Search results

  1. Mchezaji

    Serikali ya Lebanon yajiuzulu baada ya mlipuko wa Beirut. Waziri Mkuu asema ufisadi uliopo ni mkubwa kuliko taifa lenyewe

    Serikali ya Lebanon imejiuzulu takriban wiki moja baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Beirut, huku Waziri Mkuu Hassan Diab akilaumu ufisadi kama chanzo cha ajali hiyo Katika hotuba yake, Diab amesema kilichotokea ni matokeo ya ufisadi ulio mkubwa kuliko taifa lenyewe na kwamba anaachia...
  2. Mchezaji

    Malawi president working to trim presidential powers

    Malawi's new President Lazarus Chakwera says he is working on proposing legislation aimed at trimming his presidential powers in an effort to empower the citizens. In his national address Saturday, Chakwera said having a president who makes too many decisions has created problems in Malawi and...
  3. Mchezaji

    Kwaheri rais Donald Trump

    Huyu hajaikosa katika maishani mwake, matarajio yake yanatendeka vile anakuwa ameyatarajia. Sasa amesema Trump hatafaulu katika uchaguzi wa mwaka huu 2020.
  4. Mchezaji

    Ujumbe wa Museveni: Ugandans should stop going into Rwanda

    President Yoweri Museveni has issued an advisory for Ugandans to stop traveling to neighboring Rwanda, in yet another twist in the ongoing diplomatic negotiations between the two countries. President Museveni this week ordered Resident District Commissioners (RDC) of the districts neighboring...
  5. Mchezaji

    Je, umetazama kipi Rais wa Uganda amefanya leo?

    Kumbuka huyu rais wao anasema ako na miaka 76, isipokua wataalamu na wanahabari wa kwao wanasema ashapitisha miaka thamanini, karibu anaingia mia.
  6. Mchezaji

    Hizi ndizo dalili za kunyimwa 'utamu' na mwanamke

    Alama za kunyimwa nyamunyamu: 1. Ukilala kwa mke ama binti kisha alale na jeans, kaka jitoe uende kwako. 2. Akitoa bible ama quran akuambie muombe kabla mlale, fahamu hutaona V, enda kwako. 3. Mkilala akutandikie godolo kando ile imechapa, husikubali kulala, enda kwako! 4. Akikuambia usimguze...
  7. Mchezaji

    Je aendelee ama asiendelee?

    “Am in my mid 30ties,career iko sawa,tuganji tumeanza kuingia, but sijakuwa successffull na madame ama realtionship, i think i always looking for a perfect woman kitu nimejua she doesnt exist. Juzi nimepata single mum ako na kadame kako kitu 4yrs, sasa mimi hi story ya kudate imenishinda cause...
  8. Mchezaji

    Ugonjwa wa mawazo ni ubaya kuliko ukimwi, tujikinge kabla tukingwe.

    Alama zinaonesha mtu anasumbuliwa na msongo wa mawazo(stress): 1. Kuachwa na mpenzi . 2. Matatizo katika mahusiano. 3. Ugumu wa masomo. 4. Kubanwa sana kazini. 5. Matatizo na marafiki. 6. Ugumu wa maisha. 7. Kulala sana bila mpangilio na isivyo kawaida. 8.Kutokupata usingizi kabisa hasa wakati...
Back
Top Bottom