Search results

  1. K

    Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa kwanza anaijua kazi yake na nanaipenda pia ni mtoa hamasa kubwa nilikuwa namuona kwenye benchi la...
  2. K

    TFF chukueni hatua juu ya malalamiko ya vyumba vya kupumzikia wachezaji

    Kuna malalmiko mengi yanatolewa na timu kuhusu vyumba kupuliziwa dawa. wachezaji wasipoingia TFF mnakuja na adhabu pasipo kuchunguza kimsingi hii si haki na si sehemu ya kutatua tatizo msingoje hadi watu wapate madhara ndo muanze kuchukua hatua. fanyeni uchunguzi na mjiridhishe ndo mchukue hatua
  3. K

    Refarees wa TPL wanatolewa kafala

    Ukiangalia vizuri tatizo hili ni kwa karbu kwa refarees wote wa TPL kutoa maamuzi yaliyo tata utadhani hawajui sheria; hivyo TFF kuna kitu wanatuficha wadau wa soka aidha kuna maagizo hivyo inawalazimu refarees kutokujiamini. Baada ya matukio haya kila kukicha yanazidi kuwa makubwa sasa...
  4. K

    Haji Manara jitathimini kuwaita wenzako takataka

    Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje
  5. K

    Molinga Ndama jitathimini

    Kitendo cha Molinga kutolewa na kwenye mechi dhidi ya biashara kilimuudhi akaamua kuondoka uwanjani si mara ya kwanza kuna mechi moja ya Ligi alitolewa tena timu ikiwa chini ya Zahera alionesha kutoridhika na maamuzi Hivi Ndama kwa kiwango kipi anachokionesha hadi asifanyiwe sub Kagere the...
  6. K

    OThumani Kadhi achana na uchambuzi wa majukwaani

    Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha...
  7. K

    Athumani Kazi, jitathmini katika uchambuzi wako wa soka

    Nimeshangaa sana anadai penati ya Simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penati. Kama una unazi achana na unazi binafsi, nakukuheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/ makosa ya huyo mama Jenesia, acha kabisa...
  8. K

    Kocha Aussem umeonyesha ukomavu wa ukocha wako

    Licha ya kufukuzwa kazi Aussem hajalalama na kuzunguka kwenye vyombo vya habari ingawa inadhihirika kuwa hakuwaleta wabrazil na makosa si yake maana hawakuwa na mchango kwenye Championi League hapo ndo unatambua kuwa Zahera si kocha Mungu akutangulie huko uendako
  9. K

    Zahera endelea kuzunguka kwenye vyombo vya habari

    Ww Zunguka tu sisi tunasonga mbele hatupaki basi Mkwasa kaza vijana hawatakuangusha
  10. K

    Imedhirika kuwa Zahera si kocha

    Baada ya kuondolewa Yanga amebaki anazunguka kwenye vyombo vya habari kila kukicha nambieni kocha yupi duniani aliondolewa akaanza kuzunguka zunguka kwenye media kinachoonekana alikuwa dalali sasa mambo yamekwama amepagawa
  11. K

    Ninawakumbusha wanayanga wenzangu kuhusu Zahera

    Juzi nilitoa thread ikisema inasema Zahera atatoa visingizio mechi dhidi ya Police baadhi wakatukana ninarudia tena Zahera hana mbinu tena na wakati wake wakuondoka umefika viongozi msipepese macho jamaa atimuliwe mapema kabla hatujafikia kilele cha ligi na kuanza kung'ang'ana kushuka daraja...
  12. K

    Metacha Mnata punguza matatizo haya

    Unadaka vizuri tatizo lako ni hili umeanza makosa ya kupoteza muda wakati timu inahitaji ushindi mfano mechi dhidi ya Zesco far es salaam hata kule Zambia
  13. K

    Zahera kutoa visingizio tena mechi dhidi ya Polisi septemba 2, 2019

    Wanayanga wenzangu huyu mzee hana jipya tukifungwa ama kudroo mechi dhidi ya polisi atasema wachezaji walikuwa na uchovu na hlo tulitegemee uongozi jamani pingeni kauli za huyu kocha timu imecheza mechi nyingi sana lkn kila siku visingizio haviishi walai kwa mbinu zile za kupaki basi sahau...
  14. K

    Chonde chonde Zahera aondolewe mapema timu ya Yanga

    Tuseme ukweli na tuache unafiki Zahera timu imemshinda. Wengi watajivunia kumtoa Township Rollers lakini aina ya mpira tulioucheza ulikuwa mbovu sana ni bahati ilitokea na bahati huwa haijirudii mara mbili . Pia najiuliza anataka apewe muda gani ili timu ifunge magori sasa kazi yake kama kocha...
  15. K

    Simba hatimaye kujiendesha kihasara

    Simba imesajili wachezaji wengi wa kigeni na kuwapa mikataba minono ya kifedha huku wakitegemea kufika ktk hatua kubwa ya klabu bingwa ambayo imekuwa ni chanzo kikubwa cha sehemu ya mapato sasa tutarajie kuiona simba wakivurugana maana wengi wa viongozi wao wapo pale kwa masirahi Kumbukeni MO...
  16. K

    Kwa mwendo huu wa Zahera wanayanga tujiandae kisaikolojia

    Ukweli unauma wanayanga wenzangu na nilazima usemwe 1. Hajashinda mechi hata moja ya kimashindano 2.anadai wachezaji hawajapata phisic 3.anawabeza wachezaji jana anasema wanacheza ovyo wakati amewasajili mwenyewe 4.anatoa visingizio vya uwanja mbovu utadhani timu pinzani ilikuwa uwanja...
  17. K

    Zahera siku zako zinahesabika

    Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv polisi walikuwa uwanja wa taifa au wanayanga huyu jamaa kiburi kimezidi anaifanya yanga kama timu...
  18. K

    Wachezaji wanaotakiwa kuachwa na Yanga msimu ujao

    Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao 1.Kindoki 2.Haji Mwinyi 3.Mathew Antony 4.Buswita 5.Kamusoko 6.mahadhi 7.Dante 8.Jafari 9.Boban
  19. K

    MEI MOSI KWA WAFANYAKAZI PALE SOKOINE ILIKUWA NGUMU CJUI KWA SIMBA

    Watani wetu Simba mkitaka mjue kuwa uwanja huo wa Sokoine ni shubiri waulizeni wafanyakazi na cjui kama leo mtatoka
  20. K

    Wazee wa viporo vp leo kiporo cha kagera

    Leo kiporo kinaelekea kuchacha hatari fire
Back
Top Bottom