Search results

  1. C

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Atakua na brain concusion
  2. C

    Mtoto wa Dimond

    Ndio majibu ya tubeless hayo....Mana make ndio yalivyo
  3. C

    Jakaya Kikwete na Imelda Marcos wako Brazil kujivinjari kwa siku tano

    Usisahau kupanda ile bembea mkuu kama wakati ule...hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  4. C

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    JF kweli kiboko mbavu zangu mfipa mimi...home of the most travelling President..te te te
  5. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Steven Wasirra.......haaaahaaaahaaaa
  6. C

    Ukimya wa CCM na Lusinde

    Uganuki wake na chama chake ndio faida kwetu...Go Go lusi...go go lusinde
  7. C

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    mtatiro kifipa maana yake ni ganuki...ww unaona ghalama kubwa kwenye demokrasia wakati kuna watu wanafanya ufisadi wa mabilioni.Naomba Allah aendelea kujaalia chaguzi ndogo zifanyike nyingi kabla ya 2015.Tunaitaji watu wa kupigania matumizi mabaya ya kodi za walala hoi katika nchi hii... Mungu...
  8. C

    Polisi kuwakamata wabunge wa CHADEMA waliokatwa mapanga!

    Hakuna shaka level ya integrity ya policcm ni mbovu yaani hawako organised kabisa,nashangaa kama rco anaongea hayo tena kwa jambo ambalo kuna public interest basi nchi hii inaitaji mabadiliko mapana.... muda wa mabadiriko ni sasa....M4C.... peeeeooplessss poooweeer
  9. C

    Mnafiki Sitta (SIX) ameumbuka Kirumba, na mnafiki Kilango kaumbuka Kiwira

    Taifa letu linaitaji mabadiliko makubwa hatuwezi kuendelea kutumia fikra za akina Mzee Msekwa tangu mwaka 1959 yuko serikalini...Aibu yao wenyewe.
  10. C

    Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

    Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake wote wataangukia pua. PEEEEEEOPLESSSSSS POWER,PEEEEEEOPLESSSSSS POWER
  11. C

    Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

    Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake wootee wataangukia pua. PEEOPLESS POOWEER
  12. C

    Jamani tufike mahali hata umri wa kustaafu kwenye siasa uwe jambo la kikatiba

    mabadiliko ya dunia lazima yaendane kimitazamo na fikra ktk kupambanua changamoto.
  13. C

    Waziri Mkuu John Magufuli, mbona nchi ingenyooka hii!

    Ampe mama mkwe wake -meghji
  14. C

    Waziri Mkuu John Magufuli, mbona nchi ingenyooka hii!

    Ampe mama mkwe wake-Meghji tujionee vituko
  15. C

    Waziri Mkuu John Magufuli, mbona nchi ingenyooka hii!

    Ni ngumu sana maana hauwezi kua na msaidizi anaekuzidi uwezo.HII NCHI INAITAJI MTU KAMA MAGUFULI AU MWANDI NDIO TUNYOOKE.
  16. C

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    Ukifikilia kwa umakini utagundua kazi ya mkuu wa nchi kwa sasa ni ufigure head rule hana impact yoyote.Yeye na serikali yake hawafikili hata wanavyoendesha nchi.Ina maana wakuu hampati hata muda wa kutafakari mtakachokisema,mnachotenda,unavyoishi,jamii inawachukuliaje,yanayoendelea nchi za...
Back
Top Bottom