Search results

  1. S

    Mtoto wa ajabu huko nzega.

    Gud!Huyo anaafadhali kuna mchina ana miaka 13 tangu udogo wake yeye ni wakucheka tu!
  2. S

    Mmasai atoa mpya hospitali !!!

    Torono naleng!Naaibisha sisi masai ya mujini.
  3. S

    Tabia hii ya baadhi ya mabinti inaudhi sana

    Wengine hawana staha wala chembe ya aibu.Ujinga,uzuzu na ujuha ndo umewatawala akilini.Msichana kamwe hawezi kukusahau sura labda jina,na ndo mana unaweza zungumza nae machache ukijua hakujui ghafla anafunguka na profile za watu mashuhuri wa kitaa unaowajua.
  4. S

    Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

    Niliyewahi kuwa nae,alinijali na aliheshimu maamuzi yangu.Alitumia muda mwingi kujua magumu nayopitia na daima alinipa moyo, nilibeep kumuacha ila mwepesi wa kuomba msamaha.Aliweza kutenganisha Pesa,Mapenzi na Utu.
  5. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Sitaki na nakiri kuwa nimekataa,kwa sasa mapenzi hayana nafasi.
  6. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    I hope to overcome tha ctuatiön.
  7. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Nimekataa,na nimemjuza sitaki kwani nimeamua kufanya biashara kwa malengo na si mapenzi.
  8. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Nimeamua kuchukua uamuzi huo leo na namba ya simu aijuayo nimeibadili.
  9. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Ahsante saana kwa ushauri mzuri.Naahidi kuufanyia kazi.
  10. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Hiyo ni nguzo muhimu ilonifanya kuwa na maadili mema.Najiheshimu na bora nikose biashara nae kuliko niendekeze Ujinga na Upuuzi.
  11. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Hapana narudia tena hapana.Si muda mrefu nimemjua na kiumri mbali kaniacha.
  12. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Najiheshimu na pamoja na biashara zake bado hana ushawishi wa kuniweka dilema.Nimemwambia mapenzi kwa sasa sipendelei na namuheshimu sana japo yeye hatambui hilo.
  13. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Hapana na wala sitaraji maishani.
  14. S

    Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

    Muhali gani mabibi na mabwana!Mie mzima wa mwili ila mgonjwa kifkra.Nilibahatika kupata elimu mpaka ya chuo kikuu,niliajiriwa ila niliacha kazi kutokana na matatizo ya kifamilia yalonitaka kurudi nyumbani. Nilifanikiwa kutatua matatizo hayo yalodumu kwa muda mrefu ktk familia yetu.Mara...
  15. S

    Optimistic views

    Is it bad if i dedicate my time to somebody's business to gain knowledge,skills n tackticks so as to employ my self in the near future?
  16. S

    Jiamini wewe kama wewe.

    Ahsante ila ningependa unipe mikakati ya kutoridhika na matatizo kwani wengi nikiwemo mimi sijaridhika na maisha hasa nikifanya tathmini ya mwaka mzima ulopita.Je nini kifanyike?Wazo la kujikomboa lingenifaa sana hususan la kibiashara.
  17. S

    Optimistic views

    I know that i don't know anything concerning self employment,let me know please.
  18. S

    Wazo la kujiajiri

    Natamani wajasiriamali wasomi wangefunguka vle walianza.Nidhahiri kila mmoja ana wake utashi.Naamini ktk ushindi hata nikiuza maji,pipi,nguo na vyote visivyo na tija kwao wanaojiita wasomi.I hv long term goals n am optimistic in nature.
Back
Top Bottom