Search results

  1. I

    TANESCO ni kwamba kuna mgao au kuna shida gani? Kwanini kila siku mnakata umeme?

    Yaani TANESCO kila siku mnakata umeme, tena mnarudisha jioni pasipo kutangaza, hasa kwa Wilaya ya Ubungo! Hamuoni mnakosesha Shirika mapato (mnahujumu jamii)? Hapa nagundua mambo fulani: 1. Wahandisi wa TANESCO hawapo vizuri sana kiutendaji 2. TANESCO mnajiona mungu watu, mnakata umeme...
  2. I

    Miwani ya kuvaa wakati wa kutumia Computer

    Mwenye uelewa au kufahamu namna ya kupata miwani hii ya kupunguza mionzi y mwanga wakati wa kutumia computer, ili kuepusha macho kuharibuka Asanteni
  3. I

    Continental decoder kila muda wanabadili setellite hadi kero

    Habari njema kwako mteja wa kisimbusi cha Continental unayetumia dish sasa marekebisho ya mitambo yetu yamekamilika. Tupate kwenye Satelite ya Azerspace 2 45E Freq 11637 SR 30,000, Mod8PSK , FEC 3/4 , Pol V. Wasiliana na fundi aliye karibu nawe kupata msaada wa kuhamisha dishi lako. Asante
  4. I

    Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

    Habarini wakubwa, Naomba kufahamu kidogo. Kutokana na umbile la dunia( sphere), bara la Australia lipo Southen Pole of the Earth, maswali huwa najiuliza je watu, majengo & milima ipo upside down?? Kama ni kweli kwanini hawahisi hiyo hali??? Najua hawazezi kuanguka kutokana na Gravity force...
  5. I

    Clouds FM na Mapenzi mubashara hadi kero sasa

    Yaani utadhani Taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, & linaitaji mapezi ili hali kuwa nzuri..... kila wakati mapenzi mubashara.... washukuru ITV kwa introduce neno mubashara kwenye media Kiukweli ni aibu sana hasa mkiwa na wazazi na kusikia hii redio hasa kwa tamaduni zetu sisi waafrica...
  6. I

    Hivi ni kabila gani asili yake ni hapa hapa Tanzania! Je kabila gani kubwa?

    Habarini wakubwa wenzangu Nimejeribu kufuatilia kuhusiana na makabila mengi hapa nchini (Tanzania) inasemekana kuwa walikuja kutoka sehemu nyingine za Afrika au Dunia. Hapo hapo tunaambiwa binadamu wa kwanza aliishi tanzania (Orduvai , mswali ninayo jiuliza ni mengi sana 1. Je, hakuna kabila...
  7. I

    Nahitaji RAM 4 GB ya laptop

    Habari wakubwa wenzangu naitaji RAM ya laptop 4GB pia nikipata bei nzuri naweza kuongeza hadi 8GB nipo Dar
  8. I

    Msaaada: namna ya kutengeneza data backup from server

    Nahitaji kutengeneza data backup from local server ( win server 2012) , either cloud backup au remote back up.... database n mysql Naomba muongozo wajameni
  9. I

    Daktari amshauri mgonjwa kula chapati tu

    Daktari amshauri mgonjwa kula chapati tu Baada ya vipimo & majibu, daktari akamshauri mgonjwa kuanzial siku hiyo chakula chake kitakuwa ni chapati tu....... Baada ya ngonjwa kusikia hivyo alifurahi kwaa kua uhakika wa chai upo daily.... lakini hakusita kumuuliza dakatari kwann atumia chapati...
  10. I

    Naitaji mtu/ mtaalam anielekeze vitu vichache kuhusu mobile App kwa siku 5 & masaa matatu kwa siku.

    Habarini Naitaji mtu anielekeze vitu vichache katika develeopment ya mobile App. Binafsi mm bado najifunza japo nimeshatengeneza application yangu & imafanya kazi vizuri tu.... ila nilikuwa sijapata mtu wa kudiskass nae challanges and over views, Language ninazo jua 1. Java 2. Phython 3. C &...
  11. I

    Endapo Manispaa ya Moshi ikiwa Jiji. Je, litaitwa jiji la Moshi au Kilimanjaro?

    Maana nikiangalia Majiji mengi hapa Tanzania yanatumia majina ya mkoa au kwa yeyote mwenye uelewa mzuri kuhusu majiji na namna ya upatikanaji utujulishe. Halikadhalika na Bukoka... itaitwa jiji la Kagera?
  12. I

    MSAADA KUHUSU PLAYSTORE

    Hivi ukiweka App yako playstore alafu ukapata downloads nyingi sana .... je unalipya per downloads???
  13. I

    Kero soko la mitumba Karume

    Habarini wadau. Kuna kitu huwa kinanitokea kila ninapokwenda soko la Karume Dar Es salaam. Nimekuwa nikienda kununua nguo, viatu na mabegi kwa muda mrefu tu.... kero inakuja pale unapokuwa unachagua bidhaa yeyote tajwa hapo juu wahuni/madalali/wapiga debe wanakuja wanaanza kukuchagulia kwa...
  14. I

    Pata Logo, Mifumo ya ICT kwa bei nafuu

    Pata Profesional design ya Logo, Certicate, nk Pia pata Mifumo mbali mbali ya kuendesha shuhuli zako mfano shule, hospital and pharmacy kwa bei nafuu 0765038814, Kwa mikoa yote Tanzania.
  15. I

    Respect respect

    Usijaribu Kumuuzi Mwanamke.. Kwasababu Ndo Binadamu Pekee Aliyekutana na Shetani na Hatujui Ni Vitu Gani Vingine Walizungumza Mbali na Lile Tunda
  16. I

    IDE kwa programming

    Katika interviews za utumishi huwa wanapendelea sana IDE gana hasa kwenye practical??
  17. I

    Tunatengeneza mfumo wa kuendesha shule

    Habari habari habari, Pata mfumo wa kuendesha shule 1. Primary school 2. Secondary school mifumo hii inauwezo wa kufanya shughuli zifuatazo 1. Kuandaa & kutunza matokeo ya wanafunzi(midterms, final tems & midterm+ final).... kwa form III - form IV inatoa kwa division.... STDI- FORM II...
Back
Top Bottom