Search results

  1. kukumsela

    Masoud Masoud, Manju wa muziki ni nani?

    Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC. Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji vipindi na uandishi habari kwa ujumla. Masoud anaelewa ni nini anachofanya na kwa muktadha muafaka...
  2. kukumsela

    Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

    Habari wakuu, juzi kati hapa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo
  3. kukumsela

    Bondia Hamis Mwakinyo afungiwa kupigana Kwa kipindi Cha mwaka mmoja

    Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini TPBRC, imemfungia kwa muda wa mwaka mmoja bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo kufuatia kitendo chake kugomea kupanda ulingoni katika pambano lililoandaliwa na Kampuni ya PAF Promotion mwezi uliopita. Mbali ya kumfungia kwa mwaka mmoja, TPBRC...
  4. kukumsela

    Uzi wa Tamthiliya ya UNFAITHFUL ya Azam Two

    Habari wakuu, Huu ni Uzi maalum Kwa ajili ya Tamthiliya pendwa ya kituruki inayojulikana kama Sadakatsız (unfaithful) inayorushwa katika luninga ya Azam Two kuanzia jumatatu Hadi Ijumaa majira ya saa Tatu kamili usiku. Tuambiane upo team gani Team Asya Team Volkan Team Derin Team Aras Sent...
  5. kukumsela

    Nikipigiwa simu yangu inakata

    Habari wakuu, Simu yangu ni google pixel 5 kuanzia Jana mtu akinipigia inakata naomba msaada tafadhali maana nimeshaizima na kuiwasha pamoja na kuirestart bila mafanikio yoyote. Je hili tatizo linaweza kutokana na simu kudumbukia kwenye maji? Tafadhali naomba kuwasilisha tafadhali. Sent from...
  6. kukumsela

    Huyu ni nani? Msaada tafadhali

    Naomba kuuliza huyu kwenye hii picha ni hapa chini ni nani? Yupo nchi gani Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
  7. kukumsela

    Uzi maalum Kwa ajili tamthilia ya Unfaithful, Ripoti, Juakali, Huba n.k

    Uzi maalum Kwa ajili tamthilia ya Unfaithful, Ripoti, Juakali, Huba n.k Uzi tayari # kukumsela
  8. kukumsela

    Maisha yanaenda kasi, kweli timu ya Simba ni yakuzomewa kutoka Mtwara hadi Dar?

    Ameandika Ahmed Ally === Mara kadhaa utasikia shabiki anasema sisi tunaumia kuliko Wacheza ji au Viongozi. Ndugu zangu ilimradi sote tuna damu ya Simba basi wote tunapitia maumivu, kinachotokea ni tofauti ya mtu na mtu kuhimili maumivu. Ndo maana wengine wanalia, wengine wanazimia, Wengine...
  9. kukumsela

    Msouth Madenge huyu jamaa ni akili kubwa

    Huyu mwamba ambaye katika Himaya ya Utwitani ni Maarufu kwa Id ya Msouth Madenge nilichokigundua huyu jamaa anauwezo Mkubwa wa kuchambua mambo kwa haraka zaidi yaani kwa lugha nyepesi ni mtu mwenye uwezo wa kiakili (mental ability) wa kiwango cha juu, unaofanya jambo la kiakili kwa haraka, kwa...
  10. kukumsela

    Hivi kuna Taasisi ambazo Kikokotoo hakiwahusu?

    Habari za Zenu Wakuu Mbalimbali Naomba kuuliza swali langu kama ifuatavyo: Je, kuna Taasisi ya Serikali hapa Nchini ambapo Mfumo mpyaa wa ulipaji Mafao kwa ajili ya Wastaafu Yaani Kikokotoo hakiwahusu na wanaendelea kutumia Mfumo wa Zamani kwa ajili ya Malipo ya Wastaafu? Naomba kuwasilisha...
  11. kukumsela

    Kumbe neno Msenge ni Kiswahili fasaha na sio la kihuni hivyo kuweza kutumika Mahali popote hata Bungeni

    Msenge (kwa Kiingereza: Transgender) ni aina ya watu ambao hujisikia, hujifikiria na kujiona au kujiigiza tofauti na jinsia zao za kuzaliwa nazo. Kundi hili dogo hujumlisha watu wanaokusudia kujamiana sawa na wengine, yaani mume na mke, lakini wao ni mwanamume kwa mwanamume na kujidai kuwa sawa...
  12. kukumsela

    Tamthilia ya Zahanati Kijijini

    Wakuu habarii, Kiukweli naomba nianze kukiri kuwa Mimi binafsi sio Mpenzi wa Tamthilia/Filamu za hapa nyumbani Almaarufu kwa Jina la Bongo Movie na hii inatokana na Tamthilia/Filamu zetu kuwa na Ubora Mdogo Jambo ambalo Limetufanya kuvutiwa zaidi na Uamthilia za Ughaibuni. Siku Moja Majira ya...
  13. kukumsela

    Naomba kujua hiki chakula kinaitajwe?

    Wakuuu habarii za jioni Nilienda sehemu Leo mchana nikakalibishwa hiki Chakula ambacho nakiri ni kitamu mno naomba kujua kinaitwaje?
  14. kukumsela

    Clautos Chama Vs Haruna Moshi "Boban" nani fundi zaidi?

    Wakuuu habarii za asubuhiii Mimi binafsi nimepata kumshuhudia mwambaaa wa Lusaka Clautos Chama akiwa anacheza mpira lakini kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kumwangalia Haruna Moshi Boban akiwa anacheza mpira. Naomba kuwasisha tafadhali
  15. kukumsela

    Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Robertinho kuchangalia kupata sare inamaanisha nini?

    Wakuu naomba kuuliza Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Simba raia wa Brazili Roberitinho almarufu mzee wa Sambaroketo kushangalia kupata sare pindi timu yake iliposhuka dimbani kucheza na timu ya Azam katika Uwanja wa Lupaso jijini Dar -es-salaam ambapo timu hizo zilitoka sare ya 1-1 huku timu...
  16. kukumsela

    Ramadhan Mbwaduke ndiye Mchambuzi Bora wa Mchezo wa Mpira wa Miguu kwasasa hapa Nchini

    Wakuu habarii zenu, husikeni na somo tajwa hapo juu. Naanza na kukiri kuwa Katika nchini yetu kuwa kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na wachambuzi wengi ambao mimi binafsi nawaita Makanjanja lakini huyu jamaa anaitwa Ramadhan Mbwaduke yuko nondo mnoo huku nikimfananisha na manguli kati eneo...
  17. kukumsela

    Naomba kujua tofauti kati ya Britain, United Kingdom na England

    Wakuuu Poleee sanaa na Majukumu ya ujenzi wa Taifa. Naomba kujua tofauti kati ya Britain, UK na England Naomba kuwasisha tafadhali #uzi tayari
  18. kukumsela

    Nazareth Ulete ndio Mtangazaji bora wa mpira mguu Kwasasa hapa nchini

    Wakuu poleni na majukumu huyu mwamba NAZARETH UPETE ndio Mtangazaji bora wa mpira wa Mguu kwasasa hapa nchini akifuatiwa na Gharibu Mzinga
  19. kukumsela

    Abdul Usanga ndiye 'producer' bora wa tamthilia kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na Kati

    Kiukweli huyu jamaa anajua mnoo ameandaa tamthilia kadhaa kama vile saluni ya mama kimbo, Kombolela na sasa tamthilia ya zahanati ya kijiji. Mwisho natoa rai kwa waongozaji wengine wa tamthilia kujifunza kwake kuanzia katika uandaaji, maudhui nk ili kutengeneza tamthilia zenye ubora ili kazi...
  20. kukumsela

    Home theater vs Soundbar Ipi bora?

    Wakuu poleni na majukumu naomba kujuzwa ni music system ipi nzuri kati izo nilizozitaja hapo juu. Naomba kuwasilisha wakuu
Back
Top Bottom