Search results

  1. Jusa-boy

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    duuuuuuuuuuuh jamani habari zenu humu ndani?mi nauliza PGSS 6 Ni sawa na sh ngapi?msaada kwa anaefahamu tafadhali nimetafuta hapo juu cjaona.......................Ahsanteni
  2. Jusa-boy

    Tusker project fame 2nd chance!! Watz nani mkali?? Msechu au Hemedi??

    Msechu anatisha kiukweli,ana vocal nzuri sana na anaweza kuamsha mashabiki.hemed anaweza kuigiza tu ndo fani yake.
  3. Jusa-boy

    Majambazi sita wauawa huko singida

    Big up mapolisi kwa kuwarestisha in peace hao majambazi.wangetumaliza sisi wakazi wa singida.tanx alot
  4. Jusa-boy

    Picha ya Virgin Mary yatokea ukutani Finland

    Daaah!hyo hata mi skubaliani nayo.ushawah kumuona bikira maria wewe?
  5. Jusa-boy

    Kwa nini wanafunzi wengi wa kitanzania wanapenda kusoma sana kipindi cha mitahani?

    Kwasababu wanahisi watakumbuka majibu kwa urais anapokuwa kwenye mtihani kumbe wanajidanganya ni kujichanganya tu.maandalizi mapema siku ya mtihani ni kurelax.dats all
  6. Jusa-boy

    Uh o00oh!

    How u doing?daaah nilikua wapi siku zote?
Back
Top Bottom