Search results

  1. M

    Ufisadi mpya kutikisa Bunge

    Hakika hakuna CCM baada ya Kikwete Makamanda.
  2. M

    Ufisadi mpya kutikisa Bunge

    Hii ndiyo sababu ya Dr mwakyembe kuondolewa mapema asingebaki salama
  3. M

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    mkuu kwanza tujenge chama chetu. wakati ukifika democrasia itaamua jambo sahihi kwa watu wa jambo letu la kisesa. tunao watu sahihi. kipaumbele chetu ni kujenga uongozi imara wa chama watu wanasubili kuliona hili kila kukicha.
  4. M

    Kigwangalla ajipalia makaa CCM;Aitwa na Kamati ya bunge kujieleza....

    Mbunge huongozwa na dhamira katika kila jambo analofanya bungeni. tutajua tu dhamira ya mh kigwangala this week.
  5. M

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    Mkuu uko sahihi, ningependa kumhakikishia mdoa mada ya kwamba mwaka 2015 jimbo la kisesa litarudi rasmi upinzani.
  6. M

    Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

    Ushauri wangu waiogope dhambi ya ubaguzi wa dini kabila ubara na uvisiwa.
Back
Top Bottom