Search results

  1. O

    Ajira za waalimu awamu ya pili zimetoka.

    Kwa wale waalimu ambao majina yao hayakutokea katika awamu ya kwanza wizara imetoa ajira nyingine awamu ya pili.tembelea hapa utaona www.moe.go.tz
  2. O

    Msaada kuhusu my email.

    Wakubwa hamjambo?naomba msaada kidogo,email yangu sijui ina matatizo gani?nikituma email haziendi alafu yanaingia ma meseji mengi kwenye folder la spam sasa sijui nifanyeje ili meseji ziweze kwenda?
  3. O

    Ivi ukiwa mtaani ukasikia jina funzadume mawazo yako yatakupeleka wapi?

    Ndugu zangu leo nimekaa nikawaza ivi ikitokea uko kitaa ukasikia mtu anaitwa funzadume mawazo yako yataenda wapi?ID gani nyingine zinazofuraisha humu Kwenye forum ambazo ukiwa unasoma post zao uwa unacheka?
  4. O

    Ester Matiko ananiumiza

    Asalaam walekhum wanajamvi!dah leo nimeamua kutoa dukuduku langu humu ili mnisaidie,sasa nimetokea kumpenda mbunge wa viti maalum cdm ester matiko,uyu binti jinsi anavoongea,alivo sura yake na umri wake umenifanya nichanganyikiwe vp member mnaweza kuni Pm namba yake walau mwanenu nikae au kuna...
  5. O

    Masikini Diamond huu ndo mwanzo wake wa kufilisika

    Wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya Diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo huko Arusha, promota anadai alimlipa Diamond advance pamoja na tiketi ya ndege pamoja na kugharamia garama za malazi na chakula lakini kapotezea shoo...
  6. O

    ipod

    wanajamvi nimenunua ipod inaitwa aigo screen touch ila nilipoanza kuichaji kwa kutumia laptop ikaingiliwa na virus na sasa haiwaki wala haingizi moto sasa nifanyeje kwa mwenye utaalam naomba msaada.
  7. O

    Ivi mastaa wa bongo huwa wanakumbuka ya kesho?

    Wana Jf jana ktk ukumbi wa kiss club mwanza tulikuwa na mastaa kibao waliopata kutamba uko nyuma,kilichonishangaza mimi ni kuona jinsi gani walivochoka yani hadi konyagi wanagongea kwa watu kweli?hapa nawazungumzia steve nyerere,dudubaya,jitaman na darkmaster.ila mimi nilistuka zaidi nilipomuona...
  8. O

    Najivunia kuwa mwanachama wa CHADEMA.

    Ndugu zangu wanajamvi kama katiba yetu inavosema kila mtanzania ana haki ya kuwa na dini yake, kujiunga na chama anachopenda na uhuru wa kuishi mahali popote, leo mimi najitokeza kuwambia najivunia kuwa mwanachama wa cdm kwasababu ni chama makini ni chama kinachoitakia Tanzania yetu mema kwa...
  9. O

    Its furai dai where the party at?

    Wanajamvi vp leo mtakuwa wapi na wapenzi wenu?mintakuwa club lips mwanza na my wife to be what about you?
  10. O

    Mchaga na dem wa kipwani

    Mchaga mmoja alipata mtoto wa kipwani kwenda nae guest house mwanamke kavua nguo,shanga tele kiunoni.mchaga yesuu na maria hisi Rosari sijui zimeibiwa parokia gani?
  11. O

    Msaada jamani

    Asalaam alekum wanajamvi?naomba msaada wenu katika maneno haya UPEMBUZI YAKINIFU na SUALA MTAMBUKA.nimekuwa nikiyasiki yakitumiwa sana na wanasiasa hasa mjengo lakini sijajua ni muktadha wa mjengoni au ni mbwembwe za wanasiasa tu.naomba kuwasilisha.
  12. O

    These are the questions that watoto wa vigogo are asked kwenye interview za BOT.

    SECTION A 1.Is the African continent a continent or country?if it's continent,what is the name of this continent?(10 marks) 2.who is the president of Tanzania?a)kikwete (b)bush (c)i dont know (5marks) 3.Read below and answer the answer the question:- juma has three and a half buckets of...
  13. O

    Usajili

    Wanajamvi napenda tujadili hii mada kwa urefu na mapana.Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mfano wa vyama ivo ni Nccr-mageuzi,Chadema,Cuf,Ccm,Updp,Ppt-maendeleo na Dp.sasa je kama kungekuwa na uwezekana wa vyama ivi vya siasa kufanya usajili kama zifanyazo klabu za mpira ni...
  14. O

    Nimemaliza Degree ya Ualimu nataka niunge, je ni kozi gani nzuri niombe?

    Jamani wana jimvi nimemaliza shahada ya ualimu ila nataka kuunga ila kwa kubadilisha course kwasababu sikuwa na wito wa kufundisha ila niliingia ualimu kwa madhumuni ya kupata mkopo na sikitu kingine.sasa jamani niombe course gani nzuri kwa ajili ya masterz.nawakilisha.
  15. O

    Je kipimo cha chama kuwa na nguvu ni kushinda chaguzi ndogo?

    Nimeamua kuandika post ii ili tuweze kuchangia mawazo na nyinyi,kwani kwasasa macho ya watanzania wengi yameelekezwa katika uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga kama kipimo cha vyama kukubalika kwake. Lakini tukirudi nyuma chaguzi nyingi ndogo hasa katika awamu ya kwanza ya jk zilifanyika hasa...
  16. O

    Je kipimo cha chama kuwa na nguvu ni kushinda chaguzi ndogo?

    Nimeamua kuandika post ii ili tuweze kuchangia mawazo na nyinyi,kwani kwasasa macho ya watanzania wengi yameelekezwa katika uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga kama kipimo cha vyama kukubalika kwake.lakini tukirudi nyuma chaguzi nyingi ndogo hasa katika awamu ya kwanza ya jk zilifanyika hasa...
Back
Top Bottom