Search results

  1. Nicholas

    Sept 7, 2019: Asiye na mwana abebe jiwe! Uelekeo ni mmoja tu - umati wote utahangaika na mapokezi ya Tundu Lissu

    Ujio wa Tundu Lissu utaleta shinikizo kubwa sana kwa serikali. Tofauti na mizaha ya watu, Na figisu figizu lolote la wanasiasa za ccm kwa akili za ujinga wa zamani hazitaicha serikali salama sana.
  2. Nicholas

    Kifo cha Sokoine: Tujiondoe jela ya kifikra

    Kwa perepeche za hii nchi hakuna mtz anaweza andika ukweli ktk habari ya paragraphy 3. Wajamaa wanapima wema kwa kipimo cha uovu wao.Waliharibu nchi sana yeye na nyerere,mali zikatupwa tupwa bila kujali.Watu waiofilisiwa wakapunguzwa nguvu,Matokeo yake wahindi na waarabu wakapata advantage zaidi...
  3. Nicholas

    Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

    Mwandishi kaandika historia ya Biblia ambayo haisemi tofauti ya Biblia. Pia mwandishi hajui kuwa Biblia ni library ya Vitabu. Vitabu alivyo navyo Myahudi vinamtosha, Mkristu ana Injili yake inamtosha,ila kwa vile Ukristu unaanzia kwa wayahudi kuweka agano la kale ni kuporesha historia. Vitabu...
  4. Nicholas

    Nyifwila, nyoka aliyemzuia mwl. JK Nyerere kuvuka daraja la Mungu

    Hivi hamna historia ya maana km vile hao mashujaa wenu kuwapiga nchi nyingine?Au hao wanaojiita mashujaa wa usalama wa taifa na majeshi ya kupiga raia,tusikie waliweza hamisha mahela nchi fulani, wakashinda kesi kadhaa za kiuchumi?
  5. Nicholas

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mlivyokuwa na Mbwembwe kuhalalisha mambo yenu nilidhani akiingia mngeweza mthibiti.
  6. Nicholas

    Sept 7, 2019: Asiye na mwana abebe jiwe! Uelekeo ni mmoja tu - umati wote utahangaika na mapokezi ya Tundu Lissu

    Teh Teh..Msijilishe ujinga km vile nyie ndio mbebarikiwa sana.Tundu Lissu kapigania mengi sana ambayo mnayafaidi.Na wakati anahatarisha maisha nyie mlijidai mnaokoa yenu.Ila matunda mnataka. Muwe na shukrani .
  7. Nicholas

    Prof Kabudi ni makini kiasi gani? Kama alisaini kwenye makinikia,hela imekwama,kasaini kwenye korosho mambo yamekwama! Sasa ana msaada gani kwa Taifa

    Watu walimwita nguli na mwenzie mihogo.Sasa watai siasa ni mchezo mchafu wakati wao ndio walijenga hii misingi ya ubabaisha na propaganda.
  8. Nicholas

    Mpaka sasa hakuna mwana CCM aliyejibu waraka wa wazee zaidi ya kumchafua Rais wetu mpendwa

    Haha CCM mnapigana vibaya....? Na mimi hapa napenda mshamba awaumbue hao jamaa wanalilia fadhila karne hii km vile nchi yao tuu na wao tuu ndio wajirithishe. Jamaa anatakiwa achimbe sana. Achimbe tuu tuone ,matope. Wakiangalia nyumba wajione hawana tofauti na vinyimbo vya akina dully sykes...
  9. Nicholas

    Mzee Kinana jiandae na songombindo ya uraia wako! Stay tuned Kinana

    Hivi Januari na Hussein nani ni mtoto wa mwinyi kuliko mwingine?Nani ana wizara Nyeti zaidi .Km january aliyopost picture anabarizi na mzee?CCM ipo kazi kubwa sana.
  10. Nicholas

    Rais Magufuli amezidi kuthibitisha kwamba yeye ni MWAMBA imara

    Hivi Kamaliza wizara zote zenye mabaki ya wastaafu?
  11. Nicholas

    Wabunge wa CCM acheni kuwahukumu Mzee Makamba na Kinana viacheni vikao vya chama

    Ila usiache wafundisha jinsi ya kuibomoa hii chama chakavu.Na kuipiga marufuku kabisa. Wastaafu wote ni wa kupiga chini.Na wakileta kelele waanze tapishwa walivyouza nchi. Hakuna ujanja Tayari hata wakiomba msamaha kwa jamaa watamnanga tuu muda ukiwa tayari.
  12. Nicholas

    Mzee Kinana jiandae na songombindo ya uraia wako! Stay tuned Kinana

    Hata Mkapa ni wa kuwekwa benchi. Kumbe Sumaye alikuwa na akili sana kuliko akili ya kinywaji kuita wa malofa?Sumaye alisimama km mwanaume na kuachana na ccm bila unafiki .Na kavumilia maumivu yake bila shida. Mkapa kaita watu malofa kumbe alikuwa hajui anafanya nini sasa nae yupo ktk syndicate...
  13. Nicholas

    Mzee Kinana jiandae na songombindo ya uraia wako! Stay tuned Kinana

    Mnamkimbiza?Kumbe na yeye alikuwa anawapa watu vipimo ambavyo nae hawezi vibeba. hana pa kukimbia km yupo ktk soga la simu.
  14. Nicholas

    Leo ndio nimegundua, Mzee Lowassa ana akili nyingi na ustaarabu mwingi

    HUko rohoni kuna makovu haswa.Akiwa chadema tabasamu lilimjia sasa kaamua geuka jiwe la chumvi tena.
  15. Nicholas

    Mzee Kinana jiandae na songombindo ya uraia wako! Stay tuned Kinana

    Yupo anakula ubatizo wa moto wa mwezi wa kwanza wa Makamba. Makamba mpuuiz kweli kweli ujanja wake wote anamkufuru roho mtakatifu.Ubatizo wa Moto.
  16. Nicholas

    Rais anawaogopa Kinana na Makamba?

    Hana kosa, kuongea ktk simu sio kosa? Anamwita rais wake kachanganyikiwa?Ina maana na yeye anaamini rais anahitaji kuondolewa madarakati km ana shida ya akili. Hana makosa kala maharage na ugali wa masikini , katumia hela kibao wao na nape kuzungunguka nchi ktk sanaa za kupiga bao la mkono?
  17. Nicholas

    Hivi kuna mtu aliwahi kuwa waziri kamili Alafu akatenguliwa then teuzi za baadae akawa naibu waziri? Utawala huu yanaweza

    CCM hawan ahuo ubavu wa kiakili ndio maana kapteni anaweza kuwa mkuu wa mkoa na Brigedier akawa mkuu wa wilaya ktk huo huo mkoa na life ikaenda. Hata marais wastaafu wakiitwa kuwa mawaziri wakuu sio ajabu wakakubali.
  18. Nicholas

    January Makamba: Neno la mwisho kwenye hili...

    Acheni uongo.Siri zipi ambazo na yeye hatofungwa?Km ni wizi wa kura nae alikuwa sehemu yake. Anyooshe mikono tuu na kiburi iishe.
Back
Top Bottom