Search results

  1. Nicholas

    Hongera Chadema: Kwata lenu, mamluki wanakacha kwa sababu za kitoto.

    Kwa hili inabidi niwapongeze chadema.Chadema wanapigisha mamluki na watu legelege kwata hadi wanaona saa zinakata shoo haianzi. Kwa hili ni silaha kubwa. Chadema km wameweka code vile, ukiingia bila code.Huoni movie,hawafungi mlango,hawakunyimi kuingia. Ila ukiingia ndio hivyo. Tumeona watu...
  2. Nicholas

    Ushabiki usio na huruma: Sababu ya wazungu kuwa radicalized dhidi ya wageni

    Pengine watu wamesahau kuwa kitu kinachofanya wazungu sasa waanze kuwa radicalized dhidi ya wahamiaji ni tabia za kishabiki. Kuingia kwa trump kulifuatana na taswira iliyoonekana upande wa Clinton.Wahamaiaji walimzunguka na kusamhabikia ktk ahadi zake ambazo zote zilikuwa haribifu kwa...
  3. Nicholas

    Zaidi ya Siasa Kilimanjaro: Kilimanjaro inahitaji Ma DC, RC, Watendaji wenye kuishi ktk "SPIRIT OF KILI"

    Mkoa wa kilimanjaro una issues, una siasa na mambo mengi. Una watawala wasioleweka wala kuelewa utamaduni wa huo mkoa. Siku zinaenda, maisha yanasuasua, watu wanakwenda piga mbali wakiwa na spirit of Kili. Kisichoelewa Kilimanjaro inaishi kwa "Spirit of Kilimanajaro" .Ikifa hii spirit...
  4. Nicholas

    Office za Mahesabu bongo toka south?Kwa lipi ukubwa migodi?Au CPA(T) ya evening class imepanda?

    hii nchi sijui katulaani nani?Wakati nchi kibao zinahamisha office za balozi Tz na nchi jirani na kuhamishia office moja ktk nchi ambayo ipo stable na sio nchi ukiamka asubuhi kuna habari, watz kwa kiburi wanawapangia watu kuwa office za mahesabu ziletwe bongo. Kwa lipi? Story ya Mkapa kuwa...
  5. Nicholas

    Kinikia limepata maji sasa ni tope; mzaha mzaha gari haitoki hadi 2020

    Huwa nawahurumia sana CCM ktk maamuzi mengine ingawa siipendi sana ccm. kuna mara CCM huwa wanacheza na issue hadi nashindwa kuelewa km hawajui au ndio mizaha iliyo zidi. Kinikia hili hili hata mwanachama wa kawaida sana mwenye akili huru wa chadema aliona mapema kabisa kuwa watu wameingia...
  6. Nicholas

    Tuache kujenga mazigira ya kunyanyapaa wahanga: Si kweli kuwa kuumizwa kiwiliwili kunaharibu ubongo

    Baada ya matukio ya watu kushambuliwa na kuumizwa.Tayari watu weye akili ndogo wameona kuwa ni nafasi ya kufnaya siasa za kipuuzi. Sasa hivi wanazushia wengine kuwa hwatakuwa wazima.Na Wegine ni wazi kuwa wanataka jenga mazingira kuwa watu wote wameathirika hadi ubongo, ili baadae wajenge...
  7. Nicholas

    Kushinikiza polisi wategemee wahanga ktk uchunguzi.Litaleta haya maswali.

    NGOJA NIPIGE KELELE KUWASAIDIA: ILI TUWAACHE POLISI WAFANYE KAZI BILA KUWASHINIKIZA KWAMBA WAHANGA NDIO WATUMIKE KATIKA UPELELEZI. UBAYA WA HII LOGIC AMBAYO I DONT LIKE IT NI KWAMBA. POLISI WATASHINDWA KUJIBU HAYA MASWALI? 1.JE ANGEKUFA INAMAANA POLISI WASINGEWEZA FANYA TAFITI? 2. KM POLISI...
  8. Nicholas

    Sasa ni zamu yangu kuwa kamanda ili kumuunga mkono Tundu Lissu

    Naomba tuheshimiane kwa hivi ,huu mchezo hauhitaji hasira.Nyie pia mlipeana pesa mkaacha familia znu kuwaunga muwapendao mkono kwa juhudi zao nyingi nyingi sana. Sasa ni zamu yangu kumuunga Tunsu Lissue Mkono.Na hili halina rushwa kabisaa kabisaa.Kwa jinsi nimemuona huyu jamaa asivyoogopa...
  9. Nicholas

    Binti mdogo kutoka Kenya akijibu kuhusu Watanzania; "I don`t like their Logic"

    Sio siku nyingi sana nilibahatika kuwa na mazungumzo na binti mdogo kutoka Kenya. Binti alikuwa very smart na tuliongea mengi sana. Nikamuuliza naijuaje Tanzania? Akasema mazuri mengi. Katika mengi hayo ni mazingira na vyakula,pia akajazia beuatiful people. Any way haya ni kama mafuta tuu kwa...
  10. Nicholas

    Natafakari hapa nafurahi sana: Band ya Orchestra ya CCM imevurugika too fast kuliko uwezo wao wa kujitambua

    Duh. Nipo napata gahawa hapa, najiuliza miaka sio mingi nyuma. CCm ilikuwa na assets kubwa ya wachambuzi wa masuala ya siasa.Ilikuwa na waandishi wengi kila kurasa za mbele zilijaa chambuzi mbali mbali za watu wenye sifa kubwa ktk nchi, ccm ilikuwa na viongozi wa dini wenye kuheshimika mbele ya...
  11. Nicholas

    Upo wapi mrejesho wa viongozi wa dini? Mbowe alitii maombi yenu na kusitisha UKUTA

    Wale viongozi wa dini wapo wapi jamani.Walinguruma sana kt knyuma za ibada wakiwaita mbowe na Lowasa majina mazuri.Kaka yangu,ndugu yangu,mdogo wangu tafadhali tuepushe damu kwa watz.Wakaliweka km vile chadema ndio wanataka mwaga damu na sio waliokuwa wanazuia. Waliahidi kuwa wana mmudu msikivu...
  12. Nicholas

    Lazima uwapende: Wakati CHADEMA wanang`oa CCM na mizizi yake, wao wanaitoa CHADEMA kupe kwa furaha

    Lazima uwapende:Wakati Chadema wanang`oa CCM na mizizi yake,wao wanaitoa chadema kupe kwa furaha. Ukitaka angalia ushindi wa Chadema.Lazima uangalie situation km Generational war. Chadema wameipita ccm kwa vizazi na vizazi, ndio maana ccm hata ukiwaeleza hatari iliyopo mbele yao hawawezi amini...
  13. Nicholas

    CCM kelele zote zile wanajibu tuhuma kupitia mtu asiyejua tofauti ya promo na award

    CCM jamani imefiia pabaya sana. Yaani leo ningekuwa mwandishi ningemchapa msemaji wa ccm vibao. Kelele zote kuwa atakuja jibu hoja.Kaishia kuongezea tuhuma tena za kipuuzi sana.Tuhuma zile zile za ccm ktk uchaguzi ziziso na mashiko ingawa zilipaswa fanyiwa kazi na polisi kwa vile ni tuhuma za...
  14. Nicholas

    Siasa za CCM: Polisi waelemewa na mzigo ccm wanavyopandisha matukio na kutaka double standards

    Polisi wanatia huruma tena huruma kubwa sana.Ukizingatia na elimu zao km walimu wetu.Kuwa unatakiwa felifeli kiasi fulani ndipo ukimbilie huko au siku hizi ukishasomeshwa na aina ya walimu kama akina Mkumbo,Bhana, na mhongo basi mjomba anakushtua ukiwa polisi unaweza kwea ngazi harak haraka...
  15. Nicholas

    Mch Gwajima: Je Mange ni kati ya wale wanawake 2 uliowasema ukiwa unalia katika wheel chair?

    Kuna mambo yanahitaji umakini, hofu ya Mungu na utulivu wa akili sana. Mchungaji Gwajima naomab unisamehe km nitatumia ulinganifu usio makini sana. Kwanza mimi sikuwa nakujua ,wala kukufuatilia achilia mbali hata kujua km nakuchukulia serious. Baadae nikakufahamu kwa huku nikiwa na taswira ya...
  16. Nicholas

    Tatizo la CCM: Hawajui Social media ni km ubongo mkubwa wenye kutumia vichwa vingi

    Pengine nionyeshe huruma yangu tuu kwa ccm na kuwapa ushauri wa haraka.Wasiendelee jidanganya kwamba wanaweza dhibiti habari kirahisi km walivyojenga utamaduni.Pia wajue kwamba uwepo wa mitandao ya kijamii umefanya mfumo fulani ambao ni km akili kubwa mbayo inatumia mjumuimo wa mbongo na vichwa...
  17. Nicholas

    Ni kweli ninachokiona ni utaifishaji au ni marekebisho ya makosa ya ubinafsishaji wa Mkapa?

    Kwa jinsi naona jitihada za utawala huu, na juhudi za kujinasibu na sera za mwalimu Nyerere ni wazi ninachokiona ni km utaifishaji wa kila kitu kiwe cha umma tena. mara nyingi nikiwa na mashaka na ninachokiona huwa najaribu fikiria inawezekana ni askari kanzu wa Mkapa kaamua mrekebishia...
  18. Nicholas

    CCM: Mpishi anayejaribu kupigia debe upishi mbaya kwa kula kukila kwa mbwembwe na kelele.

    Kuna msomi mmoja kanjanja aliwahi kusema anavyoiona CCM km MTI MKUBWA WA MBUYU HIVI...Mimi napenda tuu kuungana nae.Ila mimi naiona CCM tofauti sana. Mimi naiona CCM km Mpishi fulani anayeheshimika na kuogopwa sana. Naiona km mpishi aliyeamua kuinia jikoni kuthibitisha upishi wake, na kwa vile...
  19. Nicholas

    Nyuki wa Rombo: Kiboko ya Makinikia majukwaani- .

    Rombo wanafanyiwa mizaha mingi sana ila pia wana mengi mazuri wanafanya.Wana ujasiri na juhudi ktk kuchapa kazi hadi bahati zao zinawakuta mbele ya safari.Kwa ujumla wanatengeneza bahati kwa juhudi na kazi. Ingawa Pombe na majukumu ya familia vimewapa publicity mbaya. Pamoja na hayo kuna...
  20. Nicholas

    Kwa GT: What if ktk mnada Bombadier inauzwa hivi kwa wabongo?

    Well, sio mbaya nikiwashirikisha wenzangu ktk fikra zangu za sauti kubwa.Nadhani tutakuwa tumejiongeza kifikra na kujenga mazingiza ya kujiandaa kwa situations mbalimbali. Well, Ingawa kwa sasa bombadier yoyote itakayoingia nchi kupitia mmiliki mwingine asiye serikali lazima habari zijae...
Back
Top Bottom