Search results

  1. Old-Timer

    Apple ipad 2, 32 gb white sokoni

    Brand: APPLE Storage: 32 GB Screen size: 9.7 inches Free delivery (Dar), Order by PM Price: TZS 750,000 only.
  2. Old-Timer

    Hivi TRA waweza kamata gari ambayo nnunuzi wa gari hajafanya transfer?

    Gari ya ndugu yangu imekamatwa leo huko Morogoro kwa kosa la kutofanyiwa ownership transfer. Jamaa alinunua hiyo gari miaka miwili iloyopita na hakubadili jina kwenye kadi. Leo amekamatwa na agent wa TRA, eti hajafanya transfer ya gari na alipaswa kufanya hivyo ndani ya siku 30 baada ya...
  3. Old-Timer

    Mkopo mkopo pls

    Wana JF, Nakuja kwenu naomba mnisaidie mwanaJF mwenzenu mkopo WA Mil 6, hata kwa riba ambapo nitaanza kulipa baada ya mwezi mmoja. Nina gari na kiwanja. Gari daladala naweza kuacha kadi, kiwanja kina Leseni ya makazi. Natanguliza shukrani.
  4. Old-Timer

    Gari isuzu journey inauzwa

    Jamani ndugu zangu nauza gari Isuzu Journey, Engine type 4BD1, Seating capacity 29, Imported-Singapore, Imefanya kazi ya Daladala kwa mwaka mmoja sasa, Tegeta-Ubungo. Ipo katika hari nzuri, Bei ni TSH 17,000,000 maelewana yapo.
  5. Old-Timer

    Anatapika sana

    Mke wangu anaujauzito wa wiki sita sasa, na ni ujauzto wa kwanza. Amekua akitapika sana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yani chakura hakikai. Kuna dawa inaitwa NOSIC nimesoma kwenye net inaweza msaidia. Tunahofia kutumi dawa hiyo, hatujui madhara yake. Tafadhali wenye ufahamu wa dawa hiyo...
  6. Old-Timer

    Hodi wana jf

    Hodi JF, naomba kuingia nami nichangie.
Back
Top Bottom