Search results

  1. MuganyiziMushiMwaipopo

    Maaada: Naomba faida za kuchanja chale mwilini.

    Naomba kujua faida za kutoboa toboa mwili kwa kuuchanja chale mwilini hii ni baada ya kutembea Mikoa hasa ya Kigoma, Shinyanga, Rukwa pamoja na Tabora. Kwa utafiti wangu wa muda mfupi kwenye mikoa hii unakutana na watu wengi hasa wazawa wana chale mwilini. Unakuta mtoto mdogo ana chale usoni...
Back
Top Bottom