Search results

  1. N

    Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

    Hongera zake
  2. N

    iPad for SALE

    Weka picha tafadhali
  3. N

    Majambazi yapora Tanzanite ya billion 10

    Aha aha aha kwa maana ya Jasiri huwa haachi asili
  4. N

    kesi ya Drug baron Shikuba

    Napenda kufahamu yule Shikuba aliyekamatwa uwanja wa ndege na kisha kupelekwa Kilwa kwenye kesi yake ambae aliunganishwa na wenzie,Kesi yake inaendeleaje,Anaefahamu atujuze
  5. N

    Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

    fafanua vizuri alikuwa akimfuata mwanza wakati akiwa na G au Mchops
  6. N

    Mauaji yaliofanywa na M23 (picha zinatisha)

    Acha uongo ina maana M23 waliwachoma moto maana maiti zote zimeungua na moto,hutudanganyi. Sisi unajidanganya mwenyewe
  7. N

    Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

    Kamsaidie dhamana kama masharti mepwsi
  8. N

    Producer Castro Ponela yuko wapi?

    Habari yenu wana JF, napenda kujua Producer Castro Ponela aliekuwa na kesi ya kumuua msanii Steve 2K, yuko wapi siku hizi? Jela, uraiani au wapi?
  9. N

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Haaa jamani embu tufungueni maana nipo kwa mabano
  10. N

    Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

    Keshakugeuza mradi,Mjini shule
  11. N

    Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

    hilo sio kosa la majudge ni uzembe wa upande wa mashtaka na ukumbuke hii case ina public interest..kwa hiyo upande wa mashtaka unajua unachofanya
  12. N

    Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

    tatizo hatuna waandishi waliobobea kwenye sheria hata akipatikana na hatia ya kuua bila kukusudia hawezi kufungwa maisha..nashauri wasome penal codes.
  13. N

    Nape aongoza mazishi ya Sharomillionea

    hicho kitambaa ndio ndugu zetu waislam hutumia kuwazika watu
Back
Top Bottom