Search results

  1. Bishop Hiluka

    Linapokuja suala la filamu, nauheshimu sana Mkoa wa Tanga

    Kidedea (chini ya mwanadada Peace), Mambo Hayo (Nyota Ensemble chini ya Bishanga na wenzake) na Kaole yalikuwa makundi matatu tofauti yaliyorusha michezo ITV. Kidedea ndo iliyowaibua akina Jengua, Tabia n.k...
  2. Bishop Hiluka

    Linapokuja suala la filamu, nauheshimu sana Mkoa wa Tanga

    Ni kweli filamu zilianza tangu kipindi cha ukoloni (enzi za kina Kawawa) ila zilikuwa za miradi na ziliegemea kwenye mafunzo, hapa tunaongelea commercial films (filamu za kibiashara)...
  3. Bishop Hiluka

    Linapokuja suala la filamu, nauheshimu sana Mkoa wa Tanga

    Inaitwa AUGUA, filamu ya kwanza nchini iliyopata udhamini wa Mfuko wa Utamaduni, mtayarishaji si Said Bawji (mwasisi wa Sani) bali kaka yake, Amri Bawji, ambaye alikuja kuwa mhariri wa Sani baada ya kifo cha Said. Pia alianzisha jarida la AMBHA... Mimi nina nakala ya filamu hii...
  4. Bishop Hiluka

    Linapokuja suala la filamu, nauheshimu sana Mkoa wa Tanga

    Yule ras, jina limenitoka kidogo... Nakumbuka siku moja tukiwa na Mrisho Mpoto (back in 2005, wakati huo hajawa maarufu), tulikuwa Kibaha basi ikawa tafrani, watu walijaa kumwona Nsyuka (kwa sababu ya rasta zake)...
  5. Bishop Hiluka

    Sultan Tamba na Mussa Banzi Chukueni maua yenu japo bado tunawadai muendelezo wa baadhi ya filamu. Kanumba alichangia kuua soko la filamu

    Natumaini siku moja mambo yatabadilika ila ni pale tu wasanii wakiacha kuchanganya kazi na siasa, maana huku ndo kulikojaa machawa promax na makuwadi wa kuwakuwadia wakubwa totoz. Dah, ngoja niishie hapa...
  6. Bishop Hiluka

    Linapokuja suala la filamu, nauheshimu sana Mkoa wa Tanga

    Umeona eh! Ukweli bado tuna safari ndefu sana...
  7. Bishop Hiluka

    Sultan Tamba na Mussa Banzi Chukueni maua yenu japo bado tunawadai muendelezo wa baadhi ya filamu. Kanumba alichangia kuua soko la filamu

    Si kwamba hapendi spotlight bali alikuwa hataki kujichanganya na wasanii, kifupi anawadharau. Kwa sasa yupo na mishe zingine maana amepigwa sana vita na Wahindi (hasa Steps), walifikia hatua ya kumletea TRA kwa kisingizio kuwa anakwepa kodi, akapigwa hela nyingi sana (ili kufirisiwa)...
  8. Bishop Hiluka

    Sultan Tamba na Mussa Banzi Chukueni maua yenu japo bado tunawadai muendelezo wa baadhi ya filamu. Kanumba alichangia kuua soko la filamu

    Ni kweli movies za part 1&2 zilikuja kuharibu maana watayarishaji walilazimishwa kurefusha matukio ili filamu zao ziwe ndefu. Utakuta mtu kwenye movie anatembea barabarani dakika 5, establishing shot ya mji dakika saba! Issue ya Gabriel Mtitu (Game 1st Quality) ni kweli hatajwi ila ndiye...
  9. Bishop Hiluka

    Linapokuja suala la filamu, nauheshimu sana Mkoa wa Tanga

    Tanga ndiko kwa “magwiji wa filamu nchini”. Kwa nini nawaita hivyo? Ndio watu pekee waliothubutu kuandaa filamu za kibiashara katika miaka ya 1990 japo mazingira yalikuwa magumu sana; wakati huo hakukuwa na mahala pa kuuzia filamu, hata uoneshaji sinema kwenye majumba ya sinema ulikuwa ukisuasua...
  10. Bishop Hiluka

    Sultan Tamba na Mussa Banzi Chukueni maua yenu japo bado tunawadai muendelezo wa baadhi ya filamu. Kanumba alichangia kuua soko la filamu

    Nonsense... Nimekuwa Katibu Mkuu wa Tanzania Film Federation na Board Director wa Tanzania Film Board. Mimi pia ni mwasisi wa Bongo Movie na nimefanya kazi na wasanii wengi ambao walikuja kuwa maarufu. Narudia tena kusema HUJUI CHOCHOTE kuhusu film industry. Kwenye filamu ya Girlfriend, Tamba...
  11. Bishop Hiluka

    Sultan Tamba na Mussa Banzi Chukueni maua yenu japo bado tunawadai muendelezo wa baadhi ya filamu. Kanumba alichangia kuua soko la filamu

    Naona umechanganya mambo. Sijajua kama unafahamu kuwa Sultan Tamba ni tofauti na Tamba Arts Group, kundi ambalo lilikuwa chini ya Dk. Maneno Tamba (pale Magomeni). Maneno alikuwa kaka wa Sultani. Hili kundi la Tamba ndiko alikoanzia Mussa Banzi kabla hajaanzisha kampuni yake. Hivyo mengi...
  12. Bishop Hiluka

    Watanzania acheni roho mbaya kuhusu Zuchu na mziki wake, embu mwambieni ukweli

    Haha! Nasikia DAH! imeangusha matikiti huko...
  13. Bishop Hiluka

    Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

    Dah! Nimetamani kucheka ila nikajizuia...
  14. Bishop Hiluka

    Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

    Yeah, long time... Gayo ame-advance mno, bado yupo kwenye creative industry na sasa yupo international level. Lyamba anaishi Mongolandege ila sijui anafanya nini nowadays. Bonge aliyekuwa Petrol Station (Julius Mhilu) sijawasiliana naye for 2 years now, sijui anafanya nini ila nafahamu anaishi...
  15. Bishop Hiluka

    Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

    Mimi nimeshakutana na Msanii yuko poa sana...
  16. Bishop Hiluka

    Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

    paschal, hivi unatarajia nini kwa mzazi ambaye mwanawe akitega kwenda shule anamwambia "shauri yako, husomi kwa faida yangu", ila akitega kwenda madrasa basi atapigwa bakora na chakula hali! Watu wanahangaikia elimu ahera...
Back
Top Bottom