Search results

  1. Baba Lugano

    Dr. Slaa na CHADEMA, mpo wapi?

    Chadema ni, chama makini na kina watu makini, hata maamuzi yake ni makini sana. hawa jamaa wa Chadema ni watu makini. Wengi wao umri wao ni wa kati, lakini wanafanya mambo ambayo yangefanywa na watu wa wakati wa nyerere. Sidhani kama wanaweza kukurupuka ktk hili
  2. Baba Lugano

    Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

    Ni ukweli mtupu wandungu! kuna msafara mrefu sana, Bodaboda mbele, baiskeli, daladala, saloon cars zinafuata. Wazee wa maamuzi magumu wanafanya mkutano ndani ya manispaa ya Arusha.
  3. Baba Lugano

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    hili nalo neno! Kwa sisi tulio huku Bongo, tunapiga magoti na kuwaombea Kwa Mugngu ili awatie ujasiri wa kufanya hilo ambalo ni JEMA sana kwa ajili ya ukombozi wa wa-TZ wootee
Back
Top Bottom