Search results

  1. Waterbender

    Halo effect(mapenzi upofu)

    Ukipenda hauoni. Unapokuwa kwenye mapenzi na mtu ni ngumu kuona mapungufu yake sababu ubora unaopenda kwake, unafanya upuuzie mapungufu aliyonayo. Kitaalamu hali hiyo inaitwa "Halo Effect". Ila mwisho wa siku mapenzi huisha ndipo utakapo yaona hayo mapungu uliyo yapuuza. binti sayuni licha ya...
  2. Waterbender

    Horse power vs Torque

    Nani mwenye ladha, speed, durability, fuel comsuption, acceleration kubwa, comfortability na price. Pia faida na hasara za kuwa na torque kubwa au ndogo.
  3. Waterbender

    Hii ngoma nimeiweka kama alarm song

    Hii ngoma nimeiweka kama alarm song naamshwa na mtoto zuchu sauti laainiiiiiiii 😋😋.Kula ngoma iyo acheni kunifanya wagumu😂
  4. Waterbender

    Hatimae Elon Musk kamwaga maji (Jamii ya mijusi)

    Habari za muda poleni watanganyika wenzangu Mungu atutie nguvu na atuepushe na yule mwovu. utangulizi Hivi karibuni Moja ya watu mashuhuri duniani na wenye fedha kutokana na ubunigu wao hasa hasa kwenye nyezo ya teknologia ya habari, Mtandano wa twitter unao milikiwa na Elon Musk hatimae umapeta...
  5. Waterbender

    Kifaa hichi kinahitajika (flat bottomed flask short neck)

    Habari kwa wote, Kifaa hicho hapo chini pichani nakiitaji kwa yoyote alie nacho aje tuzungumze. Asante
  6. Waterbender

    Malalamiko: Wanawake kutokuvaa sidiria kufunika Nyonyo

    Habari za muda huu wadau ningeomba niende moja kwa moja juu ya mada. Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunwa labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani nyonyo nazo zinachungulia deli sasa inaleta mtafaruko kidogo. Tuko kwenye uchumi mgumu na mnazidi...
  7. Waterbender

    KIGOMA:marehu adaiwa kufufuka

    Mkazi mmoja wa kigoma alie zikwa miezi tisa nyuma kwa ajali ya gari aoneka kijiji jirani siku ya jana, wanainchi walio mzika waenda kuchimba kaburi hilo la marehemu na kukuta mabaki ya mifupa na kuipeleka kwa mkemia mkuu kwa vipimo ya DNA kujua kwamba alie zikwa na alie hai ni mtu mmoja au...
  8. Waterbender

    The beauty of the sky

    Habari za muda huu, Mwezi huu wa kumi na mbili anga limerembwa sana na jinsi nyota zinavo jipanga is magical. Usiku wa mwezi huu umepambwa na constellation ya orion, combination of the most beautiful and pretty stars kukiwa na doti kati kati ya belt yake ijulikanayo kama supuergiant. Usiku...
  9. Waterbender

    Wahudumu wa Airtel ni uozo

    Habari za muda huu, Kama kuna muajiri wa Airtel humu wahudumu wako ni hovyo kabixa yan unapiga simu wanaongea na mteja kama kuna ugomvi hasa wanawake ni hovyo kabisa ondoeni hizo takataka zinawaharibia kazi na kama mko humu mjirekebishe mnaharibu na kuchafua kazi za watu kama umechoka andila...
  10. Waterbender

    Miiko ya wafu na kaburi

    Habari za muda sisi waafrica tuna miiko ya mambo na vitu mbali mbali, 2010 mpaka sasa miiko imekuwa ikipuuziwa tu na wengine wakisema ni mambo ya kizamani ebu tuone, moja wapo ya miiko hiyo ni hii, lakin kutoka kwa source nilipo ipata iko zaidi ya mia tisa🤔lakin naweka michache tu na wengine...
  11. Waterbender

    The history of Nubians, aliens and Earthans

    Habari kwa wote, Historia hii nimeitoa huko ulimwenguni nimeunganisha doti zangu na ww unganisha zako. LEGEZA FUVU KIDOGO😅 The history of Nubians,Aliens and Earthans alkebulan By NeoMoletsane: The earth is 4.5 billion years old. The Khoi and San (Yellow or light skinned Africans) existed for...
  12. Waterbender

    Msaada wa connection kazi

    Habari za sahizi wake kwa waume, kwa majina naitwa Frenk Robert nina miaka 24. Nitafuta kazi au mafunzo ya kujitolea walau na kanauli kwenye viwanda vyote vya vyakula mfano soda beer,samaki,nyama,maji,mafuta na unga wa ngano. Pia kwenye maabala zinazo husiana na uchunguzi wa vyakula, na...
  13. Waterbender

    Msaada Galaxy A20 inasumbua sana mtandao

    Habari za muda huu. Man u poleni, Nina samsung a20 plane inasumbua sana mtandao internet speed yake iko chini sana anaefahamu tatizo naomba anifahamishe. Asante.
  14. Waterbender

    Samsungs wanashida gani?

    Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men. Ninyoke kwenye mada. Hivi hawa samsung wameshindwa kabisa kutengeneza batteries au vip yaani simu kama note 10 ina 3500mah s10 3400mah ? Simu hizi na nyinginezo ni nzuri lakini kwenye batteries capacity ni shida. Wenda kuna sababu siijui...
  15. Waterbender

    Nahitaji pondliner

    Habari za wakati huu. Nikwamba nahitaji pondliner kwa ajili ya ufugaji wa samaki, yoyote anaejua upatikanaji wake naomba masada tafadhali! Asante
  16. Waterbender

    kiwanja kinaitajika mwanza

    Habari za sahizi. Kuna jirani yangu anahitaji kiwanja jijini mwanza kisiwe cha milimani.
  17. Waterbender

    Namba yangu ya nida haipatikani mtandaoni

    HABARINI. Namba yangu ya nida AU national identity number NIN nikijaza sehem zinazo ihitaji au kupata nakala ya kitambulisho hicho nambiwa namba hiyo haipo wakati mwanzo nilikiwa natumia hata kwa kuhakiki lain ya kwa usajili wa vidole vodacom. Kama kuna anae jua au ishauri nini nifanye...
  18. Waterbender

    Golds zinaendaga wapi au ziko wapi?

    Haina haja la salam maana na jua hampo salama.(tozo 😅) Ni we direct kidogo tusipoteze muda, pia niwaombe wasomaji mtakao kuwa mnafahamu kuhusu hii issue bac mm na jukwaa kwa ujumla tuna subiri michango yenu. wote tunajua madini ya Dhahabu au Gold kwa kingereza ni madini muhimu sana kwa...
  19. Waterbender

    Nahitaji miwani ya macho

    Habarini wote. Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa. Naitaji miwani ya bei nafuu nipo Morogoro Asanteni
  20. Waterbender

    Msaada wa mafuta ya kufanya nywele zangu ziwe laini na nyeusi

    Nywele zangu ni ngumu na zinavozid kukua zinakuwa brown in colour. Kama kuna anaejua mafuta mazuri ya kuzifanya ziwe rahisi hata kuchanika anitajie (lain na kuretain colour)
Back
Top Bottom