Search results

  1. Salhat

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Habar wadau Naomba mnisaidie wazo dogo Yuko morogoro ardhi tangu juz ananitumia sms et hataruhusiwa kuendelea na semister ya pil kwasab hajatoa Ada ndo nkashangaa hv vyuo vya serikal vimekuja kuaje Tena jaman wanafanya Kama watto wako private embu nisaidien pia Kama Kuna wanafunz hum wa icho...
  2. Salhat

    Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

    Imefika miez sita ssa hawashughulik na rufaa Wala malalamiko kisa mwenyekiti kastaafu ingekuwa bandar wangekaa mdaa mrefu hvyo bila kufanya teuzi au kwasab hiki kitengo hakiwaingizii fedha dah
  3. Salhat

    TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

    Hyo kwasab unakaa nyumba ya ghorofa nyumba za kawaida n buku kwahyo Hapo unadaiwa elf 5 July na August ghorofa elf 10 nyumba ya kawaida elf 2
  4. Salhat

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    @saveya kagoma kuja
  5. Salhat

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Hlw naomben ushaur dogo kachaguliwa kwenda morogoro ardhi course ya geomatics vp mliosoma ajira serikan zpo ana ndo kusoma ukajiajir na mtaji huna
  6. Salhat

    NACTE wafungua usajili wa nafasi za masomo ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa mwaka 2021/22

    Naombeni link nlikoingia nmekuta ambao wanaomba degree na mm nataka ya diploma
  7. Salhat

    Msaada kwenye Jambo hili

    Itakuwa sehem alipo ucku network n tatzo jarib kutumia mtandao tofaut kupata uhakika zaid
  8. Salhat

    Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

    Mm hlo nmekutana nalo mwenyew nliambiwa hapa lazma kunilipa hela ya kukuachia frem na hyo haihusian na kod weee nlivyoondoka cku rud Tena maana ndo nlikuwa naanza biashara
  9. Salhat

    Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]acha uwoga
  10. Salhat

    Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    [emoji2][emoji2][emoji2]naendelea kufwatilia comment dia hubby endelea ku mute hvyo hvyo
  11. Salhat

    Ustadhi Rashid Josephat Gwajima

    [emoji1][emoji1][emoji1]kumekucha
  12. Salhat

    Magari ya kwenda Kibiti yanapaki wapi kwa Dar es Salaam?

    Hahahaha Asante kesho itabid uwah ukanishikie siti
  13. Salhat

    Magari ya kwenda Kibiti yanapaki wapi kwa Dar es Salaam?

    Naona juu nshaambiwa mbagala rangi 3
  14. Salhat

    Magari ya kwenda Kibiti yanapaki wapi kwa Dar es Salaam?

    Helo wana JF, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba kujua nkiwa Dar napandia wapi gari zinazoenda Kibiti. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  15. Salhat

    Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

    Yan hzo hyo number n maalum haiwez fananishwa na binafs ingawa walichokosea n kugawa ad kwa raia ilitakiwa zle gar za kijan Yuko nazo rais ndo ziwe na hzo number tu hao waliobak huko mfano wazir mkuu wabunge kule wanakoenda kumpiga kampen wabandike tu stika pemben co kweny plate number ndo...
  16. Salhat

    Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

    Hzo n za mda mfupi Ila kitu wamekosea n kuachia ad watu wakawaida watumie huenda alietoa hlo wazo hakufikir kwa kina faida na hasara zake lakn kutumika kweny msafara wa rais n sawa kabsa na ilitakiwa iwe hvyo wengne huko wabandike stika pembezon bac n hvyo kunakitu Kama mabavu kimetumika bila...
  17. Salhat

    Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

    Me nadhan namba maalum n zle za serikali mfano kweny gar ya wazir mkuu raisi, mkuu wa jeshi, polic etc na namba binafsi n Kama zle za kina diamond, zari, mo hvyo yan
Back
Top Bottom