Search results

  1. Bilionea kid

    REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

    Anaga nyimbo mbaya zote ukisikiliza uchoki
  2. Bilionea kid

    REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

    Mm nimekuwa mgonjwa kabisa ukishika simu yangu nimeweka playlist ya nyimbo zake tuu Ngoja nitaanzisha Uzi wa nyimbo zake tuu
  3. Bilionea kid

    REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

    Kama unashida na nyimbo zake niambie unataka nyimbo gani Nitakutafutia
  4. Bilionea kid

    REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

    Nyimbo zake zingine ni hizi UNIACHI USIKU MTAKATIFU (OH HOLY NIGHT) VITA NI VIZURI POKEA SIFA HERI SIKU MOJA TULIA WEWE NI BWANA I HAVE TASTED nimeoja SAUTI etc.
  5. Bilionea kid

    REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

    Hili halina ubishi huyu jamaa anatalanta ya kipekee sana Licha ya kuwa hana uwezo Wa kuona tangu kuzaliwa kwake (KIPOFU) Lakini anauwezo MKUBWA Wa kupiga vyombo vingi vya mziki Sauti yake ni ya kipekee na ya tofauti sana hafanani na mwanamziki yoyote yule Reuben kigame ni mkenya anaishi...
  6. Bilionea kid

    Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

    😂😂Raymond... Da vinci
  7. Bilionea kid

    Nani Mkali wa Voice Over?

    Sio ML.Chris's huyo anaitwa Patrick masele hata Instagram anatumia jina hilo hill Watu wamchanganya sana huyu jamaa
  8. Bilionea kid

    Nani Mkali wa Voice Over?

    Patrick masele ni yule jamaaa anasikika kwenye matangazo mengi clouds Mafano kwenye power breakfast ile sauti inasema "inalipa kusikiliza power breakfast" Vipindi vyote vya cloud's vikiwa vinaanza lazima usikie sauti yake
  9. Bilionea kid

    Nani Mkali wa Voice Over?

    Anaitwa PATRICK MASELE
  10. Bilionea kid

    Maajabu ya East Africa Got Talent

    VP kuhusu huyu mtoto?? Na yeye hana kipaji??
  11. Bilionea kid

    East africa got talent

    Ni 🔥🔥🔥🔥🔥
  12. Bilionea kid

    East africa got talent

    Wakuu ile show ambayo nilikuwa ikingojewa kwa hamu kubwa imeanza sasa EAST AFRICA GOT TALENT 2019 Mashindano haya yakusaka vipaji yanafanyika nchini Kenya nakurushwa na baadhi ya television CLOUDS TV /CITIZEN TV /UGANDA TV nk Kama ulimiss basi cheki episode ya kwanza ya huyu mtoto Wa miaka 7...
  13. Bilionea kid

    SISTER MARRY hatimae imeachiliwa...

    Kwan wew unaonaje?? Natafuta demu 😎
  14. Bilionea kid

    SISTER MARRY hatimae imeachiliwa...

    Utakuwa unatumia kimeo
  15. Bilionea kid

    SISTER MARRY hatimae imeachiliwa...

    🏃🏃🏃🏃
  16. Bilionea kid

    SISTER MARRY hatimae imeachiliwa...

    Wakuu mambo vipi ile movie ya sister marry iliyofungiwaga na body ya filamu Tanzania Kisa haina maadili inadhalilisha kanisa katoliki hatimaye imeachiwa huru Daaah! Movie moja kaliii sana Humu ndani yupo Irene uwoya/johari/ray Imetengenezwa na kampuni ya RJ company (ray&johari
  17. Bilionea kid

    Pool table inauzwa

    Hivi leo ni ijumaa kuu?? H o n g e r a! Kwakuvaa sendo mpya 😂😂
Back
Top Bottom