Search results

  1. President Elect

    Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

    Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar kweli zitakuwepo mwakani? Kama tisa Desemba tunafanya usafi nchi nzima, yamkini Januari 12 sherehe za Mapinduzi Zanzibar nako watafanya usafi kama sie huku bara. Yetu macho, subira yavuta heri.
  2. President Elect

    UKAWA mkishinda urais tupeni Waziri Mkuu mwanamke

    Najua mgombea wetu JPM anaongoza kwa kura nyingi katika majimbo yaliyotangazwa na NEC hadi sasa. Hata hivyo endapo utatokea muujiza matokeo yakageuka basi nitawaomba wana-Ukawa watupe Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa letu!
  3. President Elect

    Katiba inasemaje endapo mshindi wa urais atashindwa kuapishwa?

    Katiba inasemaje endapo mshindi wa urais atashindwa kuapishwa, labda kutokana na ugonjwa au kifo? Je mgombea mwenza ataweza kuapishwa badala yake, au itabidi uchaguzi urudiwe upya?
  4. President Elect

    Ukimwelewa vizuri huyu, utajua umpe nani kura yako

    maggid mjengwa Ndugu zangu, Waziri wa Ujenzi amenukuliwa na Watangazaji wa habari akitamka; " Na atakayeshindwa kulipa nauli mpya Dar- Kigamboni na apige mbizi au azunguke Kongowe" - John Magufuli. Ndugu zangu, Siamini kama maneno haya yanatoka kwenye kinywa cha Waziri Mwandamizi...
  5. President Elect

    CCM tujibu hoja ya UKAWA kutoa Elimu bure hadi University, kura zitayoyoma!

    Kwa wazazi na vijana suala la ada ya shule na chuo ni ishu kubwa! Ili kuweza kuzuia kura zisiyoyome, inabidi hoja ya UKAWA kutoa elimu bure hadi chuo kikuu ijibiwe haraka na bwana Magufuli kwenye kampeni zake!
  6. President Elect

    Wakati UKAWA wapo ndani ya box,CCM iko nje ya box!

    Wakati UKAWA wapo ndani ya box, wenzao CCM wapo nje ya box! Mabadiliko bila Ukawa yanawezekana!
  7. President Elect

    Ikiwa ni kwa mapenzi yake Mola, hakuna awezaye kusema hapana!

    Ikiwa ni kwa mapenzi yake Mola, hakuna awezaye kusema hapana! Tanzania mwaka huu ipate kwa mara ya kwanza kabisa, Makamu wa Rais mwanamke!
  8. President Elect

    Team Lowassa msishangae ndege yenu ikishindwa kuruka kwa kukosa mafuta!

    Team Lowassa msishangae ndege yenu ikishindwa kuruka kwa kukosa mafuta! Hili ni angalizo tu kwenu, mjue kampeni za urais sio lelemama! Baada ya TV zote kudhibitiwa vilivyo na TCRA, sasa ni mwendo mdundo kwa upande wa magazeti na mitandao ya kijamii. Pia huko tunakoelekea, ipo siku...
  9. President Elect

    Habari njema kwa CCM, mbaya kwa Lowassa/Ukawa: CCM itashinda urais October 2015!

    Ni habari njema kwa CCM, ila mbaya sana kwa Lowassa/Ukawa! Mtandao wa CCM ulioenea nchi nzima kuanzia ngazi ya shina, ndio utakaofanikisha ushindi wa urais kwa CCM! Tuvumiliane ndugu zangu wapenzi wa Lowassa na Ukawa, CCM itashinda urais October, 2015!
  10. President Elect

    Hayati Bob Marley angekuwa hai angeukubali muziki wa Ukawa!

    Hayati Bob Marley angekuwa hai angeukubali muziki wa Ukawa! Sio Bob Marley tu, hata baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! Mimi mwenyewe nimeukubali, inatubidi wote tucheze kwanza huu muziki wao, habari ya kura baadae!
  11. President Elect

    Magufuli angekuwa bora Kikwete angempa uwaziri mkuu mwaka 2008 Lowassa alipojiuzulu!

    Huu ni mtazamo wangu tu! Kama kweli Magufuli angekuwa bora, basi JK angempa u-PM mwaka 2008 wakati Lowassa alipojiuzulu uwaziri mkuu kwa kashifa ya Richmond! Sasa kama JK alimuona hawezi kumpa ukiranja wa baraza lake la mawaziri, iweje leo atuaminishe wananchi anafaa kuwa Rais wetu na Amiri...
  12. President Elect

    Kikwete kuwa Mwenyekiti wa CCM ambaye sio rais 2016

    Japo haikubaliki akilini mwa wana-CCM wengi, ukweli hali ni tete isiyoweza kudhibitiwa na CCM ya leo! Likitokea la kutokea hapo 25/10/2015, itabidi CCM ikabidhi nchi kwa rais mpya japo kwa shingo upande. Naamini JK hatapenda kubakia m/mkiti wa chama kisicho na dola, hivyo atabwaga manyanga na...
  13. President Elect

    Lolote linaweza kutokea kabla ya 25/10/2015

    Je CCM wanajua kwamba lolote linaweza kutokea kabla ya uchaguzi mkuu tarehe 25/10/2015? Mwenyezi Mungu aepushie mbali, ila ikitokea mathalani mgombea urais wao akapatwa na janga kama ajali, maradhi au kufariki dunia kabla au wakati wa kampeni basi atakayechukua nafasi yake si mwingine bali...
  14. President Elect

    TAKUKURU, Yu wapi Amit wa Quality Group na sh.Milioni 700+ za ushahidi?

    1. Baada ya mtuhumiwa kukamatwa pale st.Gapar, je alisafirishwa hadi Dsm? 2.Mtuhumiwa alipotua pale airport chini ya escort ya polisi wakiwa na mabegi yenye fedha za ushahidi, je aliwekwa mahabusu kituo cha jirani, kwa mfano pale stakishari na kidhibiti kikafungiwa stoo? 3.Kama siri za mpango...
  15. President Elect

    Nguvu mpya kutumika dhidi ya CCM dhaifu!

    Chini ya kapeti: unaundwa muungano mpya na madhubuti usiojali itikadi ya vyama vyote vya upinzani kwa lengo moja tu - kuing'oa CCM madarakani Oktoba 2015. This coalition 'United Forces against CCM' ni moto wa kuotea mbali, tofauti zote zimezikwa rasmi kukabiliana na adui mmoja tu, CCM! Nina...
  16. President Elect

    Sababu tatu muhimu kwa nini Dr. Slaa hatakuwa rais 2015

    1. Hakuna tume huru ya uchaguzi. 2. Vyombo vya ulinzi na usalama vya dola havina imani na upinzani kuingia ikulu mwaka huu. 3. Yeye binafsi haonyeshi dhamira ya dhati ya kuitamani nafasi ya urais kama ilivyokuwa mwaka 2010.
  17. President Elect

    Competition kusaka vyeo vya kuteuliwa baada ya mgombea urais kupitishwa

    Mara tu baada ya jina la mgombea urais kupitishwa na vikao husika na kuwekwa rasmi hadharani, kutakuwa na competition kali ya kusaka vyeo vya kuteuliwa. Mathalani Mungu jaalia kateuliwa edo, basi kila mwanasiasa kutoka chama tawala atajitambulisha kama mpiganaji kwenye kampeni, ili mlengwa...
  18. President Elect

    'Plan B' ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 2015

    Endapo kutakuwa na vuguvugu la mtikisiko ndani ya chama baada ya CC kukata jina la EL katika orodha ya wagombea urais, basi atatakiwa kutoa kauli ya kiungwana kama ile aliyoitoa dk. Bilal mwaka 2005 alipolazimika kumpa nafasi Amani Karume kugombea kwa awamu ya pili. 'siwezi kufanya vingine...
  19. President Elect

    Biashara ndogo ndogo zipewe kipaumbele

    Serikali itoe kipaumbele kwa wenye biashara ndogo ndogo na wasifanye mzaha na mali za watu jamani! Huu mtindo wa mgambo kuteka bidhaa za machinga kwa maslahi yao binafsi haufai kabisa!
  20. President Elect

    Historia itasomeka hivi: hapo zamani za kale serikali ya Tanzania...

    Historia itasomeka hivi: hapo zamani za kale serikali ya Tanzania...ilitaka wananchi wake waipigie kura ya maoni Katiba inayopendekezwa tarehe 30/04/2015, maaskofu na ukawa wakatia ngumu, na zoezi likasitishwa kwa shingo upande na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (NEC).
Back
Top Bottom