Search results

  1. R_bass

    Uchaguzi wa viongozi kwa njia ya Mtandao.

    Kutokana na Kukua kwa Sayansi na Teknolojia nataka nijue kwa miaka inayokuja kama kuna uwezekano wa kuwa na Uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa nchi kwa kupitia mtandaoni(online). Yani hapa mtu anaweza kupiga kura akiwa nyumbani. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom