Search results

  1. Sr. Magdalena

    Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    nikushukuru, je accounting offices wanaruhusiwa kisheria kuita vyombo vya habari na kutoa ufafanuzi mfano kujibu hoja za Zitto?
  2. Sr. Magdalena

    Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    mkuu heshima mbele sana, wanajibu kwenye platform ipi?..na swali la jumla kama nilivyo ainisha hapo juu ni jukumu la nani kisheria kutoa majibu..?
  3. Sr. Magdalena

    Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    kama hivyo ndivyo kwa nini tunapoteza muda, nani kisheria anastahili kuja na majibu
  4. Sr. Magdalena

    Tusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo

    umefikaje huko?
  5. Sr. Magdalena

    Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    kisheria nani anasthili kuja na majibu, tumalizane na hii kadhia tufanye vingine?
  6. Sr. Magdalena

    Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    Heshima mbele wakuu, tumeona Ndugu Zitto akijitahidi kufafanua na kudadavua baadhi ya kurasa za report ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Serikali, na baadaye kuja na baadhi ya maswali akihitaji majibu, kwa upande wangu naona ni maswali yenye mantiki na chanzo chake ni report ya ukaguzi ya CAG. Nini...
  7. Sr. Magdalena

    USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    anzisha thread ya machapisho, hapa tunajadili mustakabali wa Taifa
  8. Sr. Magdalena

    Waziri Ummy: Deni kubwa la matibabu ya nje lililoibuliwa na CAG halihusu Serikali ya Magufuli tu,ni malimbikizo ya nyuma

    Baada ya kupokwa majukumu yake ustawi wa jamii na kusimamia watoto na kina mama waliotelekezwa naona sasa ni payback time..
  9. Sr. Magdalena

    Waziri Ummy: Deni kubwa la matibabu ya nje lililoibuliwa na CAG halihusu Serikali ya Magufuli tu,ni malimbikizo ya nyuma

    hilo ni deni la serikali ya ssm, hawawezi kukwepa mabaya na kukumbatia ma zuri aliyoacha JK, by the way kuna mtu alikaa India 3months badaye akakaa 4months..naomba kuishi hapo
  10. Sr. Magdalena

    Kwa Watanzania waishio Marekani

    credibility yako imeshuka kama mvua za N.Y. wewe ni mnafiki
  11. Sr. Magdalena

    Kwa Watanzania waishio Marekani

    wewe ni mnafiki
  12. Sr. Magdalena

    January Makamba ni mwanafasihi andishi naomba usife na kipawa hiki

    nakubaliana sana na wewe, yuko vizuri sana...inshallah tumtie moyo aianze kazi sasa
  13. Sr. Magdalena

    CAG: Serikali Yashusha Deni la Taifa

    mkuu..inchi ngumu hii sasa..anything is possible
  14. Sr. Magdalena

    CAG: Serikali Yashusha Deni la Taifa

    just thinking out loud mkuu...it might happen
  15. Sr. Magdalena

    CAG: Serikali Yashusha Deni la Taifa

    "ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu yafutwa, shughuli zake kuhamishiwa hazina" "kuanzia mwaka wa fedha 2017/2018 report itakuwa inakabidhiwa kwa Rais na kujadiliwa ndani ya vikao vya baraza la Mawaziri"
  16. Sr. Magdalena

    CHADEMA: Taarifa ya CAG sio sahihi,kama ni sahihi vyombo vinavyohusika vichukue hatua

    chama vya upinzani...I saw this coming...WE have a looong way to get going
  17. Sr. Magdalena

    Star tv: Wakati wa kiyama baada ya shetani kutupwa motoni watafuatia Wanasiasa!

    ni jambo jema kama bado ipo hewani, mara ya mwisho kuangalia hiyo TV ilikuwa October 2015 ulikuwa unapigwa wimbo wa Diamond wa kampeni siku nzima
  18. Sr. Magdalena

    Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa aomba radhi kwa kumdhalilisha; asema tukio limechukuliwa kisiasa na sasa anakosa amani

    btw ana miaka 31 sasa iwe ni kweli au si kweli hakustahili kuwa pale, mbali na mawaa dhariri yote yaliyojiri waliotakiwa ni watoto waliotelekezwa, miaka 18 kwenda chini
Back
Top Bottom