Search results

  1. M

    Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

    Mie ningemuuliza kwa nini kuumba warembo (jamani kuna warembo!) halafu hapo hapo kubandika Amri ya Sita? Kwa nini ametuacha tukatengeneza pesa halafu inatunyanyasa? Kwa nini anakubali ndugu zetu wengine wawe vichaa?
  2. M

    Waziri Mkuu John Magufuli, mbona nchi ingenyooka hii!

    Lowassa na Magufuli wote wanafaa kuwa PM. Katka hilo jopo la magamba ni hao tu ambao angalau wana uwezo wa kufanya kazi. Wengine wengi vimeo.
  3. M

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Umesahau ni yeye aliyewanyang'anya visiwa watu waliokuwa wamemilikishwa visiwa vidogo vidogo katika bahari ya Hindi enzi za awamu ya pili. Alipopewa tu uwaziri wa ardhi akatangaza kuvirudisha serikalini visiwa vyote
  4. M

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    I couldn't agree with you more!
  5. M

    Tundu Lissu Umepotoka!

    Kwa Katiba na muundo wa Tanzania ya sasa inawezekana Zanzibar kufanya mambo yao wenyewe kwa yale mambo yasiyohusu Muungano. Lakini haiwezekani "Tanganyika" kufanya mambo yake nje ya muungano. Hii ni kwa sababu Tanganyika haipo tena, sasa kuna "Tanzania Bara". Kwa mujibu wa katiba mambo ya...
  6. M

    Ndugai awaweka JK na Pinda Ulingoni, Ngeleja Tia maji Kichwani Sasa

    Hivi kwa mwendo huu, 2015 tutafika kweli? I can't wait to have the opportunity to cast this Magamba party out!
  7. M

    Kwa nini ngeleja nae asisimamishwe?

    Kwa nini Ngeleja asimamishwe kwa kushindwa kuleta unafaa na maendeleo katika wizara anayo iongoza kwa miaka 4 na zaidi sasa? Kwa sababu huo sio utaratibu wetu. Mtu akipewa uwaziri hapimwi utendaji wake. Anaachwa tu hata kama hakuna analofanya, alimradi hajakorofisha wakubwa atakaa miaka yote...
  8. M

    Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni

    Huyo naye si gamba tu? Yaani Magamba wamefika mahali sasa hata hawaeleweki. Kombani hana uwezo wa kujenga hoja against Lissu
  9. M

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Kwa kweli hapa ndo Bunge letu linatakiwa lioneshe kama kweli ni Bunge lenye meno au ni danganya toto tu. Kwa mtizamo wangu: 1. Hoja ya CAG kwamba ni kawaida taasisi kuchangishwa fedha wakati wa kupitisha bajeti ni hoja ya kizembe na ya ajabu kabisa. Sawa, ni kawaida, lakini je, hiyo ni kawaida...
  10. M

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    Ni kama wengi wanatilia shaka ukweli wa habari hii, mimi nilisimuliwa na mfanyakazi wa TBA siku ile ile Waziri alipofanya vioja hivyo katika ofisi za TBA. Yote hayo ni kweli kabisa, japo ni ngumu kuamini kama Magufuli ndo angeweza fanya hivo. Hata hivyo nasikia kuna kigogo mmoja ambaye ndo...
  11. M

    Hii Ya Katibu wa Mbunge Lema Imekaaje?

    Watanzania tuna kazi kweli! Kila kitu kinatiwa siasa, mpaka kazi ya mwandishi! Ndo maana inakuwa ngumu kuchukulia habari ya gazeti fulani at face value mpaka tuchunguze chunguze kujua ni kweli au la! Sasa katika hali hii tutafika kweli? Tungetegemea gazeti la Gov likawa neutral lakini da!
Back
Top Bottom