Search results

  1. Teknocrat

    CV Clinics: Msaada wa kuandika CV

    Habari wana JF Katika harakati za kusaka ajira, au kibarua au kujitolea, katika mashirika, taasisi, kazi za serikali au makampuni binafsi , kitu muhimu kitakacho kuuza kiufanisi ni wasifu wako wa kazi au Curriculum Vitae inayojulikana kama CV yako. Hii ndio zana muhimu yako itakayokuwezesha...
  2. Teknocrat

    Ni Umunyagitugu w'ubugome, akaba n'umwe mu nshuti nziza zo mu Burengerazuba

    https://www.nytimes.com/2023/04/11/opinion/paul-kagame-rwanda-britain.html Kuba afite imbaraga ku butegetsi ntibishoboka. Kuva abaye perezida mu myaka 20 ishize, yongereye igihe ntarengwa cy'itegeko nshinga, ahagarika itangazamakuru ryigenga kandi akumira abatavuga rumwe n’ubutegetsi...
  3. Teknocrat

    Hard Maths: Shinda Dollar Milioni Moja ($1,000,000)

    https://www.math.tugraz.at/~elsholtz/WWW/papers/papers14faber.html https://explainingscience.org/2019/09/01/the-goldbach-conjecture/ Mnamo 1742, Mwahisabati nguli kwa jina la Christian Goldbach, alifikiria dhana ambayo ilimshinda kuijibu na kuomba Mwanahisabati mwingine mbobozi anayejulikana kwa...
  4. Teknocrat

    TANZIA Mwanariadha Kelvin Kiptum afariki dunia

    Mwanariadha Kelvin Kiptum aliyevunja rekodi ya mbio za Marathon duniani hivi karibuni mwaka jana 2023, afariki dunia kwa ajali ya gari. R.I.P World marathon record holder and London Marathon winner Kelvin Kiptum and his coach have died in a car crash, Kenya's former prime minister has said...
  5. Teknocrat

    Hii ndiyo Kariakoo Market......Timeline

    Kutokea Ramani iliyobuniwa na mwafrika wa kwanza kusajiliwa kama Msanifu wa Majengo, Architecture katika Afrika ya Mashariki na Kati - Beda Amuli Ujenzi Kufunguliwa 1974.. Miaka ya 80 - 90.... Miaka ya 2000 Ajali ya moto - 2021 Top
  6. Teknocrat

    Enyi Wagalatia msiohua Hisabati..

    Solve this...
  7. Teknocrat

    Back to basics

  8. Teknocrat

    Chemsha Bongo

  9. Teknocrat

    2024 fully funded scholarships

    2024 SCHOLARSHIPS 1. Fully Funded Warwick Chancellor's International Scholarships: LinkedIn 2. Radboud University Full Scholarship 2024/2025 For Excellent International Students: Radboud University Full Scholarship 2024/2025 For Excellent International Students: Apply Now! - Opportunities 3...
  10. Teknocrat

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Beverly Ochieng Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi 24 Oktoba 2023 Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
  11. Teknocrat

    Mwanafunzi wa 14 kutoka Ethiopia ashinda Tuzo: Sabuni ya Kinga Ya Saratani ya Ngozi

    Mwanafunzi wa miaka 14 mwenye asili ya Ethiopia anayeishi USA, ameshinda tuzo na kuwagaragaza wana sayansi wengi wa vyuo vikuu nchini Marekani kwa kuvumbua sabuni yenye gharam ya senti 0.50 inayoweza kuzuia ugonjwa wa saratani ya ngozi...
  12. Teknocrat

    Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

    Habari za Jioni wa JF.... Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange. Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...
  13. Teknocrat

    Hapa ni wapi?

  14. Teknocrat

    Jaribio la Makaburu kumuua Nyerere: Silent War: South African Special Forces (Recce)

    COMMANDO RAID ON DAR ES SALAAM, TANZANIA 1972 BY SOUTH AFRICAN SPECIAL FORCES (RECCE) from The Silent War: South African Recce Operations 1969-1994 by Peter Stiff FRELIMO, like half a dozen other liberation movements including the ANC, were well ensconced in Tanzania. FRELIMO's main camp was at...
  15. Teknocrat

    Wamachinga na Haki-Jiji Nchini Tanzania

    Ungemuona kijana Kulwa Makasi kwa mbali ungeweza kudhani ni kijana mwenye furaha. Hujitahidi kumkaribisha mteja kwa bashasha japokuwa, tofauti na wenzake, angekuwa amekaa ndani ya kijibanda chake anamouzia viatu. Kijibanda hicho kilikuwa kimepangiliwa vizuri na kwa unadhifu mkubwa,kama...
  16. Teknocrat

    Moto kwenye jengo la wahamiaji Johannesburg

    Kumetokea moto katika jiji la Johannesburg kwenye jengo linalotumika na wakaazi na idadi kubwa ya wahamiaji, na kuua watu 74 ambapo kuna uwezekano wa ndugu zetu wa Tanzania. Pia huwa wanajibanza haya majengo ni maarufu kwa wahamiaji kwa sababu, wengi huwa hawalipi kodi kuishi au kulipa kodi...
  17. Teknocrat

    Top 100 Basketball Shoes of All Time

    Naanza na hivi hapa, mwenye favorite yake naye aweke tuvione 1. Converse All Stars 2.Nike Air Revolution 3.Pump Omni Zone Retro 4.Nike Air Force Command 5.Nike Sky Force 6.Nike Delta Force 7.Adidas Pro Model 8.Adidas Forum 9.Nike Terminator High 10.Nike Air Jordan VI
  18. Teknocrat

    Kwa kweli Bongo bado sana

    Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila...
Back
Top Bottom