Search results

  1. masanjasb

    Kama Nchi hii ni mali ya CCM basi katiba inayopendekezwa ni halali na kama Nchi hii ni mali ya watan

    Wana bodi nawasalimu: Kumekuwepo na jitihadi za makusudi za kushupaa kupitisha katiba inayopendekezwa bila maridhiano na mitifuano ya hapa na pale mmeoina leo hii kwa baadhi ya wabunge waliopiga kura ya hapana kuanza kutishiwa maisha Naamini kwa jina la ccm katiba hii itapita ila kwa jina la...
  2. masanjasb

    Mzee Farijala:"Ngoja sasa wawaonyeshe kazi waliyosomea"

    Wanabody naamini mko salama? Naomba mnisaidie kitu kimoja maana ya duniani ni mengi Nimemsikia kada mkongwe wa ccm na mshauri wa vijana mzee Farijala akiwaambia wafuasi wa chadema kuwa"nimewaambia kutawanyika hamtaki,sasa ngoja wawaonyeshe kazi waliyosomea"na hapo police wakaanza kazi ya...
  3. masanjasb

    Waziri wa sheria na katiba wa bara yupo Bungeni, je Waziri wa katiba na sheria wa Zanzibar yupo?

    Habari wakubwa? Katiba inayotengenezwa ni ya Tanganyika pekee au ni ya jamhuri ya muungano wa Tanzania? Kuna public figure kwa upande wa Tanganyika wako ndani ya bunge maalum ila upande za zanzibar hawapo kabisa Mfano: waziri wa katiba na sheria wa Tanganyika(Tanzania bara) yupo bungeni na...
  4. masanjasb

    Vijana wa CCM: Kwa nini Mwigulu and not us?

    Wana body wasalaam alyekum? Ndugu zangu jana katika pita pita zangu kwenye kijiwe kimoja nikakutana na mada inayojadili vyeo alivyopewa mwigulu nchemba ndani ya ccm na kiserikali "Fikiria mtu kafanya kazi BOT,kawa mweka hazina wa chama,mbunge wa JMT now mbunge wa bunge la katiba,naibu katibu...
  5. masanjasb

    Siku 9 tu baada ya UKAWA kutoka bungeni,CCM walibadilisha baadhi ya kanuni muhumu:

    Wana body nimatumaini yangu nyote mko salama? Kuna jambo moja la muhimu sana ambalo viongozi wetu hasa wa Tanzania One(ccm) hawaliongelee kabisa nalo ni; Mnamo tarehe 16/04/2014 Umoja wa katiba ya wananchi walitoka bungeni na tarehe 25/04/2014 yani siku 9 tu baada ya ukawa kutoka njebya bunge...
  6. masanjasb

    CCM imetutenda sana kupitia katiba ya 1977.

    Salaam alyekum wanabodi? Narudia tena" Mtenda akitendwa huhisi kaonewa" Ccm imedumaza akili za watanzania kupitia katiba ya 1977 Ccm imekumbatia umasikini wa akili na kimazingira kupitia katiba ya 1977 Ccm imejenga tabaka la watu masikini na matajiri kupitia katiba ya 1977 Ccm inagawa...
  7. masanjasb

    Wasukuma, Wahaya, Wachaga, Wasipewe nchi: Mwalimu Nyerere aliwaza nini?

    Asalaam alyekum wakuu? Kuna haya maneno yanayosekamana yalitamkwa na baba wa Taifa enzi za uhai wake ya kuwa makabila makubwa hayafai kuongoza nchi 1...................wasukuma wana matatizo gani hadi washindwe kuongoza nchi? Wingi wao,ukabila wao,ama ushamba wao? 2...................wahaya...
  8. masanjasb

    CCM: Tanzani ni Nchi masikini nanitaifa changa/Upinzani: Tanzani ni Nchi tajiri tatizo uongozi

    Wasalaam wakuu? Kuna mda huwa najiuliza maswali bila kupa majibu ya moja kwa moja,ukiwasikiliza viongozi wa Nchi hii hasa wa ccm utasikia wanasema Nchi yetu ni masikini sana nani taifa dogo(weka akilini mwako kuwa lina umri wa miaka zaidi ya 50) Ukija kwa wapinzani utawasikia wakisema Nchi hii...
  9. masanjasb

    Mjumbe hauwawi: Tawi jipya la ukuni linahitaji bendera ya chadema

    Habari wakuu? Ujumbe huu uende kwa yoyote atakaepita njia ya bagamoyo kuelekea tanga au arusha awe mwana CDM au mwenye access ya kupata bendera ya chama cha CDM basi awapitishie hawa vijana wa tawi la Ukuni jirani kabisa na shell iliyopo pembeni mwa barabara ukiwa unaingia bwagamoyo. Vijana...
  10. masanjasb

    Mauaji mengine yanukia mkoa wa mara: Kamanda sillo aja na Operasheni kufa na kupona

    Yule kamanda aliesimamia zoezi la kukamata mifugo na kurejesha wakimbizi makwao(Operasheni kimbunga) liloambatana na mateso makubwa kwa raia wa Tanzania saimon sillo aka kamanda sillo,kaibukia tena tarime na Operasheni mpya kabisa nayo ni OPERASHENI KUFA NA KUPONA. Oparesheni hyo inawahusu...
  11. masanjasb

    Soma kiapo hiki: Sio Kinana wala Lowassa anaeweza timiza kiapo hiki

    1. Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umasikini,ugonjwa na dhuruma. (mmefanikiwa lipi kati ya hayo kwa umri wa miaka50 sasa) 2.Rushwa ni adui wa haki (rushwa ndani ya ccm ni kama ngozi na mwili haviwezi achana) 3.Sitapokea wala kutoa rushwa. ( haya maneno hata kwenye khanga yapo) 4.Cheo ni...
  12. masanjasb

    Nipe majina kamili ya Mawaziri 5 bora na 5 wabovu ndani ya serikali ya chama cha mapinduzi

    Wadau heshima kwenu Serikali iliyopo madarakani yanii serikali ya chama cha mapinduzi ina mawaziri wengi wazuri na wengi wabovu, je unaweza nipa majina ya hao mawaziri wa 5 bora na maziri wa 5 wabovu? Lengo nikuleta ufanisi katika utendaji wao maana rais aliwateua ili wamsaidie kufanikisha...
  13. masanjasb

    Lengo na tamanio la watanzania wengi: Ni kuiondoa CCM madarakani 2015

    Wakubwa heshima kwenu? Kumekuwepo na wimbi kubwa la watanzania wengi kutaka chama cha mapinduzi (ccm) kitokomezwe kusikojulikana ili tu kipotee machoni mwa watu walau kwa miaka 10 ama 20 ijayo na yote hayo yanatoka na ccm kuwapuuza watanzania wenye hali ya chini na wasiokuwa na kipato kabisa na...
  14. masanjasb

    Mbowe, Slaa na Zitto tuvusheni 2015 salama

    Salaam wana janvi? Kunamekuwepo na majibizano mengi ndani ya mitandao ya kijamii kuhusiana na uchaguzi ndani ya chama cha maendeleo na demokrasia (chadema) wengi wa wachangiaji wakidai ni vyema kufanya uchaguzi kwa sasa na wengine wakisema ni bora tubadilishe uongozi wa juu hasa wanachama wa...
  15. masanjasb

    Tujitathimini: Makapi ya CCM na Chadema - faida na hasara zake

    Habari: Leo naomba nijikite zaidi upande wa vijana wanaofukuzwa ndani ya vyama vyao na kukimbilia vyama vingine na faida na hasara zao ndani ya vyama walivyokimbilia: Mosi: kijana criss lukosi alikuwa mwanzilishi wa tawi la chadema london, alihamasisha watu kwa wingi na kujiunga na chadema mpk...
  16. masanjasb

    Yako wapi mabaki ya Mwalimu JKN?

    Za j2 wadau wa habari? Kuelekea siku ya kumbukumbu ya mwalimu wa taifa, kipenzi cha wengi, baba wa Taifa letu, na kiongozi alie na mazuri mengi kuliko mabaya na mtu aliepigania uhuru wa nchi yetu na bara la Africa kwa ujumla na kwa pamoja na wazazi wetu, babu zetu na hata bibi zetu. Leo...
  17. masanjasb

    Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

    wasalaam wanaJF? Nimekuwa mfatiliaji sana wa siasa za hapa nyumbani kwa muda mrefu,ila sijawahi shuhudia mh Mwigulu akimkosea adabu mh. Zitto Kabwe kama anavyofanya kwa katibu mkuu dr. Slaa,hawa watu vyeo vyao viko sawa ndani ya vyama vyao,Zitto kabwe ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA na Mwigulu...
  18. masanjasb

    Kujilinda makanisini ruksa,mikutanoni big no!

    WanaJF tuwazima nyote? Kuna jambo moja linanisikitisha sana na kunisononesha pia,idadi ya watu wanaoenda kunisani ama msikitini ni wengi kuzidi idadi ya wale wanaoenda kwenye mikutano ya vyama vya siasa? IGP mwema alilenga nini kutoa mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa misikiti na makanisa na...
  19. masanjasb

    Madiwani wa jiji la DSM wengi wao waganga njaa

    wanajopo za j2? kwa mda sasa nimekuwa mafatiliaji sana wa miradi ya naendeleo katika jiji la dsm na katika ufatiliaji wangu nimegundua ulaji na urafi wa madiwani hasa wa ccm,kwa mfano jimbo la ubungo ambalo liko chini ya cdm na kama mnyika akiona uzi huu pls atoe ufafanuzi wa fedha hizi japo...
  20. masanjasb

    Wito: Kwa wanyiramba wote

    Wadau habari za jioni? Nimesikia tangazo la wito toka kwa mh. Mwugulu akiwaita wanyiramba wote ndani ya ukumbi wa Urafiki pale Shekilango ili kujadili mstakabali wa iramba. Nikiwa nawaza na kuwazua likaja swali kichwani mwangu nalo ni,wanaCHADEMA wanaotokea Iramba kama Dr. Kitila Mkumbo...
Back
Top Bottom