Search results

  1. M

    Mzee hataki mdogo wangu aoe binti aliyelelewa na Single Mother

    Mimi nimuathirika katika seals la kuoa binti aliyelelewa na Single mother, yan mzee huyu aliyemkatalia mtoto yuko sahihi 101%, kilichonitokea kwa binti huyu nilikufa na kuoza kwake hakisimuliki, tuliishi miaka kumi ya moto had nikashindwa mwenyewe tukaachana, now ninaye mwingine anayenipenda na...
  2. M

    All good men are married, so sad

    Mimi nina watoto watano utaweeza walea?
  3. M

    Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

    Nisahihishe kama ntakosea kwan report ya CAG Huwa inajadiliwa mwezi wa nne au wa pili make bunge lijalo huwa ni la budget tu sasa nashangaaa kuona ndo anaipokea wakati ilitakiwa kupokelewa mwezi wa Pili kabla ya bunge kuanza la january to february.hii imekaaje wakuu? Au mama kaanza kutema...
  4. M

    Ni jambo gani la hatari ulishalifanya sababu ya mapenzi?

    Duuuu mimi bwana nilimpenda dem mmoja primary sasa mambo yale ya kuandikiana barua nilijikuta kwenye daftari la kiswahili zimebaki kalatasi sita tu,yan nilichalazwa kipindi hicho ila sikusema kalatasi zilikoenda had nikaonewa huruma Kingine Mambo ya kusubiria dem usiku kwenye giza na karibu na...
  5. M

    Nafikiria kumuacha. Je niko sahihi?

    Ogopa sana mwanamke anayelelewa upande mmoja hasa wa mama. Chunguza kisa cha baba na mama kitengana ndo utapata majibu, mimi yalinitokea na nilikuwa nikiyaona tu mengi zaid ya uliyoyasema ila nilikuwa najipiga moyo konde kwamba one day atabadirika, nikavumilia kwa mda wa miaka 9 ndoan hatmaye...
  6. M

    Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

    Hapo wadada ndo mnapofeli kumchagua mchumba sahihi, unapenda malimbukeni wakuchezee, wakupe suprise, wakutoe out na mengine. Hivi kwa umri wako bado unawaza suprise, umepata mtu anayeona mbele anakushirikisha kwa kila kitu wewe unaona sio sahihi duuuu, zingatia umri wako pia. Kwa ushauri wangu...
  7. M

    Natafuta mume

    Naja PM
  8. M

    Kwanini unaniacha wakati nakuhitaji?

    Brother c kwamba una mapenzi na wanao tu hapana unampenda mkeo sana, ila mapenzi uliyonayo hayo yatakuua. Ningekuwa mimi hata matumizi ya watoto nisingetoa bila yeye kuniomba, ningemlia kimya nikafunga Vioo kabisa, na anayemuharibu ni Shost yake mama yake. Hukupeleka mahari kwa mama yake bali...
  9. M

    Natafuta mke miaka 27-33

    Natafuta mdada mrembo hata Kama Ni single mother tutalea maana nam Nina watoto tayari. Awe Ana uwezo wa kujielewa na kulinda mahusiano, level ya Elimu Diploma / Degree au zaidi sawa tu. Pm iko wazi
  10. M

    Shirika la Wakimbizi Duniani lapingana na Tanzania, lasema Burundi si salama kwa wakimbizi kurudi

    Mimi nimewah kuongea Na wakimbiz wenyewe, wanadai hivi. Burund hamba vita ila vita IPO kwa MTU Na MTU, wale hawana undugu kumbuka, ulikuwa umejenga mfano ukakimbia vita, then ukarudishwa Nyumba labda Na mengine ubakuta wanamiliki wngine imagine utafanya nin?bado vita vipo sana tu. But mambo...
  11. M

    Je huko kwenu mlikuwa mnaziitaje hizi video za Ngono

    Sisi boarding Musoma Technical tulikuwa tunatoroka usiku kwenda Baruti kuangalia Kikao. Ulipokuwa unasikia twende kwenye Kikao ujue tunaenda kwa Bry kucheki Porno
  12. M

    Jamaa anakubaliwa mapema sana na wanawake lakini ndani ya siku tatu anaachwa.

    Atakuwa hatoi hela Hugo ingawa anaonekana anazo,mwambie ahonge aone kama ataachwa hats kama ana harufu mbaya ya Jipu kwapani watavumilia tu.
  13. M

    Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Hahahahhahhahhahhah yan hapo ndo nimepata sababu ya yote anayoyafanya, ogopa sana kuoa mwanamke wazazi wake wametengana na watoto wakakimbilia kwa maza asiye na akili akawalea kwa kuwalisha sumu kuhusu baba yao, wakifika kwenye ndoa wanaanza kufanya practices, hayo in malezi wala hutambadirisha...
  14. M

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Wewe huwezi kumuacha wakati yeye amekuacha tayari, mpende akupendaye asiyekupenda achana naye, wewe unachukuliwa uwanja was ugenini jamaa ndo uwanja wa nyumban, na makosa uliyafanya mwanzo kumgangania asiyekupenda .Kama unaona huwezi muacha acha kumfuatilia mambo yake endelea kuamin hajawah...
  15. M

    Nipo nachat na mke wako

    Hivi vyuo vina likizo ya kumaliza semister.... Mmeanza kuja, itakuwa chin ya miaka 25 wewe
  16. M

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Mie nakupongeza sana, wanawake wa namna hii si wa kubeza na kujishusha kana kwamba Fala flan,kumbe hata kahama chumba bado anakupenda, alihis kumkosa yeye chumban utakosa mwanamke wa kulala naye,amebiip wewe ukampigia kabisa,miez miwili ni mingi sana kwanza ulijitahid sana, usishangae yeye and...
  17. M

    Wazazi wakataa kupokea mahari ya binti yao anayeolewa

    Mimi sana sikupongezi wewe ila nampongeza na big up kubwa mkeo, hawa aina ya wanawake ulionao wameishapotea katika ulimwengu, nahis amebaki yeye tu. Wanawake ni wakatili sana Kwa hawa wadada wa kazi mpaka unaona mambo mengine uingilie katikat, mnawachukulia wadada wa kazi kama punda, ndio...
  18. M

    Ushauri: Nimekamatwa live na condoms, najiteteaje?

    Pole na yaliyokukuta, kweli ulichapuka ukasahau chenji mfukoni,mkalishe chini mueleze unavyomjali had mda anapokuwa hayupo unadiriki kutumia condom Ili kulinda afya yake,
  19. M

    Unapokwenda kufumania, unajenga au unaharibu ndoa?

    Mim binafsi hata ukimkuta anachepuka mke wangu wala usije kuniambia make huko ninakokwenda huwezi kujua huyo mbaba kajiandaa vip, unapeleka kichwa chako wanakipasua, unaenda hospital hujitambui mke ndo anaanza kukuuguza hatimaye yanaishia humo humo,
  20. M

    Mrejesho, kumsahau mwenza

    Tuna miaka mitano kwenye ndoa,na ndoa tulifungia kwa DC SIO kanisan.
Back
Top Bottom