Search results

  1. P

    Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania.

    "Kesho ni kuangalia makosa yote yaliyofanyika. Kujadili na kuweza kukua, bila hivyo sidhani kama tutaweza epuka vikwazo ambavyo hatuvioni vilivyowekwa na wakoloni". nimependa kuanzia hapo ulipoishia. kwa ujumla makala (siyo nakala) yako ni nzuri. Ni fikirishi, na inafundisha. Hta hivyo, nimeona...
  2. P

    Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    "Juzi hivi nilipata kumsikiliza Mh Paul Makonda akielezea historia ya maisha yake iliyojaa changamoto nyingi. Clip hiyo ikanikumbusha maneno aliyoniambia Paul Makonda mwaka 2009 wakati tunakwenda Dodoma. Alivyoeleza kwenye clip ndivyo alivyonisimulia siku ile tukiwa safarini kwenda Dodoma". Huo...
  3. P

    Lowassa, Sumaye na Safari wawafunda Wabunge CHADEMA jinsi ya kukabiliana na mizengwe ya CCM Bungeni

    Muswada was vyombo vya habari ni kwa wazee? Muswada was vyombo vya habari ni chadema? Muswada was vyombo vya habari ni kwa ccm? Kweli? Ninachojua, muswada huu ni wa watanzania. Si wa chama fulani. Si wa wanachama wa chama fulani cha siasa. Tunataka muswada utakaokuwa sheria nzuri. Basi.
  4. P

    Uchumi unakua, takwimu hazidanganyi

    "Statistics never cheat, but statisticians cheat"
  5. P

    Prof. Lipumba niliyekutana nae akiwa na chupa ya maji mkononi!

    Maggid, Gideon Cheyo hajawahi kuwa mpinzani. Alikuwa Waziri wa Ardhi miaka ya tisini. Anatokea mkoa wa Mbeya. Uliyemzungumzia ni John Momose Cheyo, huyu ndo Bwana Mapesa. Na tunao wawili tu, mwingine ni Ndesa Pesa, Philemon Ndesamburo wa Chadema.
  6. P

    Siasa za Upinzani: Kilimanjaro vs Tabora

    Wengi wetu tunafahamu namna ambavyo mikoa hii miwili ya Tabora na Kilimanjaro ilivyo na umuhimu katika siasa nchi hii. Tangu wakati wa kutafuta uhuru hadi wakati wa siasa za mageuzi mkoa wa Tabora umekuwa chimbuko la wanasiasa wapinzani kama James Mapalala aliyeanzisha CUF, Chief Abdallah...
  7. P

    Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

    Mkuu Aweda, Vyombo vinavyoitwa vya dola, huwa ni kwa ajili ya kulinda dola. Dola ni kikundi cha watu wachache wanaotawala watu wengi kwenye nchi. Kwa kiingereza chombo cha dola huitwa 'coercive apparatus'. Kinaweza kuundwa na askari POLISI, MAGEREZA, TISS, n.k. Vyombo hivi vinatambulika na...
  8. P

    Mhe. Pinda apigilia msumari kauli yake: Serikali haitavumilia fujo zozote!

    Hizi thread zinanifanya nikumbuke kwetu kwenye ngoma za chagulaga. Siasa ni nzuri sana kama imefikia CCM kuhofia chama kidogo kama CDM. Kesho nachukua kadi ya Chadema hapa Morogoro.
  9. P

    Tanzania 2005-2020: Kipindi kigumu cha Mpito

    Mkuu nakushukuru sana kwa uchambuzi wako. Tuendelee kuwatia matumaini wanaharakati wote wa mageuzi Tanzania ili kesho yetu iwe bora zaidi ya hii iliyopo kwenye kipindi cha mpito, na bora zaidi ya ile ya awamu zilizopita.
  10. P

    Tanzania 2005-2020: Kipindi kigumu cha Mpito

    Tutor B, Kwa uzoefu wangu, uchaguzi wowote mdogo (au kwa ujumla chaguzi ndogo) huwa zilna usumbufu sana kuliko uchaguzi mkuu. Sababu kubwa ni kwamba nguvu nyingi huelekezwa kwenye kushinda katika ngazi moja ya kata au jimbo. Katika mazingira hayo mbinu zote chafu hutumika Kuwarubuni wagombea...
  11. P

    Tanzania 2005-2020: Kipindi kigumu cha Mpito

    Pole sana. Nami nimechelewa kujibu nilikuwa maeneo ya pembezoni. Kuhusu BAN, pole sana.
  12. P

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Peleka ujumbe huo kwa wengi zaidi.
  13. P

    Tanzania 2005-2020: Kipindi kigumu cha Mpito

    Nadhani mtazamo huo unawakilisha kiwango cha juu sana cha ufahamu. Hiyo ni sifa nyingine iliyochelewa, lakini ndiyo inayohitajika zaidi kipindi hiki cha mpito kuelekea kubadilisha utawala uliopo.
  14. P

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Tatizo kwangu siyo kauli ya Waziri Mkuu, Tatizo liko kwenye kuropoka. Namshukuru sana mbunge aliyeuliza swali lililomfanya waziri mkuu aropoke. Wakati mwingine majibu ya kuropoka huwasilisha mtazamo halisi wa mzungumzaji na watu anaowawakilisha. Kwa hiyo hilo ni tamko la serikali, serikali ya...
  15. P

    Tanzania 2005-2020: Kipindi kigumu cha Mpito

    Mkuu Chikaka Sumuni Hakika kipindi cha ujauzito ni kipindi cha mpito. Wazazi (akina mama?) wanakuwa na matamanio ya kupata mtoto aliyekamilika, mwenye afya ya akili na mwili. Tanzania ijayo (kuanzia 2020) yaweza kuwa njema iwapo tutang'oa mazalia yote yanayoyutia machungu leo.
  16. P

    Tanzania 2005-2020: Kipindi kigumu cha Mpito

    Mimi nakiita ni kipindi kigumu kwa sababu toka tupate uhuru tulikuwa tunajivunia amani (utulivu?). Sasa ni kilichopo ni kero inayotokana na harakati za kujinasua kwenye utawala wa chama kimoja cha CCM. Wananchi wanapotaka chama mbadala, by virute wanaanza kuingia kwenye kipindi cha mpito, chenye...
  17. P

    Tanzania 2005-2020: Kipindi kigumu cha Mpito

    Wadau nimeamua kuandika haya kutokana na ukweli wa hali inayoelezea kipindi tunachopitia Watanzania. Kipindi hiki kilianza wakati wa awamu ya nne ya utawala chini ya Rais J. M. Kikwete, na kitaendelea hadi mwaka 2020. Tukiitazama Tanzania kabla ya mwaka 2005, ni wazi tutaona jinsi ilivyokuwa...
  18. P

    VIDEO: CHADEMA wavuruga jimboni kwa Naibu Spika Job Ndugai

    Kazi imeanza. Mpaka mwisho wa bunge la budget tutasikia na kuona mengi. Hongereni sana kwa kuwafikia wananchi hadi maeneo ya vijijini.
  19. P

    Mama yake Zitto avamiwa

    Hoja zako wakati mwingine ni nzuri sana, lakini unapozichanganya na kujiamini kiasi cha juu kabisa kwamba lolote unalofikiri ndiyo ukweli wenyewe zinatia mashaka. Ukiwa mwanahabari unaweza kuchagua kuwa huru au kujifunga na kikundi fulani cha watu unaoweza kuwaripot wapendavyo wao. Hata hivyo...
Back
Top Bottom