Search results

  1. Aiba

    Jinsi tulivyoruhusu makampuni ya simu kutuibia wateja wao

    Habari za mihangaiko wapendwa? Toka limetokea tukio la Neema kufiwa na wazazi wake nimejikuta nawaza kuhusu makampuni haya ya simu katika huduma za kuhifadhi pesa kwenye laini za simu. Sababu ya urahisi wa kutoa na kuweka fedha wengi wetu hujikuta tukipendelea huduma hii ya kuhifadhi pesa zetu...
  2. Aiba

    Nini kifanyike pale mnaposhindwa kutatua changamoto zinazowakabili pamoja?

    Za jumapili wapendwa katika bwana. Wengi tunajua kuwa ndoa zinachangamoto nyingi sana, hata kama hujaowa nahisi umeona ndoa kupitia wazazi wako au ndugu au ata pia marafiki zako. Tumeona ndoa nyingi zimekuwa chanzo cha maendeleo kwenye familia nyingi au chanzo cha kurudishana nyuma, tumeona...
  3. Aiba

    Ingekuwa wewe ungemshaurije?

    Habari za njanuari wapendwa? Moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki yangu ambaye nafanya naye kazi tumeshibana sana, na tunashauriana sana kwa mengi hasa kuusu maisha na tunataniana mara nyingi. 2017 alipata ajali ya gari alikuwa ndyo kamaliza masomo yake baada ya kupata nafasi ya...
Back
Top Bottom