Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu Watanzania,
TAMKO LA TLS JUU YA KUWEPO KWA WIMBI LA PILI LA UGONJWA WA KORONA NCHINI
Mnamo tarehe 13 Februari 2021 Baraza la Uongozi la TLS lilikutana kutekeleza majukumu yake na moja ya ajenda ya kikao hicho ilikuwa ni umuhimu wa TLS kuitaka Serikali kutoa tamko...
TAARIFA KWA UMMA
TAMKO LA TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) JUU YA UAMUZI WA KAMATI YA MAWAKILI KUMUONDOA BI. FATMA AMANI KARUME KATIKA REJISTA YA MAWAKILI TANZANIA BARA NA UAMUZI WA WAKILI FATMA AMANI KARUME KUKATA RUFANI
Mnamo tarehe 2 Oktoba 2020 Baraza la Uongozi la Tanganyika Law Society (TLS)...
Ndugu Watanzania,
Mnamo tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kupitia kwa Waziri wa Afya, Jinsia na Watoto, Mh Ummy Mwalimu, ilitangaza kuingia nchini kwa ugonjwa wa virusi vya korona baada ya mgonjwa mmoja kugundulika mkoani Arusha. Hadi Jumamosi ya tarehe 18...
#WikiYaSheria2020
TAREHE 6, FEBRUARI, 2020
UKUMBI WA KIMATAIFA WA MAKONGAMANO WA MWL. JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM
Ndugu Mh. Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Mh. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahimu Juma,
Mh. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi...
TLS yashinda kesi ya Kikatiba dhidi ya Serikali ya Tanzania iliyofunguliwa mwaka 2014 kupinga azimio lililoafikiwa na Serikali ya Tanzania la kulizuia Baraza la Jumuiya ya SADC kuamua kesi kutoka kwa wananchi wa nchi wanachama wa SADC.
Kesi hii ilitolea hukumu juzi tarehe 10/06/2019
Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS) ni jumuiya ya wanataaluma wa sheria wa Tanzania Bara iliyoanzishwa kwa sheria ya Bunge Namba 307 ya mwaka 1954. Kazi kuu ya jumuiya hii ni pamoja na kutetea na kulinda na kuboresha mazingira ya kazi ya wanataaluma wa sheria, kutoa ushauri wa masuala ya...
Mnamo tarehe 11 Aprili 2019 nilifanya mahojiano na Mwandishi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor, kufuatiwa kuchaguliwa kwangu kuwa Raisi wa TLS. Sehemu kubwa ya mahojiano hayo imechapishwa katika Gazeti la Raia Mwema toleo Na. 658 la tarehe 17-23, 2019 kurasa za 12-13 na 16. Hata hivyo ukurasa...
Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimeandaa mjadala wa wazi juu ya muswada wa vyama vya siasa katika ukumbi wa Kisenga Hall, LAPF tower.
Lengo kuu ni kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Mswada na kuyapeleka kwenye mamlaka husika.
Tutawaletea update juu ya kinachojiri!
=====
UPDATES...
TLS inatoa msaada wa kisheria katika magereza na mahabusi za watoto katika mikoa 14 kuanzia leo tarehe 26 hadi 30/11/2018. Mikoa hiyo ni pamoja na Dar es salaam, Morogoro, Arusha, Mbeya, Mtwara, Shinyanga, Ruvuma, Mwanza, Kagera, Tanga, Singida, Moshi, Dodoma na Iringa.
Lengo la Chama cha...
TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI
KUHUSU TUKIO LA KUTEKWA NA KUTOWEKA KWA MFANYABIASHARA MOHAMED DEWJI
Ikiwa ni siku ya saba (7) tangu kutekwa na kutoweka kwa mfanyabiashara ambae pia ni mbunge wa zamani wa Singida Mjini ndugu yetu Mohamed Dewji maarufu kama Mo;
Chama cha Mawakili wa Kujitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.