany na ligi ya Bundersliga. Napenda kusema kwamba hili kundi letu ni nina sana tulilopo but tutashinda tuna vijana wengi Sana wabichi wenye vipaji hatari. Kwa wale mashabiki wa Ujerumani tujuane, mapema Ila kundi ni gumu balaa but..
  7. Bavarian8

    Wasichana/Wanawake

    Bandugu igwee!! Kweli kama sio haya mavazi ambayo wanawake na wasichana wanayavaa kujisitiri kiukweli usingetamani hata kukutana nao. Unakutana na binti mzuri kweli kweli usoni na chura anayo, kavaa na kimini chake au suruali yupo poa, ngoja avue sasa hizo nguo utakimbia. Duh zile sehemu...
  8. Bavarian8

    NAMNA YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    Wadau nataka ushauri hapa wa kina ,,Nina mtaji hapa kama million 3 nataka niwekeze kwenye huduma za fedha yaani mpesa ,tigo pesa ,airtel money nk sasa je itanitoa kwl na location yangu n maeneo ya mwenge pale mpakani nachohitaji ni 1 namna ya kuanza vitu vinavyohitajika 2 faida na hasara kwa...
  9. Bavarian8

    BETTING

    Ebana kama kawa kawma dawa wazee wa kupiga pesa Wacha tu nikwambie umasikini upo mikononi kwako mwenyewe ukiamua unatoboa ,,vijana wa kutupia mkeka nisikilizeni kwanza juz katika sports pesa jackpot nilitupia mkeka wangu kwa buku ,2000 ckia nkavuta million 1 yangu na ushehe kwa kushinda game 11...
  10. Bavarian8

    Kuna mtu anataka kunipiga hapa bei ya laptop aina ya apple

    Wadau nisaidieni wale wauza simu chap naona kuna mtu anataka kunipiga hapa bei Ya laptop aina ya apple yenye details hiziRAM 4Gb,HARD DISC 512 ,processor 3.5,SIZE INCH 14 ,COLOUR BLACK AND SILVER GUARANTEE 2YRS ,,NAMBIEN WADAU CHAP BEI YAKE
  11. Bavarian8

    Nimeliwa pesa zangu na malaya

    Wadau hawa mademu au Malaya wa mtandaoni wamenipiga Leo hakiyanani nimejidai kuwatumia hela ili aje anifate mahali by the way npo makumbusho afu yy anadai yupo kigogo so anaweza kuja ila sharti moja nmpe kwanza advance c nikatoa 15 iv duh kilichofata hapokei cm na watsapp kanibloku kabisa. Ebu...
Back
Top Bottom