Search results

  1. T

    Kero za Muungano, waandishi wa habari wamelala!

    Habari wanajamvi? Kuna hili suala la Kero za Muungano zilizogonga mwamba kutatuliwa Kwa awamu nyingi zilizopita!Lakini awamu hii ilipoingia tulitangaziwa kero hizo zilizosumbua sana zimetatuliwa chini ya SSH ndani ya muda mfupi! Ajabu ni kwamba waandishi wa habari wakabeba taarifa kama...
  2. T

    Upendeleo kwenye kugawa rasilimali za Taifa ukiendelea, tutaanza kuchaguana kiuzawa

    Hatari mojawapo kubwa ninayoiona iwapo tabia hii ya kupendelea Chato kunakofanywa na serikali ni kwamba tutaanza kuchagua kiongozi kutokana na uzawa! Mfano mimi ni wa Kusini, akigombea Rais wa kutoka kusini basi nitamchagua nikiamini atafanya upendeleo na kuelekeza miradi mingi kusini kuliko...
  3. T

    Simba sio watu wazuri aiseeee!

    Jamani Simba raha ila mmenitia hasara acheni tu! Kuna manzi wangu mmoja ananijua mimi shabiki wa Simba! Sasa alipoona matokeo ni 4-0 basi chap chap akanipiga mzinga! Nikiwa bado akili haijatulia kwa furaha nikajikuta nimetuma na ya kutolea! Kwakweli kwa mpira wa Leo,hii mood niliyonayo ndio...
  4. T

    Yanga acheni tabia za kuwaza ushirikina kila mnapobanwa mbavu!

    Leo nimeshangaa sana Kaseke na mwenzake kwenda goli la mpinzani kuanza kutikisa nyavu kama wanatafuta kitu hivi kwa chini,baadaye wakaenda hadi kwenye taulo la golikipa na kulikung'uta!Nilipigwa na butwaa kuona hivyo!Wakati huo Matokeo yakiwa Prison 1-0 Yanga na Yanga walikuwa wakishambulia...
  5. T

    Nimeamini Serikali iko desperate sana na hela za Mabeberu

    Hela za mabeberu tamu bhana, asikudanganye mtu! Hizo sarakasi za serikali kwa kushirikiana na Ndugai kupindisha katiba na sheria kwa kuwatambua na kuwaapisha viti maalumu 19 bila chama kuwapitisha ni wazi kuna kitu kinahitajika kwa nguvu sana! Haya mapenzi yaliyopitiliza ya NEC, Spika na AG...
  6. T

    Mama Samia: Tulikuwa tunakulaani Rais ila kumbe ulikuwa unatunyoosha!

    Kwa mliosikia hotuba ya leo ya Mama Samia Suluhu, ametoboa siri ya miaka miwili ya mwanzo kama Makamu wa Rais! Amesema yeye na Waziri Mkuu walikuwa wanamlaani Magufuli kwa kuwakemea lakini baadaye wakaelewa kumbe alikuwa anawanyoosha! Hii kauli imenikumbusha mbali kidogo, kwa wale mnaokumbuka...
  7. T

    US na EU wakifuata mkondo wa China kwa nchi za Afrika, hali itakuwaje?

    Tunajua sera za China kwa nchi za Africa,concern yake ni fursa ya kukuza uchumi wake kwa kupata tenda kubwa kubwa za ujenzi na soko la uhakika la bidhaa zake!Taifa hili huwa halijihusishi na mambo mengine kabisa yanayotokea kwenye mataifa ya Africa ilimradi yeye anafanya biashara!Kwa msimamo...
  8. T

    Je, Museveni haamini kama Corona imeisha Tanzania? Kabudi amejikuta kapata aibu!

    Leo wakati viongozi wakiondoka viwanja vya Dodoma alianza kuondoka Rais Magufuli akafuatiwa na Rais Museveni! Wakati Museveni akisubiri gari nilimuona Kabudi akisogea eneo ambalo kulikuwa na viongozi wa Tanzania ambao walikuwa wanawaaga wageni na tayari walikuwa wameshaagana na Museveni kwa...
  9. T

    Uchaguzi 2020 Sheria ya Gharama za Uchaguzi inasemaje? Nimepata mashaka baada ya CCM kufika Kigoma

    Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi: *Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki yangu ambaye gari zake zote zilikodiwa kwa kazi hiyo! * Wananchi wote waliopakiwa kwenye magari hayo...
  10. T

    Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

    Habari wakuu, tusichoshane niende moja kwa moja kwenye hii kitu iliyoniacha kinywa wazi kiasi kwamba kama ni Corona basi ingepita bila kipingamizi! Nilifika geita kutoka Dar katika harakati za kujipatia kipato halali kabisa! Nikawa nimefikia gesti moja hapo mjini katikati tu ya mji inaitwa...
  11. T

    Zari utamkumbuka Ivan the Don maisha yako yote!

    Ivan the don alikuheshimu sana,hakuwahi kukuanika kwa lolote!Mwisho wa siku ukamuonesha kuwa umemove on na kujooiianika mitandaoni na Diamond ukijua umelamba dume,kumbe umeruka mkojo na kukanyaga mavi!!!Ona sasa unavyorukwa akili na kutoa matusi bila kujali wanao wameshakuwa na wanakiona...
  12. T

    Jeshi la Polisi kuangukia pua mara kwa mara kesi dhidi ya Wapinzani!!!

    Nimeona trend ya nyuzi za baadhi ya wadau wakisema wapinzani hawafuati sheria ndio maana wanajikuta mikononi mwa polisi na kufunguliwa kesi za uvunjaji sheria! Katika historia ya nchi hii,kesi nyingi ambazo polisi wamewafungulia wapinzani zikienda mahakamani Jeshi linaangukia pua!Unaweza...
  13. T

    Mbona Rais Magufuli amejikausha kama siyo yeye aliyeanzisha hili timbwili

    Mzee anaanzisha vitu kwa kiki,mambo yakibuma anajikausha kama vile yeye hayumo na hahusiki!Tunataka kusikia neno mzee baba,korosho imekuwa zigo la misumari kwa wakulima! -Uhakiki(wasio na mashamba wakaporwa korosho yao),lakini hata wenye mashamba danadana kuwalipa! -Sasa tunaambiwa kuwa baadhi...
  14. T

    Wabunge badilini sheria ili fungu la Ikulu likaguliwe na CAG!

    Haiwezekani mtu atumie mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kukaguliwa!Ukiachana na zile anazopangiwa katika bajeti,Rais amekuwa akibadili matumizi ya pesa kwenye bajeti na kupeleka kwenye fungu lake!Halafu hakaguliwi,huu utaratibu gani?Nani alitunga sheria hiyo na kwa manufaa ya nani? Ni...
  15. T

    Tujikumbushe:Nape vs Makonda na Ndugai vs CAG Assadi

    Makonda alivamia himaya iliyo chini ya Nape Nnauye,kwa maana ya waziri wa habari,michezo na utamaduni!Hii ilitokea pale Makonda alipovamia ofisi za clouds kwa mtutu wa bunduki kwenda kulazimisha habari kwenda hewani kwenye kipindi cha Shilawadu! Jambo hili lilileta mvutano na ikapelekea Nape...
  16. T

    Sheikh wa Dar unapotoka kuingilia yasiyokuhusu! Sakata la CAG hukutakiwa kutia neno...

    Leo katika kukabidhi mfumo wa mawasiliano kwa TCRA,shekhe wa Dar ameitwa kufungua kwa sala! Akaanza sala yake vema, akaanza kuwaombea viongozi na alipofika kumuombea Spika akasema Mungu akupe afya mh Spika, mtu ambaye akimuita mtu ni lazima aende! Maana huo ni mhimili unaojitegemea! ======...
  17. T

    Mchakato wa kulitoa meno Bunge ulianza kitambo, haya tunayoona ni matokeo tu ya process

    Tujikumbushe kidogo! Wakati wa spika Sitta,serikali ilisimamiwa ipasavyo na bunge!Ilipelekea mijadala mingi kupenya bungeni na kujadiliwa!Viongozi wa CCM walimlalamikia Sitta kwa kuiruhusu mijadala bungeni ambayo inaishambulia serikali!Sitta hakusikia na akaendelea kulisimamia Bunge kwa kufuata...
  18. T

    Senetor Vinick: Nchi za Afrika haziwezi endelea bila kupunguza kodi!

    Ametolea mfano Tanzania ambapo amesema mlundikano wa kodi hauwezi kuleta wawekezaji hivyo umasikini utaendelea kudumu! Amesisitiza tutaendelea kutegemea misaada yao ambayo kamwe haitaweza kutosheleza mahitaji,hivyo kutakuwa na permanent unemployement na matokeo yake ni permanent poverty!
  19. T

    Mchango sh 5000 au kuitumikia serikali siku 14!

    Nimepigiwa simu na rafiki yangu huko wilaya kasulu akinieleza kuwa mkuu wa wilaya amewatangazia mchango wa ujenzi wa shule kwa kila mwenye miaka 18 na zaidi kulipa sh 5000!Ikifika dead line hujalipa basi utakamatwa na na serikali kisha kutumikishwa kwa siku 14! Nilipouliza zaidi,nimeambiwa ni...
  20. T

    Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

    Nionavyo mimi CAG amekuwa mzalendo asiyetetereka kwa kusema ukweli!Ni wakati sasa wa watanzania kumuunga mkono Assadi ili kumtia moyo kwa kuwa jasiri! #Assaditembeakifuambele Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save...
Back
Top Bottom