Search results

  1. M

    Naomba msaada wa taarifa hizi za kujifungua Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Gharama zake zinaweza kurange kias gan bos
  2. M

    Naomba msaada wa taarifa hizi za kujifungua Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Naomba mtu mwenye kujua gharama za kujifungua kwa upasuaji kwa Muhimbili ni kiasi gani? Na ikitokea mtoto kazaliwa njiti process zinakuwaje za kumweka kwenye chupa? Na gharama zake zikoje? Naomba mwenye uelewa anisaidie.
  3. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpooo? Chritmas njema kumbe kuacha kubet inawezekana [emoji122]
  4. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi jaman nimeaga rasmi kubeti maana this is too much nimeliwa mno hii miez miwili na stake naweka kubwa inauuma zaid Miez miwili nimekula mara moja mkeka wa maana ule niliweka mia tano nikala mil 2 na kitu na zaid labda hizii za live ndo unakula ila nimekuwa nikiweka mikeka midogo ya odds 2-5...
  5. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Girona alipaswa kuwa anaongiza kwa goli 4 au 5 mpk sasa
  6. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Girona mbona anakosa magoli ya wazi sana
  7. M

    Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    Leo live gane kila nikicheza naliwa tu zimegoma kabisa [emoji27]
  8. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sitak marafik siwataki mi [emoji23][emoji23][emoji736][emoji736][emoji736] hela aliyokula bayern imerud
  9. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dortmund kupata goli kapewa odd 2 turudishe mitaji iliyoliwa leo weka lakin3 upate laki 6 Hata kama ana redcard atapata goli trust
  10. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usiende play store nenda kwenye web direct tumia safari kama una apple au web iliyoko kwa sm yako inaplay vzr ukiangalia kwa internet live kuliko kwa app
  11. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi live alipigwa goli nikacheza live mkeka wa kwanza nikaweka 50k nashinda 90 Nimekaa dak zinaendda odd zikapanda nikaweka tena 100k apaate goli mbili nashinda 300 na ushee Dak ya 90 wako 1-1 nikacash out mkeka mmoja nikarudisha 100k niliyobet si wakapiga cha pili so nimeshinda ule mdogo wa 90...
  12. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapaate kagoli sasa iwe 5-2 maana nimewacheze live game
  13. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bayern karogwa si bure [emoji23] bora nilimpa 1.5
  14. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yanga win Al ahly win Odd 5 Weka laki bana kwan ushapoteza hela ngap kwenye beti? Ukipoteza hii laki si kitu
  15. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Arsenal hawez kubeba ubingwa ndg bado hana kikosi imara cha kumudu nyakati ngumu Hebu apate majeraha ya Rice na odergad ndo uone kitatokea nn? Halaf msimdharau City hata kdg me nishashindana nae mara 3 najua ubora wake huwa ni mwisho wa Ligi Zile mechi 10 za mwisho City huwa anashinda zote...
Back
Top Bottom