Search results

  1. Mchezaji

    Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

    Yatatu ungesema wao ni makahaba.
  2. Mchezaji

    Nina wapenzi wawili nimuoe nani kati yao?

    Ungetuma picha zao wote, nikuchagulie moja kisha ule atabaki nmchukue.
  3. Mchezaji

    Magufuli alikuwa muongo sana

    apumuzike salama
  4. Mchezaji

    Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Limetutingisha hapa Manyara
  5. Mchezaji

    Serikali ya Lebanon yajiuzulu baada ya mlipuko wa Beirut. Waziri Mkuu asema ufisadi uliopo ni mkubwa kuliko taifa lenyewe

    Serikali ya Lebanon imejiuzulu takriban wiki moja baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Beirut, huku Waziri Mkuu Hassan Diab akilaumu ufisadi kama chanzo cha ajali hiyo Katika hotuba yake, Diab amesema kilichotokea ni matokeo ya ufisadi ulio mkubwa kuliko taifa lenyewe na kwamba anaachia...
  6. Mchezaji

    Malawi president working to trim presidential powers

    Rais gani Africa mashariki anaeweza kuamka aombe wabunge wake wampunguze nguvu zenye anazo kikatiba? hahaa Sisi hapa marais wetu wote kuanzia Magufuli, Museveni, Kagame, Kenyatta wanashinda siku zao zote ikuluni wakiomba wabunge na mahakama zao wawaongezee cheo. Mtu akijaribu kuingiza mjadala...
  7. Mchezaji

    Malawi president working to trim presidential powers

    Malawi's new President Lazarus Chakwera says he is working on proposing legislation aimed at trimming his presidential powers in an effort to empower the citizens. In his national address Saturday, Chakwera said having a president who makes too many decisions has created problems in Malawi and...
  8. Mchezaji

    Kwaheri rais Donald Trump

    Licha la kudharau maelezo ya madaktari kutoka World Health Organisation kuhusu kulinda wananchi wake dhidi ya maradhi ya korona awali, pia vurugu na maandamano ya wanakundi la #BlacklivesMatter pamoja na #Antifa ndio sababu kuu ya kuregesha wana democratic party na mgombea wao Joe Biden ikuluni.
  9. Mchezaji

    Kwaheri rais Donald Trump

    Huyu hajaikosa katika maishani mwake, matarajio yake yanatendeka vile anakuwa ameyatarajia. Sasa amesema Trump hatafaulu katika uchaguzi wa mwaka huu 2020.
  10. Mchezaji

    Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?

    acha kero, citizen washatangaza Lissu collects nomination forms at NEC headquarters in Dodoma
  11. Mchezaji

    What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Tanganyika n bara mbali na kisiwa cha mombasa
  12. Mchezaji

    Ujumbe wa Museveni: Ugandans should stop going into Rwanda

    President Yoweri Museveni has issued an advisory for Ugandans to stop traveling to neighboring Rwanda, in yet another twist in the ongoing diplomatic negotiations between the two countries. President Museveni this week ordered Resident District Commissioners (RDC) of the districts neighboring...
  13. Mchezaji

    What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Unaona Comoros iko karibu na Zanzibar lakini ilijitenga, kisha unadhani mombasa ingekubali kujiunga na wabara wa mbali!
  14. Mchezaji

    What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Unaona Comoros iko karibu na Zanzibar lakini ilijitenga, kisha unadhani mombasa ingekubali kujiunga na wabara wa mbali!
  15. Mchezaji

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amebadilika kuelekea kupata ushindi wa kishindo

    Hao watajikosoa hadi siku ya sherehe ya ushindi wa Tundu Lissu.
  16. Mchezaji

    Je, umetazama kipi Rais wa Uganda amefanya leo?

    cha kushangaza inasemekana mdogo wake huyo ndio aliekua kidato cha sita wakati yeye alikua chuo cha Dar na ndani ya msimamo wa FRELIMO Mozambique. Je, hizo push-up arubaini ni yeye anazifanya binafsi ama usaidizi wa kifaranga(yani photoshop) ndio unatumika kutudanganya?
  17. Mchezaji

    Je, umetazama kipi Rais wa Uganda amefanya leo?

    Mkuu si wataalamu wanasoma historia tangu wakati alipojiunga na FRELIMO kupigania uhuru wa Mozambique, akarudi Dar akajiunga na jeshi la Tanzania wakachapa Amini na haiwezekani kuwa alikuwa wakati huo na miaka chini ya kumi na tano.
  18. Mchezaji

    Je, umetazama kipi Rais wa Uganda amefanya leo?

    Kumbuka huyu rais wao anasema ako na miaka 76, isipokua wataalamu na wanahabari wa kwao wanasema ashapitisha miaka thamanini, karibu anaingia mia.
  19. Mchezaji

    Kila tunachokiona Ulimwenguni kimeumbwa na Mungu?

    wenye tunaamini dini ni mipango ya wazungu kuibia weusi bidha zao mashamba na kadhalika, hatupo.
  20. Mchezaji

    Kwanini Albert Einstein Alikuwa Genius?

    Muuaji hata awe na mazuri makubwa kama kulisha wakazi wa mji mzima kila siku, HATUMPENDI na kiboko yake inakuanga kumchinja pia bila rehema ya kuangalia ukarimu wake. Soma bibilia ama quran "An eye for an eye". Shenzi Albert Einstein
Back
Top Bottom