Search results

  1. maji ya gundu

    Msaada tafadhali

    Naandika hili nikiwa na hasira sana Msaada mwenye kujua spray yeyote au sawa inayoweza chafua hali ya hewa kwa muda mfupi na kusababisha pasikalike Au dawa ambayo ukichoma itaharibu hali ya hewa kwa muda mfupi yaani ilimradi pasikalike Msaada tafadhali kwa anaejua moja kati ya hilo
  2. maji ya gundu

    Mama yangu alifariki huku akijua simpendi

    Habarini za asubuhi wana MMU poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia kiujumla. Kijana wenu nimekuja hapa mbele yenu sijui nahitajI ushauri ama nahitaj nini ila ntafurahi kama ntarejesha amani ya moyo na akili yangu. Ni hivi mama yangu mzazi alikufa huku akitambua kua mimi mwanae...
  3. maji ya gundu

    Mahusiano sugu

    Nishawahi kuandika humu kuhusu mahusiano sugu humu mkanipuuza Saizi mnaishi humo mnashindwa ku move on Mmegeuka watumwa wa wapenzi ambao hamuoni future kwao Kila siku ni vilio vya hasara ya pesa na muda mtu anatreat atakavyo anajua huna options na kweli huna option Kwa kuongozwa na mioyo...
  4. maji ya gundu

    Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu. Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio...
  5. maji ya gundu

    Ninasumbuliwa na tatizo la kiuno kwa wiki sasa

    Nna sumbuliwa na kiuno sana tatizo lina kama wiki adi sasa Ila naona kama liko serious sana yaani limeamua kwa kweli Najua mpo wajuvi humu mnaweza nisaidia Miaka yangu 21s
  6. maji ya gundu

    Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

    Haiwezekani mtu kila nikiongea nae jambo lolote la maendeleo jibu lake ngoja nimshirikishe wife Mwaka juzi tulipanga mambo flani ya kujikwamua kiumchumi mchongo flani ukitulia hukosi hela za kutambia akanijibu ngoja aongee na mke wake jibu lilikoja eti wife kamkatalia Mwaka jana yakajirudia...
  7. maji ya gundu

    Ni vyakula gani vinafaa kuliwa unapokuwa kwenye break up?

    Poleni na majukumu wadau, Mapenzi bwana acha yaitwe mapenzi, tuseme tu kwa kifupi hayana formula Unaweza ukawa na hela ukapigwa chini, unaeza ukawa hb ukapigwa za uso na unaweza ukawa fundi wa kuchezea vizazi ila ukapigwa chini vile vile. Kuna kile kipindi unaenjoy mahusiano hadi unatamani...
  8. maji ya gundu

    Ushauri: Mambo gani natakiwa kuzingatia?

    Habari za asubuhi wana jamii forums Kijana wenu niko hapa nahitaji ushauri wenu na experience yenu katika hili linisumbualo akili kwa sasa Kwa kifupi ni kua mimi ni aina ile ya watu ambao tunaweza kutengeneza marafiki wengi kwa muda mfupi na kibaya zaidi nimelia uswazi Hii tabia ya...
  9. maji ya gundu

    Timaya

    sema hii album ya Timaya ya moto asee kuna ngoma kama Chulo bothers no body Something must kill a man Don dada Born to win Na ngoma nyingine kibao afu mshikaj kaimba alone afu zote za Moto Mi naona kawafunika hata davido, Wizkid, Nasty c na uyo Tiwa Savage Sema mshikaj anaweza
  10. maji ya gundu

    Tuwekane sawa kwenye haya

    Jamani tuwekane sawa kidogo kwene haya mambo mawili matatu Sio kwamba una depression ila hauna hela, kimezuka kitabia flani mtu akiwa hana hela anajieka sura ya huzuni yaani kama ana msongo wa mawazo kumbe uhalisia hana chake Sio kwamba huna hamu ya kula ni huna hela binadamu bhana huwa...
  11. maji ya gundu

    What's your favorite break up song?

    Habari zenu wanna Jf Mi huwa nazisikiliza hizi Cry no more by Chriss brown Niache ya Diamond platnum Surrender ya Natalie Taylor Siwezi ya Baraka the prince Aljandro by Lady Gaga Karibu share tupate kujufunza vitu vipya Maisha ni mapenzi bila mapenzi hakuna haja ya kuishi Afu kuna hii ya...
  12. maji ya gundu

    Najisikia poa kuona mwanamke kavaa boxer kama nguo ya ndani

    Sijui nina tatizo au la, ila mimi nachukia sana kuona mwanamke kavaa kyupi, Na vise versa naenjoy kuona KE akivaa boxer, nakua na amani Nakumbuka mwaka fulani nilikua na date na tom boy yeye alikua anavaa boxer tu, huwezi mkuta kavaa kyupi, siku ya Kwanza kuonana nae alikua kavaa pensi, afu...
  13. maji ya gundu

    Kitu gani kinakufanya upende kuendelea kuishi?

    Isitafsiriwe kama nimekata tamaa, hapana ila hili swali huwa najiuliza sana. Msije fikiria natafuta sababu ya kujiua hapana sio hivyo Lengo la hilo swali ni kujua kila mmoja kiupande wake nini kinampa hamasa ya kuendelea kuishi. Yaani endapo ukifa kitu gani utakimiss sana Usiku mwema kwa wale...
  14. maji ya gundu

    Maisha uwanja mpana, ifikie hatua kila mtu aishi kwenye njia yake ambayo yeye anaona sahihi

    Poleni na majukumu wananzengo Mambo ambayo binafsi nakereka sana sema kwa sababu ya system nashindwa kuamua na sina pa kupereka Wazazi kuforce vijana wao tuoe, kila mtu ana akili yake bhana, muache mtu aishi anavoona yeye sahihi Kuona watu wakipinga starehe za watu mfn pombe, ganja na...
  15. maji ya gundu

    Mahusiano sugu

    Habari za weekend wananzengo, hope fully mko poa as usually Leo nimeona nishare na nyie wananzengo kuhusu mahusiano sugu kwanini watu wanashindwa ku move on yaani unakuta watu wameachana ila mechi za kirafiki wanaplay kama kawaida watoto wa kisasa mnaita kupasha viporo Hizi ni baadhi ya sababu...
  16. maji ya gundu

    Utajiskiaje?

    Niadje wadau, hivi utajiskiaje au utafanyaje endapo ukikutana na situation kama hizi. Umemtumia mtu hela afu anakujibu "enx" Umemkaribisha rafiki akho kwene kaghetto kwako afu unaenda kuoga ile unarudi unakuta kapanda na viatu kindandani afu anakula alizeti Unamkuta mshikaji anamtukana mama...
  17. maji ya gundu

    Hakuna sababu inayozuia mwanamke asichepuke

    Ni hivi wanaume wengi tunafikiri mwanamke akikubali kuolewa na wewe ndio anakupenda koo sio rahisi kukucheat kitu ambacho si kweli. Ukweli mchungu ni kua wanawake wengi wanakubali kuolewa na wewe ili tu apate heshima kwene jamii inayomzunguka ila anakua hana hisia na wewe ata robo wengi wao...
  18. maji ya gundu

    Huezi mridhisha mwanamke kamwe

    Oya niadje wanangu Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo...
  19. maji ya gundu

    Mbinu ya uhakika ya kuchukulia namba kwa watoto wazuri

    Poleni na majukumu wakuu Leo nimeona nisheenanyi njia za uhakika ambazo ukizitumia inavotakiwa kwako namba za watoto wazuri itakua sio shida Fungua goli(office) la huduma za kifedha yaani namaanisha uwe na tigo pesa,m pesa, Airtel money na hallo pesa, yaani hii ni njia ya uhakika na salama...
  20. maji ya gundu

    Usiku mwema kwa wadada wote wenye lips nene

    Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutuumbia nyie viumbe maana sometimes huwa nashindwa kuimagine maisha yangekuaje bila nyie To be honest wadada wenye lips nene mna nafasi kubwa sana moyoni mwangu. Nisiongee sana nisije nikakufuru naomba tu niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Mungu...
Back
Top Bottom