Search results

  1. iokote

    Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

    Haya mambo yalikuwepo ata awamu zilizopita. Usiaminishe kwamba kipindi cha Mwendazake watu hawakukwepa kodi. Kipindi hiki wenye maduka Kariakoo si ndio kwa uwingi walikuwa wanawapa Machinga mizigo yao jioni wanaletewa hesabu, alafu kwenye mauzo ya EFD NIL.
  2. iokote

    Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

    Shaka nilitegemea unakuta mradi unasua sua maamuzi yanachukuliwa. Lakini kufoka haitosaidia. Unaondoka hapo wanarudi kule kule.
  3. iokote

    Tukumbushane ya Dkt. Mwakyembe

    2m*30
  4. iokote

    Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Niongezee kidogo hapo kwa Sir_Mimi, kama mtaji wako ni mdogo nashauri kuanza na Lubes alizozitaja sir_mimi changanya na filters na vitu vingine vidogo vidogo mathalani Plugs, Fuel pumps na vifaa vingine vya service... Hapa utakimbiza mdogo mdogo huku ukikuza mtaji. Hapo unaweza anza ata na 4M...
  5. iokote

    Ujasusi Sebuleni Kwetu

    Habibu.
  6. iokote

    Kufuta vyeti vya degree ili kibaki cha diploma

    Kwa sasa ukitia tu detail za Nida kwisha habari. Asubiri tu kazi za degree. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. iokote

    Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

    Hizo mzee mpaka mtu akuambie omba, ila from nowhere tu usitegemee. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. iokote

    Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

    Kazi nzuri boss. Hii article inaweza patikana kwenye kitabu kipi. Ikiwa pamoja na hawa ma genious wengine pichani hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. iokote

    Naweza kuwa dereva wa Uber ilhali mimi ni binti?

    Mdogo wangu wa kike anaendesha maisha yake kwa Kuendesha Uber yake, ni mwaka wa 2 sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. iokote

    Mara: Mwanafunzi agoma kwenda shule kisa hana akili

    Huyu binti ilifaa azaliwe nje ya bara la Africa. Africa bahati mbaya tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. iokote

    Kassim majaliwa na mama Samia suluhu Ni viongozi bora

    Hii tabia ni ya kipuuzi, sasa udini umeingiaje hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. iokote

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Seid akitoka tujiandae uchochoro upande wake Sent using Jamii Forums mobile app
  13. iokote

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mimi kipindi hiki cha kwanza kinanitosha kwa soka hili. Kipindi cha pili sijali lolote litakalotokea. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. iokote

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Acha avitie shot vitoto. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. iokote

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Acha apapatike kama kuku mwenye mdondo, ila mimi na yeye ni pipa na mfuniko. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. iokote

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hilo silipingi, ila kushuka daraja hapana mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. iokote

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Acha sisi tukomae mpaka mwisho, kila la kheri mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom