Search results

1. F

Meli kongwe ziwa Tanganyika

Kuna meli inayofanya shughuli za usafirishaji WA abiria ktk ziwa Tanganyika tangu Enzi za mjerumani. ILA mi napata wasiwasi WA kuendelea kujivunia na history hii. I think this is not safe kwani bado hata kipindi cha maombolezo hakijapita. walio kiunda muda huu wangekuwa wanesha ki dump. kazi...
2. F

Mwisho afunga pingu za maisha na Merly wa Namibia

Huu ubaguzi! mtoto akikuwa atachange name. C unamkumbuka bitoz nyangema alijiita two pac!
3. F

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Nini nini! sura kama ngozi ya goti..
4. F

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Sura kama unangojea kupiga chafya!
5. F

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Vidole kama virungu vya plus band!
6. F

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Nini nini.. Hadi leo ukiambiwa uandike 1 unagandamizia..
7. F

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Nini nini! baba ako alifukuzwa shule kwa kuongoza kula chaki!
8. F

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Twende sasa.. Umekomaa mpaka una amshwa na shoti ya kibatari!
9. F

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Twende twende! Uchogo mrefu kwenye uchochoro hugeuki.
10. F

HIP HOP na chama chenye madaraka

Hi! Mimi ni mfuatiliaji wa nyimbo hizi wanazoita HIP HOP! Lyrics zao huwa nazipenda na most huwa zinaelezea life ya bongo ilivyo tight na mafyongo ya wakubwa! But during campain wana edit hizo songs na kufagilia chama or kiongoz ovyo! izt a HIP HOP?
11. F

Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

Kuna moja Big Benjamin alipiga na Actor wa Last king of Scotish(Wakimwiga Id Amin) if am not mistaken! I hav a pic..
12. F

Nyumba ya Mbunge Kapteni John Komba yaungua moto

Duh pole! Ila umeshapata reason ya kulala mjengon! A house z not a home no more! pigania posho mpaka mwisho ukadondoshe mjengo mwingine! Othrwise nyumba za kupanga hutopiga disco le2 la iyena iyena...
13. F

Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi’

I mean usi stick kwamba mshua ni dhehebu hili then nikihama itakuwa soo! Kila mtu atakuwa na a/c yake kwa muumba. Mwanadam umepewa utashi wa kutenda jema au baya tofaut na viumbe wengine!
14. F

Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi’

Jaman tusome hizi dini. Siku ya hukumu hakutakuwa na maneno ya mipasho km hapa. Siku hiyo ni nzito baba hatomjua mwanawe kila mtu atakuwa after nasfi yake kwanza. Jaribu kureason why we have all these religions, lengo la dini km linakuingia kichwan.
15. F

Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

Mwongozo plz: kushinda njaa walianza kina Jesus takriban 40 days, Abram na wana wa jerusalem ikifika mwezi wa tisa: lets hit the point: i hate leaders wasiowajibika. e.g JK
16. F

Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

17. F

Asikudanganye mtu bana hii kitu ni tamu balaaaa

Umenikumbusha enzi zetu YESU akioona hiyo kitu anaitupia PEPO WACHAFU! Usijekuta ndo side efect ktk hii generation!
18. F

Hawa ndio wafanyabiashara wa mafuta nchini wakivutana na Serikali juu ya bei mpya !

Mbona huyu wa kwanza kama kaweka kadi ya chichi yemu methani? Au naona kwa kutumia masabuli?
19. F

Tigo na Wizi Mpya watatumaliza

Airteeel iko jambaz! Kwanini yeye kata hela ya sms ikiandika massage sent ila ikifeli hata kwa netwok problema wenyewe wameshajichotea mihela. Hamia TTCL
Back
Top Bottom