Search results

  1. KALYOVATIPI

    Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    Kweli lowasa ni chaguo la mungu mapepo na mashetani yote yanakimbia ukawa mwacheni mungu aitwe mungu
  2. KALYOVATIPI

    Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    [#332$.sQUOTE=sheckman;11815510]Pia he utuhitaji kujiuzulu kwa kila WAZIRI ila hizi Halimashauri na Wabunge mnaotuhadaa na eti biashara za machinga pia zitaongeza Kod/mapato. Jengo moja choo cha shule mamilioni ya Pesa. Baada ya week limepasukapasuka kisha miezi miwili mitatu marufuku halifai...
  3. KALYOVATIPI

    Jimbo la capt. John Komba sasa ni vurugu tupu, wagombea wa CCM 15 wameanza kampeni

    Ntaenda nami kugombea kwa tiketi ya cdm kwetu njambe kihagara
  4. KALYOVATIPI

    Ni haki kumwabudu marehemu?

    Ha ha ha ha
  5. KALYOVATIPI

    Ni haki kumwabudu marehemu?

    Mawazo bhana! Kweli unaamini MUNGU wetu mtukufu atuumbe atupe thamani ya juu and then aje atutese duh!
  6. KALYOVATIPI

    Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    Wanaweza wakamkuta mabwepande baada ya dodoma nchi hii ni undava undava tu
  7. KALYOVATIPI

    Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Hilo tatizo linaitwa epistaxis linasababishwa na vijishipa vidogo na laini vya damu kupasuka ktk mfumo wa ndani ya pua. Sasa jitahidi kufatilia mtiririko wa joto mwili lake hasa nyakati za usiku na pia tafuta maabara nzuri ili apimwe malaria,mkojo,choo kubwa hafu ni pm.
  8. KALYOVATIPI

    Rangi nyeusi kwenye bendera ya taifa ni kiashiria kikubwa cha ubaguzi wa rangi!

    Kuna uitaji wake ndugu kuna muhindi amewahi kunitukana eti ,ndo mana mwafrika wewe
  9. KALYOVATIPI

    Mahakama ya Kadhi imekataliwa kwenye Rasimu ya katiba-Bunge maalum

    sasa baada ya mahakama ya kadhi wakisto cjui watadai nn
  10. KALYOVATIPI

    Wako wapi Sumbi na Bocha?

    nimewakumbuka sana mwenye uwezo wa picha za jamaa atuwekee itv wamewasahau miaka 20 yao
  11. KALYOVATIPI

    CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

    kwan huyu mbabu na mama anna killango nani mkubwa?
  12. KALYOVATIPI

    CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

    hata siamini kama hivi vitu vinaandikwa na wewe lets stop naona unajivua nguo kabisa
  13. KALYOVATIPI

    CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

    uzito wako unapungua kaka
  14. KALYOVATIPI

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Viongozi wa BAVICHA Taifa - Mlimani City, Dar

    tunaham sana na matokeo tupo nyasa huku vijana wa cdm kwa babu lulu
  15. KALYOVATIPI

    Tahadhari: Jeshi la Polisi latoa onyo kwa wanaotumia vibaya mitandao

    ushauri mdogo tu manguvu ya kimtandao wanayotaka kuyatumia I.T ya jeshi letu ikatumia kufatilia money flow ya ovyo huko uswisi,escrow au na hapa nimekashifu mtu? sorry....
  16. KALYOVATIPI

    Je unapenda kujua nini kuhusu yu - tong

    ila kaka bei zako si za eicher hizo? au ujui costs za kutoa dude kama ilo china mpaka bongo? mil75? sijawah kuona yan kama nissan morano? duh!
  17. KALYOVATIPI

    Je unapenda kujua nini kuhusu yu - tong

    nyuma dhambi
Back
Top Bottom