Search results

  1. Franky Samuel

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dakika ya 26 REECE JAMES out haya ni majeraha yanaendelea kumuandama hapa tutegemee kumuona mwakani
  2. Franky Samuel

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha aendelee kuwatapeli wajinga wengine
  3. Franky Samuel

    FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

    Pumbavu kwani walikua wanacheza peke yao na nyinyi si mlikua mnacheza ???
  4. Franky Samuel

    FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

    Kwani akishinda sisi watanzania tunafaidika nini
  5. Franky Samuel

    FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

    Watanzania wote tunaomba simba afungwe leo
  6. Franky Samuel

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
  7. Franky Samuel

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwenye kutoa piah uje piah kusema hatukukwambia
  8. Franky Samuel

    FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Kweli na hapo amejiweka sokoni msimu ujao hatupo nae
  9. Franky Samuel

    FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Aziz hajawa kwenye kiwango kizuri tangu ile mechi ya Algeria, gamondi afukunzwe kwanini ??? Amefikia malengo ya yanga (group stage ) kwanini afukuzwe ??
  10. Franky Samuel

    FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    KIKOSI KINACHOANZA AZIZ KI BENCHINI
  11. Franky Samuel

    FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Huu ndo uwanja unaoenda kutumika leo
  12. Franky Samuel

    Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

    Tuzo amepokea kutoka wapi ???
  13. Franky Samuel

    FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Yanga leo point 3 kufa na kupona
  14. Franky Samuel

    Yanga ikifanya hivi inatoboa kwenye robo fainali mapema tu

    Mimi yanga ila hii comment yako imenichekesha
  15. Franky Samuel

    Series (Special thread)

    Ndio season 2 na itamwagika damu kuliko season 1
Back
Top Bottom