Search results

  1. Dumelang

    Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

    1. Mkuu kwenye electronics huwezi kuwa mwalimu wangu mkuu najua alafu najua tena. Huwezi sema kila Sony au Samsung ni bora lets speak of TV. Kuna matoleo ya TCL na Hisense ni bora kuliko matoleo ya hizo Samsung na lg. Kingine sio kila kitu mchina anakopi, ana brand zake bora na nzuri. Ndioaana...
  2. Dumelang

    Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

    Kama kukop na ku paste sio akili jaribu wewe bro. Naomba ukopi tu hata kiberiti au toothpick Bro hao jamaa ni akili sana bila mchina leo maisha ya Waafrika yangekuwa mabovu sana. Imagine ungevaa mtumba nguo 100% mpk leo Imagine leo unacheki flat screen kwa sh. Laki 2 tu. Smartphone hadi kwa...
  3. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii mechi ya Belgium na Sweden kama mnaicheki saizi belgium asipobadilika hatoboi
  4. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio hio 291 baada ya stake
  5. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimetembea na in play ya nigeria na Mozambique kwa over aisee imenipa laki 291 ya maisha
  6. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani tuache huu mchezo wa mtu akisema kapiga kiasi kadhaa mnajaa inbox kuomba 10, 20 nk Hii ni kazi kama kazi zingine unakuta mtu ume risk mil 1 nzima upate laki 3 Mtu anaomba kama vile hazina kazi. Kwakweli sio poa. Hii kazi tuna risk sana. Mtu akila sio kwamba ana faida ana vipande...
  7. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kamaliza mkuu nishampiga muhind laki 3
  8. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilistuka nikatoa hio option maana nami niliweka, nikawapa wote watoe goal 2 nime stake mechi 1 tu. Lkn huyo home mwenyewe ana ontarget 1 tu dakk 45 za kwanza
  9. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbuzi za Georgia vs Cyprus zinaweza draw kavu hizi
  10. Dumelang

    Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

    Ndio maana kwenye mtihani wajinga wanaojibu opposite na swali hawakosekani
  11. Dumelang

    Magari toka China

    Umeuliza gari ya sh ngapi?
  12. Dumelang

    Magari toka China

    Zipo vipanya vingi ngoja nikuletee
  13. Dumelang

    Magari toka China

    Kwani Youtong ni mbovu mkuu?
  14. Dumelang

    Magari toka China

    Wadau tujadili magari ya mchina naona soko lake hatujalichangamkia lakini hawa jamaa wana gari nzuri sana, zingine kama vipanya tu kuanzia 2500 usd, lakini wana SUVs unapata kwa bei simple tu, nilikiwa nacheki usd 12000 nakuendelea unaweza pata gari 0km Kwanini hatumwamini mchina wakati kwasasa...
  15. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mapambano city kwakweli dah, saizi inaonekana mpira unauzwa betting
  16. Dumelang

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    30 k vant? Mzee nimeliwa mil 1.2
  17. Dumelang

    Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

    Mpwa wangu mmoja miaka ya nyuma wakati fekon zimetoka, alichukua pikipiki aende hapo gairo tu tokea dar. Alianza safari Asubuhi, ilipofika saa 10 hivi baada ya dumila tukapokea taarifa jamaa kapata ajali yupo hoi, taya yote ya mbele ilisukwa upya na meno yalikokwenda hatujui. Bega moja mpk...
Back
Top Bottom