Search results

  1. F

    Natafuta vitabu vizuri vya sasa vya physics kwa O-level

    Natafuta kitabu kizuri kwa sasa cha physics kwa O-level kwa syllabus yetu hapa nchini. msaada plz kwa wale mliopo kwenye secta hiyo.
  2. F

    Maoni: Kutumia division kwa matokeo ya kidato cha pili si upimaji sahihi

    Division kwa level ya form two sio kipimo kizur kiukweli. Hiz division kwa miaka yetu tulikuwa tunakutana nazo form four maana kitendo cha kusema div one, two, div 3 na div 4 ni kufaulu kiukweli hii four inawafanya watoto wengi kuanza kupunguza masomo mengi akiwa vidato vya chini kwa kuona ana...
  3. F

    Tumefanya oral interview ya Viettel Tanzania Company

    pale ilikuwa ni mchanganyiko ndugu tulikuwa wengi katika post tofaut tofaut sasa naona kimya au kuna yeyote humu aliyekuwepo kashutuliwa? tuambizane
  4. F

  5. F

    Tumefanya oral interview ya Viettel Tanzania Company

    Hawa jamaa wanarecruit tena so kama mtu niliitwa kwa interview yao bt hawajanipa feedback yoyote naweza apply tena wadau?
  6. F

    Tumefanya oral interview ya Viettel Tanzania Company

    Vp any Feedback kwa yule aliyekuwepo kwenye oral interview ya hawa jamaa.. au Bado?
  7. F

    SCI Internal Job Bulletin 18/06/2014

    nzokagr30@gmail.com nitumie na mim hapa plz
  8. F

    Kazi Baada ya Shule

    i like ur idea but as capital always ndo kikwazo sidhan kwa hali ya sasa ilivyo kama ningekuwa na capital nikawaza kutafuta kazi badala yake ningekuwa nawaza kufungua mishe zangu ndugu
  9. F

    Kazi Baada ya Shule

    habari. mim ni final year natarajia kuwa mtaani next month so kwa course niliyosoma ya computer science ningependa sana kuwa mwalimu wa hii fan. so kwa yeyote au anafahamu kuna Institute,college au hata center nzuri inatoa course za computer science na wanahitaji mkufunzi ni vizuri ukaniconsult...
  10. F

    HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

    Necta->Wewe & -Necta .'. -Wewe hapo dogo mim nimeprove by Fallacy of Denying the Hypothesis bila hivyo naona sasa Hakukua na Haja ya wewe kuitegemea Necta Lasivyo Hatuna Necta... Mbururalization Imefanyika mwaka huu.... Hongereni kwa kumbururwalizi na Necta
  11. F

    Bei ya cherehani mpya kwa sasa

    Hey! habari jamani, nahitaji kununua cherehani hebu mwenye uzoefu na hizi vitu anisaidie kunipa detail yoyote kuhusu aina nzuri na bei hasa nzuri za cherehani.
  12. F

    Free softwares

    Hello! wana habari wan jamii forum wenzangu siku kuu imeendaje? hope it was good. Kama nilivyosema hapo juu software za bure zinanipa taabu keli sasa any one ajaribu kunisaidia plz ni hivi nili instal IDM ya bure as trial ikawa inapiga mzigo bila tatizo so after 30days kitu kikataka nijiregist...
  13. F

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    okay! I'll try. But kuhusu kusimamisha kwangu tena imekuwa ni taabu maana hata nikitembea na she alfu fikra zangu zikianza kumjengea picha du huwa jamaa yupo fasta anasmama na kuninyima hata poz. Ila tatizo ni hapo tu napotaka nami nipate raha ya dunia matokeo yake naishia kuumia na kulia maan...
  14. F

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    ok! Thanx let me try it. But hiyo asali natumia pale tu napotaka kufanya kitendo hicho au natumia kama doz ili initibu jumla jumla? Pia nalamba au naipakaa ktk uume? Napata taabu kweli.
  15. F

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Duh! Nitajaribu kufuatilia but ngoja nijaribu hiyo asali na mdalasin kama wengi walivyo sema
  16. F

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    ahsante but ktk kipind cha advance chote nimekuwa nikijaribu kama 7times but the problem still ndo linaongezeka. Sasa nipo chuon naogopa hata kumtongoza msichana hata kama nikiwa nimevutiwa naye najikaza tu.
  17. F

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Dr hili ni tatizo ambalo sasa nimeamua kuomba msaada kwenu maana nilipoanza kufanya sex nikiwa form 4 hali hii ilinitokea nikaipotezea nikiamini kuwa ni kwa sababu ni mara ya kwanza na pia sikutaka kuumiza kichwa changu ukizingatia nilikuwa ktk mwaka wa mwisho wa masomo ya o-level. But hii hali...
  18. F

    Njia zote nimetumia kwake, mwaka wa tatu sasa bado simuelewi

    Duh! naona mnanipa vidonge vyangu. nilitegemea haya yote maana si kitu cha kawaida kwa mbongo kama mimi kupigwa pending kwa miaka mitatu yote. that y nimeona wengine wakiniambia mimi ni mshamba others mimi zoba but yote kwa yote mimi nilitaka mawazo yenu tu maana kufikia hatua hii niliyoifanya...
  19. F

    Njia zote nimetumia kwake, mwaka wa tatu sasa bado simuelewi

    Mwana ni kweli nilitaka nikaze buti lakini sasa naona kamba zinazidi kulegea tena kwa kasi
Back
Top Bottom