Search results

  1. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Habari zenu wana JF Tafadhali msaada Kwa mwenye link ya mobdro application
  2. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pole sana mkuu Herrera,Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    Je, Man united kucheza UEFA Champions League endapo itatwaa kombe la Europa?

    Hii siyo sahihi, sheria inaruhusu timu tano kushiriki endapo bingwa wa europa cup na champions league atakua si mmoja wa wale top 4 ndipo mshindi wa nne kwenye league anaqualify moja kwa moja europa cup.
  4. P

    Apps za radio

    Tunein
  5. P

    Utabiri:Makato ya HESLB ya asilimia 15 kuongeza makosa ya mtandao

    Kwa mwenye contract ya loan board kabla ya mabadiliko ya 15% naomba anisaidie
  6. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Itakua hajaelewa maana ya long pases[emoji85]
  7. P

    Police Tanzania wanunua gari ya usd 1,000,000

    Mmmmh jamani range sports ndo bei huanzia £50,000 napo inategemea ni ya aina gani kama ni V8 iko kwenye £80,000 na bei za kawaida za new vogue kabla ya kusafirishwa zina range kwenye $ 90,000 -$120,000 hizo habari fuatilieni kwenye mitandao.
  8. P

    Shule za Sekondari za Serikali zimeanza kufungwa kwa kukosa chakula cha wanafunzi

    Duh nchi yangu Tanzania,Kwa hiyo shule zote zilizofungwa kwa madai ya kukosa chakula kumbe hazina maana nadhani ni shule nyingi sana zimefungwa au serikali ni kipofu au kiziwi?
  9. P

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Tuache kujifanya tuna busara kwa kuonyesha upumbavu wetu hivi wakristo pekee ndio wakenya?hivi wanajeshi wa Kenya walioko Somalia wote ni wakristo? Tusiwe tunaendekeza ujuha kwa kivuli cha Dini na sio tunasema mbona wasomali wanabakwa na wakenya then wakristo pekee ndo wanauwa. Ingekuwa watu...
  10. P

    Utambue uislam kwanza kabla ya kuhukumu

    Tuache kujifanya tuna busara kwa kuonyesha upumbavu wetu hivi wakristo pekee ndio wakenya?hivi wanajeshi wa Kenya walioko Somalia wote ni wakristo? Tusiwe tunaendekeza ujuha kwa kivuli cha Dini na sio tunasema mbona wasomali wanabakwa na wakenya then wakristo pekee ndo wanauwa. Ingekuwa watu...
  11. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hodi humu ndani,tumeshinda ila nasikitika Rooney na de gea walikua chini ya kiwango na de gea kawapa goli liver fools
  12. P

    Wizi wa Bank ya CRDB

    Mtoa maada naomba unisaidie kitu weka makato ya bank nyingine hapa ili tuweze kuringanisha wapi pana nafuu ila haya masuala ya watu kulalamika wakati hatuna uchunguzi wa kutosha nadhani si sawa.Na unaposema makato ni makubwa ina maana umeringanisha na sehemu nyingine sasa tuwekee na hizo bank...
  13. P

    Kama kijana hujaaajiriwa pita hapa

    Faizafoxy:Nadhani tukubaliane kuwa Kiswahili sio lugha ya kwanza kwa wengi wetu,wengi tunaathiriwa na "our mother language" ukifuatilia vizuri "R" na "L" ni moja ya vitu vinavyoonekana zaidi.Njia nzuri ya kusahihisha watu si kwa dharau nadhani utakua unasaidia badala ya "attacking approach you...
  14. P

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Tafuteni kazi za CAG na what gives mandate for him to audit na angalieni scope of CAG
  15. P

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Inaonekana hata majukumu ya auditor hawayajui
  16. P

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Hao walisomea mikataba,sheria au udhibiti na ukaguzi au? Maana inaonekana profession zao ni tofauti na wanachokisema
Back
Top Bottom