Search results

  1. The August

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Vile naungalia huu uzi!! [emoji28]
  2. The August

    UBAKWAJI WA TELEZA: Waziri Lugola adai tatizo sio kubwa kama linavyoelezwa na kwa mwaka sasa hakuna tukio la ubakaji lililoripotiwa Polisi

    Hawa teleza nashangaa kwanini hawachukuliwi hatua ipasavyo, wamekuwepo zaidi ya miaka mi4 sasa!
  3. The August

    TTCL yaomba Sh 1.7 trilioni kuboresha huduma zake

    Ukizoea maisha ya ajira, ni sawa na kuzoea kufanya NGOs, huwezi toka nje ya mfumo huo akili imezoea.
  4. The August

    Jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe. Ni Mnyarwanda na si Mkongo

    Na wiki hii Tshisekedi si anamtangaza PM wake?
  5. The August

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hivi hawa waliishiaga wapi kutishana?
  6. The August

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    [emoji28] Msosi tu lazima uwe wa kutosha. Me nina mapumziko kidogo natumia vidonge.
  7. The August

    Membe: Rostam wewe ni mwenzetu umekatwa mkia, ukishakatwa mkia hata ujitahidije mkia wako ni mfupi tu...

    '.... Asijifanye mtoto mzawa, wakati sisi wote ni watoto wa kambo'
  8. The August

    Kampuni sita zasaini mkataba wa awali kununua korosho nchini Tanzania

    Hawa hawajifunzi, kwanini wasiwe wanafanya kimya kimya tu, wakimaliza watoe matokeo!
  9. The August

    Jaymond wa Instagram

    Napenda sana Comedy! Comedians wengi tanzania hawako kisasa! Joti ana jitahidi. Ila kwa ujumla Comedy dunia ya leo inabidi uwe well informed na updated! Check hii! Kansiime ni Comedian bora Afriac
  10. The August

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hakutegemea ujio huo! [emoji28]
  11. The August

    Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Niliona post moja amemsupport Malema! Je ni U-ANC & U-CCM!!!!
  12. The August

    Mwenye wasifu wa Kampuni ya Ukaguzi ya E. K Mangesho & Company atuwekee hapa

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/318943/ Nadhani kuna mangesho wapishi na wengine wahasibu.
  13. The August

    Mwenye wasifu wa Kampuni ya Ukaguzi ya E. K Mangesho & Company atuwekee hapa

    Yah, by looking anaonekana ni bwana mdogo. Naona kuna Ernest Mangesho pia.
  14. The August

    Mwenye wasifu wa Kampuni ya Ukaguzi ya E. K Mangesho & Company atuwekee hapa

    Ukiona hapa inaonyesha wahusika. Ni huyo Ernest Mangesho na Frank Mdachi. Na kwenye Orodha ya kampuni za Uhasibu ipo hiyo.
  15. The August

    Makamu wa Rais ashangazwa na watu wanaohoji kuhusu ulinzi wa Rais..

    Tofauti ya Mwalimu na Huyu ni ndogo sana. Wote wale wale!
  16. The August

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Alisikika afisa mauzo wa Kilimanjaro lager akisema...
  17. The August

    Interview ya Koffi: Baada ya Miaka 10 ya Kuikimbia Ufaransa.

    Naam Mkuu! Lakini je ni kweli Muziki wa Congo unashushwa na siasa?
  18. The August

    Interview ya Koffi: Baada ya Miaka 10 ya Kuikimbia Ufaransa.

    09-07-2019. "KOFFI OLOMIDE" kafungua mkutano na Wandishi wa Habari kwa maneno haya kabla yakuanza kujibu maswali : 01. Kwanza namshukuru Mungu kuniwezesha kufika tena Jijini Paris,baada ya takriban miaka 10 yakutokuwepo. nashukuru pia kufika makaburini na kumtolea salaam Baba yangu Mzazi...
Back
Top Bottom