Search results

  1. B

    Elections 2010 Wana Igunga jitokezeni kwa wingi siku ya kupiga kura

    Wanaigunga kuiweka serikali pembeni ni kuifundisha tukiwapa kura imekura kwetu watajihakikishia ufisadi hiki chama ni mafisadi kwa kweli
  2. B

    Mwigulu Nchemba Balaaaaa

    Jamani tuache uhalisia na tuwatendee haki wa jamii mtu anaweza kukushangilia kufuata kofia na tshirt tusubiri tarehe mbili
  3. B

    Waziri anaposhiriki kwenye kampeni, je ni sawa?

    Ccm ndugu zangu wamechanganyikiwa hata wakishinda igunga ila wametambua namna ambapo hawatakiwi na ndio kwa heri 2015 wamekwisha
  4. B

    Ingekuwa Upinzani utarativu ungehitajika lakini kwa kuwa ni CCM haa tuwe wavumilivu

    A dy is coming sauti ya wanyonge itasika na hawa magamba watalia awachukia magamba kuliko
  5. B

    Hakuna 'Baraza Kivuli la Mawaziri' - Wassira

    Na mimi nimeangalia kipindi kizima wasira ameidhalilisha serikali kwamba ni kweli serikali yao ni legelege kabisa hakuweza kujibu hoja ila alikurupuja jk tunakushauri toa hawa mawaziri wanakuangamiza kabla ya 2015
  6. B

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Zomba huna maana na huna uchungu na nchi na kwa mtazamo wangu unaelewa kama magamba nchi imeuzwa kila siku matatizo
  7. B

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Nimetokwa na machozi kwa hili kinadharia kila mwaka kuna bajeti ya kila kazi inakuaje wanaanza kuchangishana hapo hatuna cag wote ni wale chadema chukueni nnchi fungeni mafisadi
  8. B

    Halima Mdee amchana Pinda live Bungeni Ardhi ya Mpanda

    Kweli pinda ni kichwa cha mwendawazimu hana mwelekeo
Back
Top Bottom