Search results

  1. sychellis

    Je, ni faida au hasara kwa Taasisi na Mashirika ya Umma kuajiri yenyewe bila kupitia Utumishi (Ajira Portal)?

    Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma. Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
  2. sychellis

    Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    Habari za Asubuhi wanajamii forum, Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza basi ashee nasi hapa kwa vipengele vyote walivyotoa TRA hususa ii ya September 2023. 1.SWALI Namba...
  3. sychellis

    Nimepotelewa na vyeti vyangu vya shule pamoja na cha kuzaliwa

    Habari, Naitwa MGOLE MWITA CHACHA Nimepotelewa na vyeti vyangu vya shule pamoja na kuzaliwa vyenye jina tajwa hapo juu. CHETI CHA FORM FOUR-MAJANI YA CHAI SEC SCHOOL CHETI CHA FORM SIX-UWEMBA SEC SCHOOL CHETI CHA CHUO-NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT(NIT) CHETI CHA KUZALIWA Iwapo ukibahatika...
  4. sychellis

    Ni njia zipi za kukuza GPA kama ikitokea umemaliza Chuo na GPA ndogo

    Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
  5. sychellis

    Njia za kupokea mizigo kutoka nje ya nchi

    Naomba msaada. Nina mzee wangu yupo Saudi Arabia anataka anitumie nguo ni njia ipi rahisi na ya bei nafuu ambayo itasaidia nipate mzigo yangu. Ni kampuni zipi hapa Tanzania zinahusika ambazo pia zipo Saudi Arabia na gharama zake zipoje. Naomba msaada
  6. sychellis

    Naomba msaada wa hili swali

    The strategic formulation approach to entrepreneurial theory emphasizes the planning process in successful venture development. In strategic formulation school of thought explain four types of strategic involved with unique elements.
  7. sychellis

    Mchumba kakataa kuongea na mimi kwenye simu aliyopelekewa na mama yangu

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma Chuo Degree Mwaka wa Pili, kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri, sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja hiyo. Siku moja nilienda kumsalimia mama nikamuona huyo binti, jamani ni mzuri balaa. Yeye baba ni Mzanzibar na mama...
  8. sychellis

    Ingekuaje kama jamiiforum ungekua ukianzisha uzi unalipwa kutokana na wingi wa coments na likes za watu

    Wakuu mnaonaje ingekuwa ivyo watu si wangeanzisha mada za msingi na zenye kuwavutia watu ili wapige pesa. Kwani haiwezekani namna yeyote ifanyike
  9. sychellis

    Je ni kosa? Naweza kufungwa?

    Habari wakuu, tangu wiki iliyopita natumiwa sms na bank moja hapa nchini wakiniambia laki tatu imeingia kwenye akaunti yako mara laki mbili imetoka mara laki na nusu imeingia, sasa nikawa nashangaa maana sina acount katika hiyo bank, nikahisi labda mwenye hiyo account atakuwa labda amekosea...
  10. sychellis

    Mtu kakosea kaweka namba yangu kwenye akaunti yake ya benki na sasa benki inataka kuniungnisha na sim banking

    Habari yenu wakuu, Tangu wiki mbili zilizopita natumiwa sms na bank moja hapa nchini ikinambia laki tatu zimeingia kwenye akaunt yako mara laki na nusu imetoka, mara laki mbili imeingia, na wakati mimi sina akaunti kwenye iyo bank Sasa nashangaa nikahisi labda huyo mwenye akaunt atakua...
Back
Top Bottom