Search results

  1. Triple G

    Naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka shule binafsi kwenda serikalini

    Habari! Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa anamsomesha mambo hayako vizuri ameona amhamishie Saranga Sec (govt school). Kijana analelewa na Bibi...
  2. Triple G

    Natafuta mtu anayefanya kazi NSSF Tawi la pale millenium tower au mwenye mtu yupo pale

    Habari Kuna mwenye connection na mtu wa NSSF pale Tawi la millenium tower, Makumbusho? Nicheki PM.
  3. Triple G

    Natafuta mkulima mwenye stock ya soya

    Hello! Natafuta mkulima au mtu mwenye stock ya Soya beans ile ya njano kuanzia tani 3 anipe na bei elekezi. Nimeweka picha ya Soya.
  4. Triple G

    Soko lipi la madini linafaa kati ya Dodoma na Dar?

    Hello wadau! Nilihitaji kujua soko la kuuzia madini mbali mbali ruby, dhahabu e.t.c, Soko lipi Linafaa la Dar es Salaam au lile la Dodoma? Kwanini Dodoma na sio DSM? Kama kuna sababu mbili tatu. NB; Sina madini yoyote ni kutaka kujua tu
  5. Triple G

    Natafuta Mkulima wa Pili pili kichaa aina ya African Birds Eye (ABE)

    Hello Habari! Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE). Please naomba unicheki.
  6. Triple G

    Hawa Tik Tok Vipi tena!

    Nimedownload tik tok juzi kati sasa kila video inayokuja wanawake wana misambwanda balaa wanacheza hata nisipofungua leo nikifungua kesho wanaleta video zile zile...mpaka nataka ku uninstall..
  7. Triple G

    Natafuta taasisi ya mikopo Dar es Salaam

    Hello! Kuna jamaa yangu anatafuta taasisi ya mikopo inayotoa mkopo kwa haraka hapa DSM. Dhamana ni kadi ya gari. Ukipatikana atakuja hadi ofisin kwako. Karibuni.
  8. Triple G

    Natafuta connection ya wakulima wakubwa na wakati wa mazao mbalimbali

    Hello! Natafuta mtu anayefanya au kuniconnect na wakulima wakubwa na wa saizi ya kati sehemu yoyote Tanzania wanaojihusisha na kilimo cha mazao mbalimbali! Ikiwemo Parachichi, Maembe, Pilipili, Kunde, mbaazi, Njegere, Maharage e.t.c Naomba tuwasiliane: 0743 848598
  9. Triple G

    Accountant (1 Post) at T & B groupement LTD

    JOB ANNOUNCEMENT VACANCY TITLE:- ACCOUNTANT (1 Post) - FULL TIME JOB AT: - T & B GROUPEMENT LTD,DAR ES SALAAM RESPONSIBILITIES Managing accounting and control, improve, and establish accounting and financial related process to ensure high quality and efficiency. Lead budget planning...
  10. Triple G

    Job Opportunity- Sales and Business Development

    Job Announcement Vacancy title: - Sales and Business development (Experienced) - Full Time Jobs At: - T & B groupement Ltd Job Brief We are looking for an ambitious and energetic Sales and Business Development Manager to help us expand our clientele. You will be the front of the company and...
  11. Triple G

    Job opportunity # 2

    Vacancy title: *Sales & marketing officer (Full time) – Experienced. Jobs At: *Fair travel safaris Ltd, Dsm (A Tour Company). Job Brief: *Fair travel Safaris is looking for experienced, sales and marketing officer to help increase company sales. In this position you will be involved in...
  12. Triple G

    JOB OPPORTUNITY

    Vacancy title *Company Secretary (Full time) – (experienced) Jobs At: *T & B groupement Ltd, Dsm. Job Details; *Answering calls, taking messages & handling correspondences. *Maintaining Diaries & arranging appointment. *Typing and preparing reports. *Organizing and servicing meetings...
  13. Triple G

    Natafuta mtu Aliyesoma Marketing katika Tourism

    Hello, Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya marketing katika sekta ya Utalii!! position based in Arusha! Uaminifu katika kazi uwe wa kiwango cha juu!! Njoo inbox
  14. Triple G

    Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya Hospital

    Habari! Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya/Kukodi hospital kama kuna madalali au watu wenye connection humu karibuni!! Mkoa wa Dar es salaam Vigezo! Gorofa 3 au 2 au 1 vyumba 25 na kuendelea Parking space Panafikika kwa urahisi Iwe sehem ambayo watu wa class zote wataweza kupata huduma Isiwe...
  15. Triple G

    Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua aina yake?

    Wakuu Salama! Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua ni ya aina gani?
  16. Triple G

    Any Lady for Hook up in Mwanza

    Shwari!! Nimekuja mwanza nipo Nyegezi hapa kuna Hotel Moja inaitwa Kumalija Hotel!! Any lady free kesho nicheki sio mbaya kufahamiana!! PM me!!
  17. Triple G

    Chumba kinaihitajika Kimara Mwisho

    Salama wakuu Kuna mtu rafiki yangu anakuja mjini hapa!! Anatafuta room self contained yenye tiles hapo maeneo ya Kimara Mwisho karibu na mwendo kasi. Bajeti yake ni Sh. 60,000 - 70,000. Yoyote anayemjua dalali aniunganishe nae.
  18. Triple G

    Basi zuri safari ya Dar - Simiyu

    y
  19. Triple G

    Naomba kujua mabasi yanayoanzia Dodoma kwenda mwanza

    Wakuu salama!! Naomba kujua mabasi yanayoanzia Dodoma kwenda mwanza!! Natokea dar kwenda dodoma sema nitaondoka nimechelewa kesho asubuhi nataka kuondoka na basi la dom mwanza la Saa kumi na mbili asubuhi. Kwa anayejua naomba anisaidie nijue naanzia wapi!! Shukrani!!
  20. Triple G

    Msaada: Coin ya 50 ya kingdom ya Bahrain inaweza kuchenjika?

    Hello wakuu, Coin ya 50 ya kingdom of Bahrain inaweza kuchenjika?
Back
Top Bottom