Search results

  1. H

    Jengo la ofisi yetu linatikisika

    tuliwahi kuwapigia simu hawa erb,lakini wana mlolongo mrefu sana, hili jengo sio kama limeanza leo kutikisiska mimi naona kila siku linatikisika. nina wasi wasi na viwango, kama kuna mwenye email yao atutajie tuwaandikie. tupo ghorofa ya nane eti tunaambiwa hata likipita gari kubwa tu linatikisika
  2. H

    Jengo la ofisi yetu linatikisika

    jamani tusaidieni ipo siku tutafunikwa, hili jengo la habour view tower nina wasiwasi na viwango vyake. upande wa ofisi yetu kulikuwa ni 'parking' hawa wenye jengo wakafanya marekebisho sasa ni ofisi. tena ni ofisi kubwa tu ya shipping inayopokea wateja wengi kwa siku. kinachotupa wasi wasi ni...
Back
Top Bottom