Search results

  1. Msukule Msafi

    Msaada juu ya tatizo la liver shrinking (cirrhosis)

    Habari wakuu naomba kujuzwa hili tatizo linatibika au ni namna gani linaweza kua solved Historia fupi : Mwenye tatizo hili ni dada yangu ameanza kuumwa tu bile kujua tatizo tangu mwaka 2019 mwanzoni kabisa alikua na tendemcy ya kuvimba vimba sehemu mbalimbali za mwili mara miguu,uso,mikono na...
  2. Msukule Msafi

    Suala langu la intergration ya payment gateway halionekani

    Natafuta mtu atayeweza nifanyia intergration ya payment gateway ya dpo kwenye project yangu naona kimyaaa sana mwenye kuweza anijuze tafadhali tufanye
  3. Msukule Msafi

    Intergration ya payment gateway ya dpo

    Wakuu habari za wakati huu.. naomba mwenye kujua amabaye ataweza kunifanyia intergration ya Direct pay Online kwenye App na website yangu Nawasilisha mwenye kuweza anijuze tufanye kazi..
  4. Msukule Msafi

    Msaada wa intergration ya payment gateway ya pesapal katika hii project

    habari wakuu, Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya intergration ya payment gateways za hawa pesapal katika hii project iliyokua developed kwa laravel nawasilisha kwa mwenye kujua msaada wako katika hili Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Msukule Msafi

    Hivi kuna shida gani kwa makampuni ya Courier hapa Tanzania msaada katika hili

    Habari zenu wakuu bila shaka ni wazima wa afya nina suala moja hapa linaniumiza kichwa na kukwamisha project yangu nimeandaa nimeandaa platformya e-commerce utendaji kazi wake ni ule ule wa ALIEXPRESS kwa maana amekusanisha stores and viwanda mbalimbali kuweka bidhaa zao katika website yake...
  6. Msukule Msafi

    Aina 50 ya Online Business Platforms unazoweza anzisha Tanzania na uka-Dominate Soko

    ==> Anzisha Mitandao kama Uber, Tala, Airbnb, Amazon, Zidisha, Makazi, Jumia, Brightermonday...Upate Kuwa na Competitive Edge na Utoboe Kiufanisi Zaidi ------------------------------------------ 1. Platform kuu kuuza mazao nchi nzima = hapa naamaisha kuwepo kwa platform ambayo wauzaji nchi...
  7. Msukule Msafi

    Web developers naomba msaada wenu katika hili

    Habari wakuu, nina website ya ecommerce nimekwama mahali ninahitaji niwe naweka price ranges kutokana na quantity atakayo order mteja mfano wa hizi products. Platform ya web yangu nilotumia ni Wordpress Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Msukule Msafi

    Msaada wa kufahamu wasafirishaji wa bidhaa kutoka ughaibuni wanatumika na kampuni kama kikuu

    Habari wakuu naomba msaada wa kufahamu makampuni yanayohusika na usafirishaji wa bidhaa kutoka huko ughaibuni kama china yanatumika na haya makampuni kama kikuu hadi bidhaa inamfikia mteja kwa address aliyoiweka .. aina za mizigo ni tofauti tofauti Nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Msukule Msafi

    Msaada namna ya upatikanaji wa leseni ya biashara ya e-commerce

    Habari wadau, naomba mwenye kufahamu namna ya kupata leseni ya biashara ya duka la mtandaoni tafadhali naomba anijuze taratibu zake na pa kuanzia nawasilisha
  10. Msukule Msafi

    Msaada namna ya kupata leseni ya biashara kama ile ya Kikuu

    Habari wakuu natumai ni wazima. Nilikuwa naomba nipate muangaza kidogo kuhusiana na upataji wa leseni ya biashara aina yenyewe ya biashara ni kama ile ya Kikuu. Nimejaribu kuuliza inasemekana Manispaa hawatoi leseni hiyo hadi Wizarani. Je Wizara gani na je kuna anayefahamu aidha utaratibu wa...
  11. Msukule Msafi

    MSAADA NAMNA YA KUPANDISHA WEBSCRIPT YA PHP KWENYE HOSTING ACC

    wakuu habari zenu ....... Nadhani heading inajieleza naomba msaada namna ya kupandisha script nilonayo kwenye hosting acc kwa ajili ya website kwenda hewani msaada tafadhali nawasilisha
  12. Msukule Msafi

    WEB DEVELOPER PLEASE MSAADA

    wakuu habari za muda .... nina tatizo ninahitaji kufanyiwa setup ya website mpya ambayo nina source code tayari hivyo kuna vitu nimekwama tafadhali njoo pm tufanye makubaliano ili tufanye kazi nawasilisha
  13. Msukule Msafi

    BADO SIJPATA MSAADA WAKUU JUU YA HII WEBSITE

    nilikuja na ombi la namna ya utengenezaji wa web kama hii ila mpaka kufikia leo sijapata msaada nawasilisha naomba kujuzwa... CHIEF MKWAWA Home Page | Halab Tech Support
  14. Msukule Msafi

    MSAADA WA NAMNA YA KU BUILD WEB KAMA HIYO

    Habari wakuu natumai ni wazima ...... naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika naomba msaada wa kujuzwa namna ya kudesign web kama hiyo kama ilivyo uelewa wangu upo kwenye Wordpress (wp) kwenye kudesign from scratch nawasilisha
  15. Msukule Msafi

    Msaada Namna ya kuset registration Tab kwenye Blog iliyotegenezwa kwa blogger

    Msaada wakuu kama heading inavyoelekeza hapo juu naomba msaada wa kuweka Tab kwa ajili ya Registration kwenye blog ila sasa katika hiyo menu tab iwe na sehemu ya malipo nimedesign blog yangu kwa kutumia platform ya blogger na sio wordpress Nawasilisha
  16. Msukule Msafi

    MSAADA NAMNA YA KUTENGENEZA APP AU WEBSITE YA STREAMING ONLINE

    Habari wakuu Natumai ni wazima namba kujuzwa namna ya kutengeneza app ambayo itakua na uwezo wa ku stream online na kudownload ... Nawasilisha
Back
Top Bottom