Search results

  1. Chris Mungoreme

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Mdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible? ===== Habari wanaJF, Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na...
  2. Chris Mungoreme

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    Hivi gambe hawapigi? Sijawahi kusikia mtu anapeleka vyombe au ndio dini imeshika hatamu? Lakini kwa kuwa ni visiwa si kuna hotels na sehemu za bata angalau kwa wageni
  3. Chris Mungoreme

    Hatimaye nmegundua mtoto si Wangu. Mama anataka kuniroga

    DNA haipimwi kirahisi hivyo,acha uongo wewe
  4. Chris Mungoreme

    Nauza shamba maeneo ya kichangani karibu na Tundwi songani

    Wadau nina shamba langu maeneo ya kichangani naliuza kwa Tsh 3m kwa heka.Kuna heka 10.Karibuni
  5. Chris Mungoreme

    Fursa ya kuuza mahindi Congo

    Mkuu ulifanikiwa kuanza hii biashara?
  6. Chris Mungoreme

    ACCA

    Wapendwa nina CPA ila nipo interested kusoma ACCA kuna fursa nimeiona nje ya nchi.Naomba kuuliza ukiwa una CPA kuna exemption kwa kiwango gani ili nipate ACCA? Thanks
  7. Chris Mungoreme

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Nataka kuanza ufugaji wa nguruwe,mabanda tayari
  8. Chris Mungoreme

    Hostel CBE

    Ipo wapi?,bei gani?,chumba watu wangapi?
  9. Chris Mungoreme

    2.9 years boerbull yupo sokoni kwa dola 1000 tu,piga 0622552492 tufanye biashara au ni pm

    Jamani biashara ni makubaliano,hutaki si unakausha tu.Mtu anabisha sio boerboel then inaletwa picha ya pitbull.Mwingine anadhani boerboel ni mbwa wa ulinzi.Mara mbwa mkubwa hafundishiki mi namuuza huyo mbwa kwa mfugaji anayehitaji mbegu.Nawajua mbwa,najua tabia za mbwa.Ukihitaji mbwa wa...
  10. Chris Mungoreme

    2.9 years boerbull yupo sokoni kwa dola 1000 tu,piga 0622552492 tufanye biashara au ni pm

    Pure south African boerboel,unaweza hata google.Kwa anaehitaji atakuja atakuja kumuona kwanza huenda picha haipo sasa.
  11. Chris Mungoreme

    2.9 years boerbull yupo sokoni kwa dola 1000 tu,piga 0622552492 tufanye biashara au ni pm

    Kwa huyo mbwa hiyo ni bei ya puppy wa wiki 6,nauza tu maana nimekosa muangalizi
  12. Chris Mungoreme

    Naomba ushauri kuhusu kuku wa mayai (layers)

    Asante sana katembe but ningepata contacts ingekuwa bora zaidi
  13. Chris Mungoreme

    Ushauri kuhusu kuku wa mayai (Layers)

    Wapendwa naombeni kujuzwa kuhusu wapi nitapata mbegu nzuri ya kuku wa mayai maana nilishauriwa niagizie Uganda lakini inasemekana kwamba Serikali imezuia uingizaji wa vifaranga kutoka nje. Shukrani
  14. Chris Mungoreme

    Naomba ushauri kuhusu kuku wa mayai (layers)

    Wapendwa! Natarajia kuanza project ya kuku wa mayai,awali nilishauriwa kuagiza vifaranga Uganda lakini inasemekana kwa sasa Serikali hairuhusu kabisa kuingiza vifaranga kutoka nje. Hivyo basi naomba mzoefu wa hawa kuku anielekeze ni wapi pa kupata mbegu nzuri ndani ya Tanzania. Asanteni...
Back
Top Bottom